"Watanzania wenzangu mimi nilipigwa tarehe 8/3/2020, nilipigwa na Elibariki Kingu alinipiga nikaenda Mandewa hospitali ya Mkoa, nikaenda Benjamini Mkapa wakanipeleka Muhimbili, nikatibiwa na kufanyiwa operation mbili kichwani, nikaambiwa nirudi mwezi wa 8 lakini sikuweza kurudi kwasababu...