round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Nikiangalia Transcript yangu iliyojaa lundo la masomo niliyosoma nikilinganisha na kazi nayofanya, naona masomo mengi yalikuwa hayana umuhimu wowote ule.
Ni masomo machache sana utayoyatumia practically kazini.
masomo mengi ilibidi yawe kwenye kozi nyingine ila yamerundikwa ilimradi tu, masomo mengine ilibidi yawe kwa mtu anaeenda masters ku specialize zaidi,