Benki ya Dunia imeahidi kutoa kiasi cha takribani Dola za Marekani milioni 300 kwa ajili ya kusaidia Awamu ya Tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania ( @tasaf.tanzania ) ambayo inatajiwa kutekelezwa baada ya kukamilika kwa Awamu ya Pili ya...
Mtendaji wa kijiji cha Sakawa wilayani Rorya #Tanzania Fredrick Nyobumbo amelazimika kuhama chini ya ulinzi wa polisi baada ya vitisho kutoka kwa jamii!
Fredrick anatuhumiwa kupanga wizi wa kura katika kijiji hicho na hadi leo hakuna aliyetangazwa mshindi! Yaani @ccm_tanzania ijiandae kwa...
Nguvu za kiume ni pesa na nguvu za kike kiuno na joto la samosa, nyakati hizi za mapenzi na maokoto tambua hilo, mwaga mpe chake mwambie tembea, funga mlango.
Mimi sio mwenyeji wako umekuja kibiashara ondoka kibiashara, Binadamu ni mwili sio nafsi.
Ondoka kama ulivyokuja sina muda.
Ubwela...
Salaam, Naomba kufanya brain storming kidogo.
1. Je, Kuna sehemu kwenye dunia hii haijawahi kuguswa toka uumbaji wa dunia.
2. Je, waliokufa tokea dunia kuumbwa na waliohai, yupi anaongoza kwa wingi ?
3. Je, ni kweli kuna imani ya kubadilisha jiwe kuwa dhahabu ? (Please hapa naomba tusijibu...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis, amepewa gari jipya la kisasa aina ya Mercedes Benz linalotumia umeme pekee likiwa ni gari la kwanza la aina yake kutengenezwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya Kiongozi huyo ambapo hatua hiyo inayoonyesha azma ya Vatican kulinda mazingira na kuhimiza matumizi...
Silaha za nyuklia ni mojawapo ya uvumbuzi wenye nguvu kubwa zaidi uliofanywa na binadamu. Tangu majaribio ya kwanza ya bomu la nyuklia mnamo 1945 huko New Mexico na matumizi yake katika Hiroshima na Nagasaki, nguvu za silaha hizi zimeongezeka sana.
Hata hivyo, maelezo ya nguvu hizi na athari...
Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama.
Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema.
Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa...
Ni imani yangu sote tu wazima, nina kila sababu leo kuongea na vijana wenzangu.
Sote tunafahama hali ya maisha, vita ya kulipigania tumbo ni vita ngumu zaidi kuliko ile ya kusaka utajiri. Ni kama ile vita ya kupigania uhai, unapambana ii uendelee kuitwa kiumve hai.
Kwa mara kadhaa nimekuwa...
Kuna stori nyingi hasa za wanafunzi wa shule za sekondari kuona au kukutana na viumbe wa ajabu ajabu wasioeleweka ambao wamepewa jina maarufu la vibwengo.
Stori nyingi huwa zinawahusisha hawa viumbe wanaodaiwa kuonekana na uchawi, tatizo kubwa Waafrika mambo mengi yasiyoeleweka huwa...
Kumekuwa na maswali Mengi kuhusu safari za Ndege kwanini hazisafiri kufuata straight line kutoka bara moja kwenda jingine?
Na hivyo wataalamu wa mambo kuja na theory ya dunia ni flat( kama sarafu ya mia mbili inapokuwa chini)
Naomba mnisaidie kwenye uhakiki.
Aisee kama mwanadamu ndiye ameletwa kuja kutawala dunia kwanini tunaviogopa baadhi ya viumbe kama nyoka,simba,chuo,tempo na baadhi ya viumbe? Na kwanini? Napatwa na hasira nyingi kujiuliza kwanini tunavihofia viumbe vingine? Mamba hana akili lakini kwanini tumuogope kiumbe asiye na akili? ?????
Watu 15 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 100 hawajulikani walipo baada ya maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kuharibu makazi katika vijiji kadhaa mashariki mwa Uganda, wilayani Bulambuli jana Novemba 28, 2024.
"Kuna vifo vya watu 15 na tuna hofu kuwa bado kuna miili mingine mingi...
Ndio kwanza Umoja wa Ulaya haupendi kuiona Urusi ikiwa na nguvu. Kwa vyovyote vile lazima wazichape ili kumpunguza nguvu Urusi. Ndio hivyo wanamtumia Ukraine kuanzisha ugomvi ili wamzibue Urusi kirahisi.
Haya twende Marekani, Biden na Umoja wa Ulaya ni kitu kimoja kama Biden akiondoka...
Kipi special sanaa katika hii dunia kinachoweza kunijali kwa dhati eti nikionee huruma??? Eti kinifanye nicheze kwa standards zilizo fair, hakipo, so ni muda wa kuwa ruthless.
Anaekuhubiria uache pombe, anatembea na mke wako
Anaekukamata haujalipa kodi, anapita na pesa zote za mradi wa mtaani...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Ngoja tuanze na Shahiri kwanza
Shahiri:
Dunia tabu,
Duniani tabu haswa,.
Ukiishi tabu,
Ukizeeka tabu haswa,.
Ukifa tabu,
Ukizaliwa tabu haswa,.
Ukiwa na mali tabu,
Ukiwa masikini tabu haswa,
Ukiwa wa kike tabu,
Ukiwa wa kiume tabu haswa,.
NA HATA...
Miongoni mwa watu wenye bahati ni watu wa jamii forum.
Tuache ubishi, tukubali ufahamu tunatofautiana. Kile usichikijua wewe Haimanishi wengine nao hawajui.
Hizi Vita zinazoendelea kwa wakubwa hazitapoa. Kuna jambo la hatari Sana hapo Mbeleni kidogo. Hatari hii kubwa itawakumba wanadamu wate...
Leo nimekuja na swali langu kwa wana JF wale wa Earth is around, ninataka mnipe jibu la swali langu JE, DUNIA NI DUARA?
Kama dunia duara kitendo hiki kinaitwaje au kinaeababishwa na nini?
Je, dunia inazunguluka kama inazunguluka inakuwaje mpaka kikatokea kitendo hiki?
Je, shuleni uliwai...
Mkutano wa kilele wa 19 wa Kundi la Nchi 20 (G20) umefanyika hivi karibuni mjini Rio de Jeneiro, Brazil. Rais wa China Xi Jinping amesema katika mkutano huo kwamba, China imetangaza uamuzi wa kuzipatia nchi zote zilizo nyuma kimaendeleo zenye uhusiano wa kibalozu na China huduma ya kuondoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.