Hotuba ya rais Samuya wakati akimuapisha makamu wa rais wa mashaka na mizengwe akisema kuwa wamewapa vijana umakamu. Je, nii ni hila ya kuwahadaa vijana hasa Gen Z kuingia mkenge kuwa wameshirikishwa kwenye uongozi kupitia machawa? Je. vijana watakubali kuwa sehemu ya CCM ambayo ndiyo chanzo...
Mbunge wa Jimbo Ikungi Magharibi, Elibariki Kingu, "Nikiwaambiaga watu mimi ni mtumishi wa Mungu, wengine wanafanya masiara, miezi miwili iliyopita mimi Mungu alizungumza na mimi na nilimpigia simu Deo, nilimwambia kuna jambo Mungu anakwenda kukufanyia nimefunuliwa na Mungu..."
Soma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.