elimu ya wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna haja wabunge wawe na elimu angalau diploma

    Wadau hii nchi ipo hapa ilipo kwa sababu viongozi wa kisiasa wengi ni vilaza. Mtu kama Shilole anakuwa mbunge kwa akili gani? Mtu kama baba Levo akiwa mbunge anaweza kuongoza watu lakini sio kukaa kusoma vifungu vya kimataifa vya mikataba. Kiukweli inabidi mabadiliko yafanyike lazima tuwe na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwahiyo Bunge mnatuambia Tarimba alisoma Cheti, Diploma na Degree kwa wakati mmoja? Ile Masters imeenda wapi?

    Baada ya Mbunge Tarimba kutrend kutokama na elimu yake kuwa na mashaka, taarifa zake zimeeditiwa katika website ya Bunge, lakini bado maswali ni mengi. - Kwanza chuo kimebadilika kutoka UD mpaka Tumaini! - Ile masters imeyeyuka shwaa, tumerudi kwenye degree, diploma na cheti. - Tatizo...
  3. JamiiForums Tanzania Je, CCM hupandikiza wagombea UBUNGE na UDIWANI la 7 na Form4 ili waendelee kubaki madarakani?

    Sifa ya Mgombea ubunge na udiwani sharti awe anajua kusoma na kuandika naomba ilishapita na wakati. Ni muaka 63 sasa tangu tupate uhuru lakini mpaka leo bado tunaongozwa na wajinga. Unampaje mtu wa form4 aongoze Jimbo? Watu wasiosoma hudhani msomi anajua kila kitu na matokeo yake huishia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…