PreGE2025 Kwahiyo Bunge mnatuambia Tarimba alisoma Cheti, Diploma na Degree kwa wakati mmoja? Ile Masters imeenda wapi?

PreGE2025 Kwahiyo Bunge mnatuambia Tarimba alisoma Cheti, Diploma na Degree kwa wakati mmoja? Ile Masters imeenda wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwanza inakuwaje miaka aliyosoma Primary&Sec isijulikane na yupo hai?

Kama alitoka Madrasa kwenda diploma iwekwe wazi!

Mbona akina Lusinde,Kishimba hawajaleta mbwembwe kwenye elimu zao.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Baada ya Mbunge Tarimba kutrend kutokama na elimu yake kuwa na mashaka, taarifa zake zimeeditiwa katika website ya Bunge, lakini bado maswali ni mengi.

- Kwanza chuo kimebadilika kutoka UD mpaka Tumaini!

- Ile masters imeyeyuka shwaa, tumerudi kwenye degree, diploma na cheti.

- Tatizo linakuja kwenye miaka, yaani jamaa wakati anasoma degree, ndio alisoma cheti kwenye mambo yake kubeti, na ndio alikuwa akisoma diploma ya Journalism.... vyote kasoma kati ya 2007 - 2010. Au ndio vyeti vya onlaini?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

- Tanzania of Journalism ndio chuo cha wapi hiki tena wakuu?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Aloo pamoja na kuedit bado jamaa hasaidiki, maji yapo shingoni๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Bunge si hata mnipe hiyo ajira, wallah sitafanya makosa kama hayo :KEKLaugh::OMEGALAUGHING::OMEGALAUGHING:

View attachment 3352749
Wakenya walikuwa sahihi kutucheka, karibia ya wabunge wetu wote ni vilaza na ndiyo maana ni wachawi kwa sababu hawajiamini. Yaani fikiria mtu kama Tarimba au Musukuma eti anatutungia sheria ya nchi, si ujinga huu jamani?
 
Ila hii CV inachosha kabisa kuitazama, Ponjoro alikua anasoma mwaka mmoja mmoja tyuuh.
Duuuh ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Huyu mtu wa Tanga, kazi yake kubwa ni kufuga mapaka na hata pale kwake Kinondoni penye mgahawa ni full mapaka tu, wengine wanasema ni nduguze Ponjoro wanakuja kusalimu wateja.
 
Back
Top Bottom