Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
Hotuba ya rais Samuya wakati akimuapisha makamu wa rais wa mashaka na mizengwe akisema kuwa wamewapa vijana umakamu. Je, nii ni hila ya kuwahadaa vijana hasa Gen Z kuingia mkenge kuwa wameshirikishwa kwenye uongozi kupitia machawa? Je. vijana watakubali kuwa sehemu ya CCM ambayo ndiyo chanzo cha karibu matatizo yote tunayopambana nao. Je, Ndejembi amekubali kutumia damu ya vijana?
Je, Ndejembi ni makamu wa rais au kibaraka wa Samuya na CCM?