Inaonekana safari ya DRC kuingia EAC imeiva. Bado hatua chache tu lakini technically ni imekubaliwa.
Inasemwa kuwa lengo la Kenya kwenye EAC ni kupata soko la bidhaa zake, kuwekeza mtaji wake unaozidi na kupata ardhi. Rwanda, na labda Burundi, malengo yao ni kupata sehemu ya kupeleka watu...