Umezaliwa humfahamu baba yako mzazi. Mama yako anakwambia babaako alishakufa. Anakutajia jina ambalo silo unalotumia shuleni. Unaanza kujiita ubin kwa hilo jina.
Baada ya miaka kadhaa,
mama yako anakutambulisha kwa mtu mwingine kuwa ndiye baba yako. Tena yuko hai. Na jina sio lile alilokutajia...
MwanaJF wenzangu,
Tunashukuru tumeanza wiki 1 ya mwaka 2025. Tuweke malengo ya kuhakikisha vizazi na vizazi vinaikuta sayari yetu salama.
Mimi nitafanya yafuatayo;
1. Kupanda angalau miti 5 ya matunda tofauti tofauti.
2. Kuendelea kutotumia vifungashio vya plastiki
3. Kwenda sokoni na mifuko...
Unaambiwa Abiria wa Ndege ya Cathay Pacific Flight 880 walifanikiwa kusherehekea Mwaka Mpya mara mbili kwa kuruka kutoka mwaka 2025 na kurudi mwaka 2024.
Safari ya ndege hiyo iliyovuka Bahari ya Pasifiki ilianzia Hong Kong muda mfupi baada ya usiku wa manane tarehe 1 Januari 2025, dakika chache...
Kwenye dunia ya sasa, shetani anapambana sana kuwaweka watu mbali na Mungu. Na anatumia mbinu na mitindo ya maisha ya dunia ya sasa kufanikisha hilo:
1. Kuvutia watu kwa maisha ya kidunia na mali: Shetani hutumia tamaa za ulimwengu, kama utajiri, umaarufu, furaha za nje, na starehe za mwili...
Binadamu ni kiumbe anaeishi Kwa Sheria na moja wapo ya Sheria zake ni pamoja na kuwa na kiongozi, popote penye mkuasnyiko wa binadamu lazima wapate kiongozi wao
Hata kusanyiko dogo zaidi la watu wawili lazima mmoja awe anamwongoza au kumzidi angalau kidogo mwenzie hapo ndo kusanyiko litadumu...
Eti wakuu
Jaribu ku-imagine dunia ambayo blacks na Arabs au mmoja kati yao ndio angekuwa super power, maisha yangekuwaje wakuu?
Unahisi hali ya uchumi, siasa, usalama wa nchi mojamoja na dunia kwa ujumla ingekuwaje?
Hizi ni fikra tu wakuu
Karibuni
Aliyekuwa Mfalme wa Zanzibar Sayyid Jamshid amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo nchini Oman zikiwa zimebaki siku chache kufikia miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomuondoa madarakani na anatarajiwa kuzikwa katika makaburi ya familia ya kifalme huko Muscat.
Vyanzo vya habari vimethibitisha...
Wanabodi
Vyanzo vya kuaminika vimethibitisha kwa "Atheer" taarifa za kifo cha Mheshimiwa Sayyid Jamshid Al Said, Sultan wa mwisho wa Oman aliyekuwa Zanzibar, akiwa na umri wa miaka 95, baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Vyanzo hivyo vimeeleza kuwa Sultan huyo wa zamani alifariki dunia Jumatatu...
Bondia Hassan Mgaya amefariki dunia, siku moja baada ya kupigwa TKO katika pambano la raundi sita lililofanyika Tandale kwa Mtogole, Dar es Salaam katika ukumbi wa Dunia Ndogo, na kupoteza fahamu dakika chache baadaye.
Mgaya alicheza pambano hilo lililofanyika Desemba 28, yaani usiku wa kuamkia...
Former US President Jimmy Carter has died aged 100, the centre he founded has confirmed.
The former peanut farmer lived longer than any president in history and celebrated his 100th birthday in October.
The Carter Center, which advocates for democracy and human rights around the world, said he...
Habarini wanajukwaa
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,ni kwamba nilimsikia mtu mmoja akisema,ati wazungu ni balaa maana wamepiga hatua kubwa kitekinolojia,kwamba wamefikia hatua yakutengeneza satellite inayoweza kukupiga picha,kuchukua video yako,hadi sauti yako,(lkn ni kama wakihamua...
Ni kweli marekani imesababisha maafa na hasara katika angle mbalimbali za dunia na wote tunajua lakini pia kila nchi ina mazuri na mabaya yake hili hakuna wa kupinga
Sasa leo tuwape maua yao hawa marekani kwa gunduzi zilizofanywa kuisaidia dunia
Mimi nitaanza hapaa
1. Internet kagundua...
Nawasalimu wote mliopo humu ndani
Kitu chochote ambacho Mungu anakitumia kwa mazuri na satani naye anakitumia kwa ubaya..
Umewahi kujifunza pande kuu nne za dunia na majina yake ya Kaskazini, Kusini, Mashariki, na Magharibi?. bila shaka utaniambia ndio.
Sasa katika ulimwengu wa roho hizi pande...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs C. Mwambegele, kwa masikitiko makubwa ametangaza kifo cha Mjumbe wa Tume hiyo, Mhe. Jaji Rufani Mwanaisha A. Kwariko, kilichotokea tarehe 27 Desemba, 2024, nchini India ambako alikuwa akipatiwa matibabu.
Kwa mujibu wa...
Unaweza kuziorodhesha dosari zao nyingi tu,lakini mwanamke ndio nguzo ya familia na dunia nzima.Ndio wanaleta furaha,wanapamba nyumba,wanazaa na kulea watoto,ndio nguzo ya kiuchumi ya familia.Tuwape maua yao
Ulikua ukipigwa kwenye maredio siku ya ukimwi duniani. Sana sana kwenye Rtd sasa TBC.
Maneno ya wimbo'
Jamani ee
Sikilizeni niwaeleze haya, janga la ukimwi halina dawa wala kinga,.
Wakili Joseph Masanja wa Babati Mkoani Manyara ambaye alikuwa anasimamia kesi ya Gekul amefariki dunia Desemba 24, 2024.
Kupitia Korumba Lebabazi amezungumza na Wakili Peter Madereka ambaye aliwahi kufanya naye kazi marehemu enzi za uhai wake na kueleza kuwa kutokana na kifo chake wanasubiri...
Waziri Mkuu wa zamani wa India Manmohan Singh, ambaye alitawala nchi hiyo ya Kusini mwa Asia kwa mihula miwili na kuikomboa uchumi wake katika kipindi cha awali kama waziri wa fedha, amefariki dunia. Alikuwa 92.
Singh, mwanauchumi aliyegeuka kuwa mwanasiasa ambaye pia aliwahi kuwa gavana wa...
Hii imetokea Desemba 24 kijijini Butiama ambapo Richard (Nyerere) Masanza mtoto wa dada yake Mwalimu Nyerere amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Richard amesoma shule ya msingi hapa Dar es Salaam, Kurasini.
Alas,that is the only education he had.
Ni binamu yangu,mtoto wa shangazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.