PreGE2025 Kwahiyo Bunge mnatuambia Tarimba alisoma Cheti, Diploma na Degree kwa wakati mmoja? Ile Masters imeenda wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Blessed Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
284
Reaction score
870
Baada ya Mbunge Tarimba kutrend kutokama na elimu yake kuwa na mashaka, taarifa zake zimeeditiwa katika website ya Bunge, lakini bado maswali ni mengi.

- Kwanza chuo kimebadilika kutoka UD mpaka Tumaini!

- Ile masters imeyeyuka shwaa, tumerudi kwenye degree, diploma na cheti.

- Tatizo linakuja kwenye miaka, yaani jamaa wakati anasoma degree, ndio alisoma cheti kwenye mambo yake kubeti, na ndio alikuwa akisoma diploma ya Journalism.... vyote kasoma kati ya 2007 - 2010. Au ndio vyeti vya onlaini?🤣🤣🤣

- Tanzania of Journalism ndio chuo cha wapi hiki tena wakuu?🤣🤣

Aloo pamoja na kuedit bado jamaa hasaidiki, maji yapo shingoni🤣😂😂😂.

Bunge si hata mnipe hiyo ajira, wallah sitafanya makosa kama hayo :KEKLaugh::OMEGALAUGHING::OMEGALAUGHING:

IMG_20250601_145648_402.jpg
 
View attachment 3352749
Huyo elimu yake ni ya Kuunga unga aka ya mashaka aka ya hapa na pale.
 
Ndio tuelewe ndio mana wanatoa zawadi kwa muhimili mwengine nakusema kwaniaba ya wananchi kana kwamba tuliwatuma au tulikubaliana wafanye hivyo sasa kwa namna ya wabunge hao kina Ponjoro na wale wa Zenji kina Musukuma,Kibajaji and Co hatuwezi shangaa,
 
Back
Top Bottom