BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Ninatabiri kesho nitajamba.
Shallom Shallom!!
Predicting the obvious and the preplanned.
Shallom Shallom!!
Predicting the obvious and the preplanned.
Haya ni madhara ya ubunge wa kupewa usio tokana na wananchi dharau sana hii kwa wananchiMbunge wa Jimbo Ikungi Magharibi, Elibariki Kingu, "Nikiwaambiaga watu mimi ni mtumishi wa Mungu, wengine wanafanya masiara, miezi miwili iliyopita mimi Mungu alizungumza na mimi na nilimpigia simu Deo, nilimwambia kuna jambo Mungu anakwenda kukufanyia nimefunuliwa na Mungu..."
Soma: