elimu ya chuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Nikikopa milioni 6 riba ya kulipa hilo deni kwa mwaka mmoja itakuaje? Nia yangu kwenda kusoma Masters nje

    Nia yangu kubwa ni kwenda kusoma MASTERS nje kwa njia yeyote ile ambayo haihusishi matumizi ya njia haramu yoyote, Sasa nimeongea na wazazi wamekubali kuweka nyumba dhamana nipate mkopo bank wa milioni 6 kama kigezo moja wapo kupata VISA ya kuingia baadhi ya nchi kama umepata partial...
  2. Niende kusoma digrii au diploma?

    Habari za muda wanaJF, Mimi ni kijana nimemaliza form six mwaka huu 2024, matokeo yangu kiufupi yalikua kama ufuatavyo. Chemistry - E Bio - E Geography - D BAM - E G.S - D Sema kweli matokeo yangu hayakua mazuri kwa ujumla. Bila kusita nilifanya application za vyuo kwa level mbili zote...
  3. Inawezekana mtu kuhama chuo (campus) uliyopangiwa?

    Wakuu habarini za jioni, poleni na hekaheka na mihangaiko ya siku.. Samahani naomba wajuzi mniambie je inawezekana kwa mtu aliechaguliwa chuo mfano amechaguliwa TIA campus ya Dar es salaam akataka kuhamia TIA campus ya mbeya? na kama inawezekana anatakiwa kufuata utaratibu upi?
  4. Mwambie mdogo wako anayekwenda Chuo, sisi pia tulienda tukapata degree

    1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi. 2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha. 3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi. 4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara, tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…