Nimeona nitoe taaluma hapa kusaidia jamii
Ukilala usiku hasa hasa kama nyumba haina madirisha ya kuingiza hewa ya kutosha kisha ukaingiza jiko la mkaa kinachotokea ni kwamba hewa ya oxygen iliyopo chumbani ina react na mkaa na kutokea hewa ya carbon dioxide
C + O2 = CO2
hii carbon...
Habari,
Kwa ambao tumesoma shule zilizojengwa na Wazungu hii mada haitakuwa ngumu kwenu.
Mimi nimesoma shule iliyojengwa 1923 na Waingereza. Ile shule mpaka sasa ina majengo ya mkoloni yenye uimara.
Wenzetu wanapojenga, wanapoamua au kupanga jambo hutazama vizazi vinavyokuja ila sisi...
Ukipata hela umepata vyote! Ukikosa hela umekosa vyote! Kosa vyote lakini kamwe usikose njia za kupata hela na kuimudu hiyo hela ikae na wewe! Akili kubwa kuliko zote ni jinsi ya kuipata hiyo hela na kuifanya ikae na wewe. Ukishinda huu mtihani basi kila kitu utakachokitaka katika dunia hii...
Benki ya Dunia imesema ipo tayari kutoa mitaji, dhamana na usaidizi wowote ili kuhakikisha Sekta binafsi inakuwa kipaumbele hususani katika kuwasaidia Vijana wa Afrika kufikia ndoto zao na maono yao kwa kuwekeza kwenye Sekta ya nishati.
Akiongea wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika...
Wakuu habari!
Mimi ni kijana wa makamo nimekuwa nikiona mtandaoni kwa mataifa ya Europe na Asia kukiwa na makampuni mengi yanayojihusisha na shughuli za fundraising kwa miradi na mawazo ya kibiashara yenye tija kwa jamรฌi na ulimwengu na kuwasaidia vijana kufikia malengo yao huku wakiongeza...
Pata shida upate akili
==================
Kuibuka kwa programu ya Kichina inayotumia AI inayoitwa DeepSeek kumekuja baada ya tangazo kubwa kutoka kwa Rais Donald Trump kuhusu kuendeleza maendeleo ya AI nchini Marekani.
Wiki iliyopita, Trump alizindua mradi uitwao Stargate - mradi wa AI wenye...
Kwa mujibu wa taarifa ya Oakland Institute kama ilivyonukuliwa na MongaBay ni kwamba Wananchi wa eneo la hifadhi ya Ruaha walipeleka malalamiko Benki ya Dunia Kisha kufunguliwa Kwa kesi Kwa manyanyaso waliyofanyiwa na maafisa wa TANAPA ikiwemo kuporwa mifugo Yao kwenye zoezi la kutaka kupanua...
Katika historia ya dunia, kumekuwa na matukio ambapo makundi ya watu wachache yamefanikiwa kwa kiwango kikubwa kijamii, kisiasa, kielimu, kiuchumi, n.k. Hali hii mara nyingi imepelekea chuki kutoka kwenye kundi kubwa na hatimaye mauaji ya kimbari (genocide), kuwafukuza, n.k. Aidha, wachache hawa...
๐๐๐ฉ๐: ๐ ๐ธ๐๐๐ฎ๐ป๐ผ ๐๐ฎ ๐ก๐ถ๐๐ต๐ฎ๐๐ถ ๐๐ณ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ฎ (๐๐ณ๐ฟ๐ถ๐ฐ๐ฎ ๐๐ป๐ฒ๐ฟ๐ด๐ ๐ฆ๐๐บ๐บ๐ถ๐) ๐ฎ๐ณ-๐ฎ๐ด ๐๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ฟ๐ถ, ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฑ
Tazama live Hapa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit)
Utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 27 โ 28 Januari, 2025.
Mkutano huu muhimu unaandaliwa kwa pamoja na Serikali ya...
Sijui ni watu wana stress, ulimbukeni, ujinga, utani uliopitiliza au wao ndio maofisa wa upinde sasa.
Maana mindset ya mtu ni view ya mwenendo wa mtu. So unapokuwa unamlopokea mwenzako namna hio usikute mambo ya upinde ndio jadi kwako either wewe ni bwana wa mtu au wewe ni bibie wa mtu, so...
Noam Chomsky ana mtazamo wa kina na wa kukosoa kuhusu demokrasia, hasa jinsi inavyotekelezwa na kuathiri nchi zinazoendelea. Kwa Chomsky, demokrasia mara nyingi haina maana halisi ya kuwa sauti ya watu, lakini badala yake inakuwa chombo cha kudhibiti tabaka la chini kwa masilahi ya tabaka...
Hasara ni kubwa sana, kwa mara nyingine Dunia unaenda kupata pigo kubwa kwa kukubali kuongozwa na mpumbavu. Marekani inapambana kuwa na ushawishi haswa huku Afrika ambapo china imeleta ushawishi mkubwa Wa kiteknolojia Leo anatokea mpumbavu mmoja kujiondoa kwenye shirika la Afya duniani. Huu ni...
Ilikuwa hivi:
Kulikuwa na event ya super stars๐ ktk mji wa Los Angeles,
Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao,
Majina yaliyoorodheshwa ni 1.Cast&Crew(wacheza filamu wa Hollywood na washiriki)
2.thamani ya mama ,
3.Lopez
4.MUNGU.
Ktk...
Mshambuliaji wa zamani wa Scotland, Manchester United, na Manchester City, Denis Law, ambaye ndiye mchezaji pekee wa Scotland kuwahi kushinda tuzo ya Ballon d'Or, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84.
Mwanasoka huyo aliyepewa majina ya utani kama "The King" na "The Lawman", alicheza kwa...
Leo nimekaa nikawaza kama Dinosaurs waliweza kupotea kabisa kwenye uso wa Dunia ikikaridiwa namba yao ilikuwa 2.5 billion, miaka milioni 65 iliyopita basi kuna uwezekano mkubwa wa binadamu nao kutoweka kabla Yesu hajarudi.
Dunia inakadiriwa kuwa na umri wa miaka bilioni 4.5 na katika miaka yote...
Heri ya mwaka mpya! Mnapongezwa tena kwa kazi yenu njema ya kufahamisha na kuelimisha kote duniani. Ujumbe unaofuata (umewasilishwa kama shairi lenye unabii wa mambo yanayoenda kutokea 2025). Ujumbe unaweza kuchapishwa n.k. Shukrani.
NDANI YA ROHO WA UNABII 2025! Kenya +254729011324, Tanzania...
Kuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
Leo hapa Iringa kwenye yale mabishano ya mitaani kuhusu siasa nimeshangazwa Sana na wana CCM.
Zaidi ya wana CCM 50 niliokutana nao na kuwauliza ni kwa nini chama chao kinaitwa "Chama Cha Mapinduzi" hakuna hata mmoja aliyekuwa na jibu.
Kuna wakati taasisi ya Twaweza waliafanya utafiti wa ni...