KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Tumaini ni 3yrsVyuo vyote LLB ni miaka minne
Sema hz cv za wabunge ni vioja sana..
Mihimili ambayo ipo serious na ukaguzi wa elimu ni serikali kidogo, na mahakama (hapa vilaza ni wachache)
Tumaini ni 3yrsVyuo vyote LLB ni miaka minne
Hii CV haibebeki. Yaani mtu ashindwe kufuatilia na kutilia mkazo elimu hadi amalize, inawezekana je akawa kiongozi? How come a failure can lead intellectuals?Baada ya Mbunge Tarimba kutrend kutokama na elimu yake kuwa na mashaka, taarifa zake zimeeditiwa katika website ya Bunge, lakini bado maswali ni mengi.
- Kwanza chuo kimebadilika kutoka UD mpaka Tumaini!
- Ile masters imeyeyuka shwaa, tumerudi kwenye degree, diploma na cheti.
- Tatizo linakuja kwenye miaka, yaani jamaa wakati anasoma degree, ndio alisoma cheti kwenye mambo yake kubeti, na ndio alikuwa akisoma diploma ya Journalism.... vyote kasoma kati ya 2007 - 2010. Au ndio vyeti vya onlaini?🤣🤣🤣
- Tanzania of Journalism ndio chuo cha wapi hiki tena wakuu?🤣🤣
Aloo pamoja na kuedit bado jamaa hasaidiki, maji yapo shingoni🤣😂😂😂.
Bunge si hata mnipe hiyo ajira, wallah sitafanya makosa kama hayo
View attachment 3352749
Wabunge wengi pale CV za kubumba, na mbaya zaidi hakuna organ ambayo inaweza kufanya verification ya elimu zao, akisema amesoma Tanzania of Journalism sawa tu hata kama hakipo!!Baada ya Mbunge Tarimba kutrend kutokama na elimu yake kuwa na mashaka, taarifa zake zimeeditiwa katika website ya Bunge, lakini bado maswali ni mengi.
- Kwanza chuo kimebadilika kutoka UD mpaka Tumaini!
- Ile masters imeyeyuka shwaa, tumerudi kwenye degree, diploma na cheti.
- Tatizo linakuja kwenye miaka, yaani jamaa wakati anasoma degree, ndio alisoma cheti kwenye mambo yake kubeti, na ndio alikuwa akisoma diploma ya Journalism.... vyote kasoma kati ya 2007 - 2010. Au ndio vyeti vya onlaini?🤣🤣🤣
- Tanzania of Journalism ndio chuo cha wapi hiki tena wakuu?🤣🤣
Aloo pamoja na kuedit bado jamaa hasaidiki, maji yapo shingoni🤣😂😂😂.
Bunge si hata mnipe hiyo ajira, wallah sitafanya makosa kama hayo
View attachment 3352749
Hii nchi inavituko sana mzee ukichukulia sirias sana unaweza kufa mapema. Kiufupi huyu hana kitu .Kwanza inakuwaje miaka aliyosoma Primary&Sec isijulikane na yupo hai?
Kama alitoka Madrasa kwenda diploma iwekwe wazi!
Mbona akina Lusinde,Kishimba hawajaleta mbwembwe kwenye elimu zao.
Hivi hadi leo hujalamba asili wewe mpare?Hakuna nchi rahisi kuiongoza kama Tanzania, hata mbuzi anaweza kuwa kiongozi.
Tajiri AbbTajiri Abbas😂
NilambisheHivi hadi leo hujalamba asili wewe mpare?
Hichi ndiyo kipind kizur cha kulamba asali sasa
Tuanzie ordinary level na advanced alisoma wapi na ufaulu wake ukoje!? Tuanzie huko Kwanza. Kuhusu hizo stashahada za mwaka mmoja huenda inawezekana Kwa sababu zote ni za kubet kitu ambacho sidhani km ni muhimu Sana Duniani.Baada ya Mbunge Tarimba kutrend kutokama na elimu yake kuwa na mashaka, taarifa zake zimeeditiwa katika website ya Bunge, lakini bado maswali ni mengi.
- Kwanza chuo kimebadilika kutoka UD mpaka Tumaini!
- Ile masters imeyeyuka shwaa, tumerudi kwenye degree, diploma na cheti.
- Tatizo linakuja kwenye miaka, yaani jamaa wakati anasoma degree, ndio alisoma cheti kwenye mambo yake kubeti, na ndio alikuwa akisoma diploma ya Journalism.... vyote kasoma kati ya 2007 - 2010. Au ndio vyeti vya onlaini?🤣🤣🤣
- Tanzania of Journalism ndio chuo cha wapi hiki tena wakuu?🤣🤣
Aloo pamoja na kuedit bado jamaa hasaidiki, maji yapo shingoni🤣😂😂😂.
Bunge si hata mnipe hiyo ajira, wallah sitafanya makosa kama hayo
View attachment 3352749
Na huyu ndo wagombea wa Upinzani walienguliwa kuwa hawajui kusoma akapitishwa yeye msomi mbuzi🚮🚮🚮Baada ya Mbunge Tarimba kutrend kutokama na elimu yake kuwa na mashaka, taarifa zake zimeeditiwa katika website ya Bunge, lakini bado maswali ni mengi.
- Kwanza chuo kimebadilika kutoka UD mpaka Tumaini!
- Ile masters imeyeyuka shwaa, tumerudi kwenye degree, diploma na cheti.
- Tatizo linakuja kwenye miaka, yaani jamaa wakati anasoma degree, ndio alisoma cheti kwenye mambo yake kubeti, na ndio alikuwa akisoma diploma ya Journalism.... vyote kasoma kati ya 2007 - 2010. Au ndio vyeti vya onlaini?🤣🤣🤣
- Tanzania of Journalism ndio chuo cha wapi hiki tena wakuu?🤣🤣
Aloo pamoja na kuedit bado jamaa hasaidiki, maji yapo shingoni🤣😂😂😂.
Bunge si hata mnipe hiyo ajira, wallah sitafanya makosa kama hayo
View attachment 3352749
Llb za miaka 3 zipo......Mzumbe na Makumira ni miongoni mwa vyuo vinavyotoa kwa miaka 3Kuna LLB ya miaka 3 Tanzania ?.
Hizo Diploma zake, inakuaje ni za Mwaka Mmoja Mmoja ??
1. Diploma: UhalanziHapo 2007-2007 Uholanzi ndio chuo gani hiko ?
Hivi wanao zihakiki hizo CV huwa hawajiridhishi kuhusu muda na vyuo walivyosoma hao waheshimiwa?Tz Rai wamedhurumiwa Sana yote haya yaliletwa na tabia ya kupokea na kuhifadhi bila kupekua.
😂😂😂😂😂Certificate sidhani kama ni zile za kusoma kabisa. Nafikiri labda ni certificate zile za kuhudhuria makongamano na semina ambazo baadae unapewa certificate.