dunia

  1. Full charge

    TANZIA Shabiki Maarufu Wa Simba SC Mjata Mjata maarufu kama mpaka Mafuta Afariki Dunia

    #TANZIA: Shabiki wa Klabu ya Simba, Mjata Mjata, amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu mkoani Tanga. Mjata alikuwa mmoja wa wadau wa soka waliokuwa na mchango mkubwa katika kukuza mchezo wa soka, na hasa kupitia upendo wake kwa timu ya Simba SC. Mjata Mjata ni miongoni mwa mashabiki...
  2. feyzal

    Duh kama no kweli Basi Mh Rais Samia chawa wako wamevunja rekodi ya dunia🙌

    Sina maelezo mengi habari kwa picha
  3. Mwizukulu mgikuru

    Nilivyonusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali miaka 15 iliyopita. Tanzania kufariki ni dakika 0 tu!

    Ni miaka 15 sasa imepita tangu ninusurike kuuawa na walimwengu. Nilikuwa nikiishi Tabora, na jioni moja, nilikuwa natembea mjini Tabora. Wakati natembea, nikajihisi kubanwa haja ndogo, nikawa nakatiza mtaa wa Salimini. Kwa wale wenyeji wa Tabora, mnafahamu ule mtaa ulivyo wa Kiswahili...
  4. I

    Trump alivyolea wanawe ni changamoto kubwa kwa dunia inatakiwa tuige mfano wake

    Je, Donald Trump ni mtu wa namna gani na familia yake ikoje..!!?? Ukiangalia jinsi Trump alivyowalea watoto wake watano kwa kweli utashangaa sana na hii ndio maana hata jumuiya ya makanisa yenye nguvu na ushawishi mkubwa nchini Marekani ya Evangelical Christian Churches of America hupenda...
  5. Intelligent businessman

    Mama mzazi wa marehemu Notorious B.I.G afariki dunia

    Voletta Wallace, mamake marehemu nyota wa hip-hop Notorious B.I.G., amefariki dunia. Alikuwa na umri wa miaka 72. TMZ inaripoti Wallace alikufa kwa sababu za asili Ijumaa asubuhi huko Stroudsburg, Pennsylvania. Inasemekana alikuwa katika uangalizi wa hospice wakati wa kuaga kwake. Voletta...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Kifalsafa "kimantiki" Yesu hakutolewa Kafara. Dunia imedanganywa

    KIFALSAFA "KIMANTIKI" YESU HAKUTOLEWA KAFARA. DUNIA IMEDANGANYWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Angalizo: Mada hii inaweza isiwafae watu wote hasa watu wale wenye Itikadi na hisia Kali za kidini. Hivyo kama Taikon Master kwa kulijua Hilo, nashauri wewe kama ni wale wenye Itikadi Kali au...
  7. Crocodiletooth

    Dunia ya kibabe; Suala Marekani kukaa na Russia kutafuta utatuzi wa mgogoro wa rus - ukraine, bila Ukraine kuwepo hili limekaaje?

    Toka zelewinsky akatae kuingia mkataba wa hovyo na Marekani wa kuwakabidhi maeneo yenye madini ya earth mineral, Marekani ameigeuzia kibao Ukraine na kudai kuwa Ukraine ndiyo chanzo cha mtafaruku na vita vinavyoendelea, infact dunia iliona jinsi Russia alivyokuwa anandaa majeshi mpaka anaanza...
  8. kajamaa kadogo

    Suala la kulipia demu kodi ni gumu dunia kote sio kwa Mond tu

    Suala la kulipia demu kodi ni gumu dunia kote sio kwa Mond tu ndiyo maana nasemaga kuoa ni kwa ajili ya watu dhaifu 🤣 wanaume nice guy huwa inalipa kodi hadi milioni 3 eti..! Dah halafu unalikuta linalipa hiyo kodi hata bima ya afya hana. Mimi nakumbuka niliwahi kuachana na demu mmoja mseng&...
  9. Yoda

    Mazungumzo ya amani vita vya Ukraine yanaonyesha jinsi gani dunia imejaa unafiki sana

    Kituko cha kwanza mazungumzo yanafanyika pasipo wahusika wakuu Ukraine kuwepo katika hayo mazungumzo! Yani ni sawa na umemkamata mgoni anamtafuna mke wako ukazua ugomvi halafu wapatanishi wanakuja wanamchukua mgoni wako wanaenda kukaa naye kikao peke yao wanamuuliza anataka nini kumaliza kesi...
  10. Mshana Jr

    Makondeni, pepo ya dunia wengi wasiyoijua

    Waliokulia vijijini mashambani wanalijua hili... Waliokulia mijini kwenye uchafuzi wa kila aina na vurugu zote hawaijui ladha yake Ukisoma habari za peponi na vile kulivyo unaweza kukubalina nami kwamba makondeni ni pepo ya dunia Hakuna vurugu za miziki Hakuna honi Hakuna fujo za bodaboda...
  11. Bushmamy

    Dunia ya sasa inaelekea wapi? kwanini watu wanakufa sana?

    Siku hizi ni kawaida au pengine ishakuwa mazoea kusikia ,kuona au kutokea kwa msiba wa mtu fulani aidha wa mtaani kwako,jirani, ndugu,ofisini kwako au yoyote unaemfahamu. Wengi wa Wanaokufa ni watu wenye nguvu bado, Dunia ya leo je inaelekea mwisho? Kwanini misiba ni mingi kuliko matukio...
  12. JanguKamaJangu

    Shigongo katika Mkutano wa Mabunge ya Dunia, aelezea umuhimu wa Afrika kutumia maliasili

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameshiriki Mkutano wa Mabunge ya Dunia (Interparliamentary Union) unaofanyika katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, New York Nchini Marekani. Mkutano huo unajadili jinsi dunia, ikiwemo Tanzania, itakavyotimiza malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) kama kuondoa...
  13. D

    Watu kitu wasichojua ni kwamba hata hii dunia ni mali ya Marekani. Hata Mungu analijua hilo

    Tukae kwa kujiandaa kuwa anytime Marekani akitaka chochote at any time t anachukua mana tumeazimwa tu. Hata hii hewa tunayovuta ni mali ya mmarekani. Hata hii intetnet tunayotumia ni mali yake siku mkimuudhi tu anqzima saver za africa mnaanza kufa kama nzige nyie kwa nyie mana mtakuwa...
  14. D

    Maajabu hayatokaa yaishe Dunia hii; nimekaribishwa juisi ya muhogo Leo!

    Ajabu ni nzuri balaa. Hizi blenders zimeleta shida bongo haki ya nani!! Mmatumbi anataka kujaribu Kila kitu aone kinanogaje ikiwa juisi.
  15. Determinantor

    TANZIA Rais wa kwanza wa Namibia Sam Nujoma amefariki akiwa na umri wa miaka 95

    Hatimae miongoni mwa true freedom fighters ameitwa kupumzika usiku wa kuamkia tarehe 09/02/2025 akiwa na umri wa miaka 95. Tusalimie Nyerere, Mugabe, Mandela na wengine, waambie Waongee na Kaguta Museveni aachie Vijana Hili hapa tangazo la Tanzia = Tangazo la Kifo cha Rais wa Kwanza wa...
  16. Liverpool VPN

    Happy Mariage Day:- Njooni tuwape pole waliojitafutia majanga makuu kwenye hii dunia ya utandawazi..!!!

    Siku ya Kimataifa ya Wenzi wa Ndoa:kuheshimu mume na mke kama msingi wa familia Siku ya kimataifa ya Wenzi wa Ndoa ni sheherehe ambayo inahimiza kuheshimu mume na mke kama jiwe kuu la pembeni la familia,umoja msingi wa jamii ya kila tamaduni,kabila,koo na taifa.Adhimisho hili linahamasisha uzuri...
  17. P

    Pongezi za dhati kwa bwana Donald Trump kwa kuichangamsha dunia

    Kodi za wamerekani zimetumika duniani kote na hivyo either kuchangia maendeleo katika baadhi ya nchi au kuchangia machafuko, uharibifu katika nchi zingine. Sera za mabeberu za kuzifanya nchi zenye viumbe wasiojielewa kuwa tegemezi wa misaada, zimeingeza mmomonyoko wa maadali katika jamii...
  18. Determinantor

    TANZIA SACP Beatus Silla wa Polisi Makao Makuu hatunae tena

    Nimepita kwenye mitandao nikakutana na Taarifa ya Msiba wa SACP Beatus Silla ambaye mauti imemkuta akiwa MOI hapo jijini Dar. Kilichonifikirisha ni aina au namna watu/ wachangiaji wengi wakionyesha kufurahishwa na kifo hiki cha Askari wa Polisi. Nawaomba Polisi, tuangalie sana mwisho wetu vile...
  19. JanguKamaJangu

    Mwanzilishi Mwenza wa Lebo ya Murder Inc Records, Irv Gotti afariki Dunia

    Producer maarufu duniani Irv Gotti amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 54. Chanzo cha kifo chake bado hakijatajwa huku ripoti za awali zikisema mwaka jana alipata tatizo la kupooza kwa muda mfupi na baadae kupata nafuu. Irv Gotti ambaye jina lake halisi ni Irving Domingo Lorenzo Jr...
  20. Daudi Kempu

    Iambie Dunia kwanini uliumbwa

    Pengine hadi sasa hujui, wala hujawahi kufikiria kuwa; wewe ndo hayo mabadiliko unayotamani sana kuyaona duniani. Kwa namna moja ama nyingine, umekuwa ukijichukulia kuwa mfinyu na usiye na nafasi kabisa ya kuibadilisha dunia hii. Swali ni! KWANINI ULIUMBWA? Kwanini ulikuja katika hii dunia...
Back
Top Bottom