Vijana wangu, nasikitika kwamba Sina sifa za kuhudhuria hii fursa, jitahidi saana kama una umri huo na vigezo tajwa hudhuria hii training.
Narudia, usiharibu bando yako kwinginee, tumia just hizo week kadhaa kufanya hizo training. Ningeruhusiwa ningehudhuria bahati mbaya umri umenitupa sana...