Mbunge Elibariki Kingu: Uteuzi wa Ndejembi, Mungu alizungumza na mimi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge wa Jimbo Ikungi Magharibi, Elibariki Kingu, "Nikiwaambiaga watu mimi ni mtumishi wa Mungu, wengine wanafanya masiara, miezi miwili iliyopita mimi Mungu alizungumza na mimi na nilimpigia simu Deo, nilimwambia kuna jambo Mungu anakwenda kukufanyia nimefunuliwa na Mungu..."

Soma:
 
"Nikiwaambiaga watu mimi ni mtumishi wa Mungu, wengine wanafanya masiara, miezi miwili iliyopita mimi Mungu alizungumza na mimi na nilimpigia simu Deo, nilimwambia kuna jambo Mungu anakwenda kukufanyia nimefunuliwa na Mungu..."-Mbunge wa Jimbo Ikungi Magharibi, Elibariki Kingu
IMG_0318.jpeg
 
Mbunge wa Jimbo Ikungi Magharibi, Elibariki Kingu, "Nikiwaambiaga watu mimi ni mtumishi wa Mungu, wengine wanafanya masiara, miezi miwili iliyopita mimi Mungu alizungumza na mimi na nilimpigia simu Deo, nilimwambia kuna jambo Mungu anakwenda kukufanyia nimefunuliwa na Mungu..."

Soma:
Uchawa ndio uliotufikisha hapa!
 
Mbunge wa Jimbo Ikungi Magharibi, Elibariki Kingu, "Nikiwaambiaga watu mimi ni mtumishi wa Mungu, wengine wanafanya masiara, miezi miwili iliyopita mimi Mungu alizungumza na mimi na nilimpigia simu Deo, nilimwambia kuna jambo Mungu anakwenda kukufanyia nimefunuliwa na Mungu..."

Soma:
Mmmmh unafiki mbaya sanaa Mimi pengine ningekua mbali zaidi ya hapa tatizo Mimi sio mnafiki /Mzandiki/ chawa kujipendekeza

😁☺️Hao hao mwaka 2031 inshallah mama Samia aki retire utawasikia wakisema vice versa... Binadamu unaweza kuwa una ogelea uka ambiwa unawatimulia vumbi

Sisi watu aina ya POLEPOLE tukae mbali na siasa kwa Katiba hii TUTAOKOTWA UNUNIO
 
Mbunge wa Jimbo Ikungi Magharibi, Elibariki Kingu, "Nikiwaambiaga watu mimi ni mtumishi wa Mungu, wengine wanafanya masiara, miezi miwili iliyopita mimi Mungu alizungumza na mimi na nilimpigia simu Deo, nilimwambia kuna jambo Mungu anakwenda kukufanyia nimefunuliwa na Mungu..."

Soma:
Wameshaanza kuwashwawashwa kisa tamaa ya madaraka
 
Mbunge wa Jimbo Ikungi Magharibi, Elibariki Kingu, "Nikiwaambiaga watu mimi ni mtumishi wa Mungu, wengine wanafanya masiara, miezi miwili iliyopita mimi Mungu alizungumza na mimi na nilimpigia simu Deo, nilimwambia kuna jambo Mungu anakwenda kukufanyia nimefunuliwa na Mungu..."

Soma:
MaCCM ni matapeli kwelikweli.
Hapo unaweza kuta hilo tapeli linataka kuja kufungua kanisa, na kwa vile anajua kuwa Deo asingeweza kusema "sio kweli".
 
Mungu hawezi kuzungumza na mafirauni, Mungu anazungumza na watu safi wapakwa mafuta.

Ila Kingu umeiacha pisi kali hii.

1787924359531.png
 
Mbunge wa Jimbo Ikungi Magharibi, Elibariki Kingu, "Nikiwaambiaga watu mimi ni mtumishi wa Mungu, wengine wanafanya masiara, miezi miwili iliyopita mimi Mungu alizungumza na mimi na nilimpigia simu Deo, nilimwambia kuna jambo Mungu anakwenda kukufanyia nimefunuliwa na Mungu..."

Soma:
Sio kila anayeota ni kutoka kwa Mungu.
Mengine ni ya shetani tu.
 
Back
Top Bottom