Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Gwajima ameshamuambia akae kwa kutulia
Bado The weekend ( Ditram Nchimbi ) ninamashaka nae sana
Duuh wanafanya haya Kwa manufaa ya nani? Yaani bunge ndio limekuwa ovyo kiasi hichi?Bunge limeshaedit taarifa zake, wametoa Ile Master's Degree, Leo wamebakisha Bachelor Degree ya Tumaini, wamefuta UDSM.
🤣🤣🤣🤣Baada ya Mbunge Tarimba kutrend kutokama na elimu yake kuwa na mashaka, taarifa zake zimeeditiwa katika website ya Bunge, lakini bado maswali ni mengi.
- Kwanza chuo kimebadilika kutoka UD mpaka Tumaini!
- Ile masters imeyeyuka shwaa, tumerudi kwenye degree, diploma na cheti.
- Tatizo linakuja kwenye miaka, yaani jamaa wakati anasoma degree, ndio alisoma cheti kwenye mambo yake kubeti, na ndio alikuwa akisoma diploma ya Journalism.... vyote kasoma kati ya 2007 - 2010. Au ndio vyeti vya onlaini?🤣🤣🤣
- Tanzania of Journalism ndio chuo cha wapi hiki tena wakuu?🤣🤣
Aloo pamoja na kuedit bado jamaa hasaidiki, maji yapo shingoni🤣😂😂😂.
Bunge si hata mnipe hiyo ajira, wallah sitafanya makosa kama hayo
View attachment 3352749
Ponjoro la Kinondoni🤣Baada ya Mbunge Tarimba kutrend kutokama na elimu yake kuwa na mashaka, taarifa zake zimeeditiwa katika website ya Bunge, lakini bado maswali ni mengi.
- Kwanza chuo kimebadilika kutoka UD mpaka Tumaini!
- Ile masters imeyeyuka shwaa, tumerudi kwenye degree, diploma na cheti.
- Tatizo linakuja kwenye miaka, yaani jamaa wakati anasoma degree, ndio alisoma cheti kwenye mambo yake kubeti, na ndio alikuwa akisoma diploma ya Journalism.... vyote kasoma kati ya 2007 - 2010. Au ndio vyeti vya onlaini?🤣🤣🤣
- Tanzania of Journalism ndio chuo cha wapi hiki tena wakuu?🤣🤣
Aloo pamoja na kuedit bado jamaa hasaidiki, maji yapo shingoni🤣😂😂😂.
Bunge si hata mnipe hiyo ajira, wallah sitafanya makosa kama hayo
View attachment 3352749
Mzumbe LLB wanachukua miaka mingapi?Kuna LLB ya miaka 3 Tanzania ?.
Hizo Diploma zake, inakuaje ni za Mwaka Mmoja Mmoja ??