elimu

  1. Kiwango cha Elimu nafasi ya Ubunge iwe angalau Degree, Waziri awe mtaalamu na mwenye uzoefu wa kutosha kwenye sekta husika

    Wakuu, Hivi kwanini tunaendelea na kigezo cha kujua kusoma na kuandika kwa wanasiasa ambao baadae wanakuja kushika nafasi kubwa ambazo zinahitaji mtu awe na upeo na mkubwa? Huku ndio tunapata watu ambao ukiwawekea kengele tu kule mbele wanakuwa kama nyumbu bila kujali lolote. Tunakazana na...
  2. Mganga Mkuu wa Wilaya Meatu, Mahela Godfrey Njile aamua kutoa Elimu ya kipindupindu Kwa lugha ya KISUKUMA

    Mganga Mkuu Halmashauri Ya Wilaya Meatu , Mahela Godfrey Njile akitoa Elimu ya kipindupindu Kwa lugha ya KISUKUMA katika kata ya Mbugayabang'hya. Pia soma: ~ Kihongosi: Baadhi ya Mila na Tamaduni zinachangia Kipindupindu Simiyu ~ Kipindupindu Simiyu kimeshamiri, kinaua ni hatari! Mbona...
  3. Katibu Tawala Simiyu: Elimu ya kujikinga na Kipindupindu kutolewa kwa Lugha ya Kisukuma na Kiswahili

    Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Prisca Kayombo amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu kutumia lugha mbili ya Kiswahili na Kisukuma ili kuweajengea Wananchi wasijua lugha ya Kiswahili uelewa wa namna ya kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu. Aidha amemuagiza Mkurugenzi...
  4. G

    Kijana usitegemee sana elimu ya darasani kukupa maisha, tafuta ujuzi au maarifa ya ziada yenye guarantee ya kukupa maisha,

    ukweli ni kwamba elimu yetu ya Tanzania ina malengo zaidi ya kuajiriwa kuliko kujiajiri, vijana wengi wakipata vyeti ndoto huwa ni kuajiriwa, ni almost 2% ya wahitimu huwa wana ndoto nje ya ajira. Uwanja wa ajira upo tofauti sana sio kama mnavyohadithiana vyuoni, Ajira ni chache sana, Vyuo...
  5. M

    Maombi ya mikopo ya elimu ya juu

    Tunaomba bodi ya mikopo ituangalie kwa jicho la tatu ambao hatukufanikiwa kukamilisha kuwasilisha nyaraka zote za muhimu kwenye maombi ya mikopo Hata kama muda wa maombi umeisha au watakao kosa kabisa basi mwezi wa kumi lifunguliwe dirisha jingine
  6. Waziri wa Elimu ziarani Mkoani Njombe kwa ajili ya kukagua miradi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amewataka Watanzania kujivunia kwa maendeleo yaliyopatikana katika sekta mbalimbali zinazogusa wananchi moja kwa moja. Akizungumza na viongozi na watumishi wa Halmashauri ya Njombe, Septemba 20, 2024 wakati wa ziara ya kukagua miradi ya...
  7. Changamoto za elimu katika taifa letu la Tanzania

    "kutokana na uhalisia kwamba hali ya elimu kuzidi kuwa mbaya nchini hali hii imetokana na Changamoto zinawakabili walimu kama ifuatavyo:- 1: miundo mbinu mibovu.Hali hii husababishwa na serikali na wananchi kutotilia mkazo katika swala zima la ujezi wa vyumba vya madarasa pamoja na ujenzi...
  8. DOKEZO UTAPELI: Afisa Elimu mkoa wa Morogoro anatapeli fedha kwenye shule zilizopo chini yake

    Yeye kwa kushirikiana na wahalifu wengine ofisini kwake, wametengeneza mfumo bila kuishirikisha taasisi ya serikali inayotengeneza websites na mifumo yote ya serikali yaani eGA. Mfumo huo ambao hautumii kikoa (domain) ya serikali ya Tanzania yaani .go.tz, unatumia domain ya .us ambayo si...
  9. A

    DOKEZO TAKUKURU, TAMISEMI mje Karagwe - Kagera, Walimu Wakuu na Maafisa Elimu (Karagwe) wanaumiza wanaopewa tenda

    Hapa Halmashauri ya Wilaya Karagwe, Mkoa wa Kagera kuna changamoto kubwa ya kukosekana kwa uadilifu na uwajibikaji unaofanywa hasa na Walimu Wakuu wa Shule pamoja na Ma-Afisa Elimu katika ngazi ya Shule za Msingi. Inapotokea kuna tenda Mkandarasi anapata inayohusu Shule fulani, ili uweze kupata...
  10. Nimeongea na matapeli kadhaa politely majibu waliyonipa nimehitimisha kuwa kadri elimu inavyokua upumbavu nao unakua kwa kasi

    Mitandao yote ya kijamii matapeli wamejaa ila Facebook kwasababu ina watumiaji wengi kuliko mitandao mingine huko ndiko kuna matapeli concord. Shemeji yangu mhitimu wa chuo cha kilimo kaliwa na mjemba mmoja aliyejifanya mwajiri. Kampanga wakutane Iringa amwajiri akamzungusha kuwa yuko mbali...
  11. Mtumbwi wazama Ziwa Viktoria, mmoja afariki sita hwajulikani walipo

    Watu sita wanahofiwa kufa maji, huku mwili mmoja ukiopolewa baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama ndani ya Ziwa Victoria. Watu hao walikuwa wakitoka kwenye harusi Kijiji cha Mwiruruma, kuelekea katika kitongoji cha Bulomba Kijiji cha Igundu wilayani Bunda Mkoa wa Mara. Mkazi wa Kijiji...
  12. M

    Chris Mauki elimu yake ya saikolojia ni against wanaume tu?

    Jamaa tangu nimfahamu YEYE NI KUWAPONDA TU WANAUME linapokuja suala la mahusiano. Na kwa hili amefanikiwa sana kujipatia UJIKO kwa kina Mama Anyway ninachoamini ni kwamba jamaa mada zake zote anazozitoa anazitoa kwa muamvuli wa taaluma ya psychology lakini kiuhalisia MENGI NI MAONI YAKE...
  13. CCM imeharibu Elimu yetu. Utumiaje kiingereza miaka 10 kujifunzia halafu usijue kiingereza?

    Moderator hii ni hoja ya kisiasa msiigeuze ya lugha. Suala la Elimu ya nchi hii kuwa ya kiwango cha juu ama cha chini ni la mjadala. Lakini kiwango cha usomi wa wasomi wetu si mjadala unaotakiwa kuahirishwa. Hivi wasomi wetu tunawapimaje, kwa nini wasomi wetu linapokuja suala la ushindani na...
  14. Msaada wakuu kupata kozi zenye nafasi ya kujiajiri na kuajiriwa

    Wakuu Habari za Wakati, Kuna kijana kaniomba ushauri juu ya kipi akasome Veta, hasa long course. Kwa ufahamu na uelewa wangu nime mshauri ajaze kozi zifuatazo; 01. Designing, sewing and clothing technology 02. Electronics 03. Food technology. Jinsi yake ni ke. Ufaulu wake kidato Cha nne ni...
  15. G

    Madini na rasilimali nyingi ni mapambo kama huna watu sahihi. Tunatakiwa tufumue upya mfumo wetu wa elimu

    Ndio maana nchi yetu wanaotajirika zaidi ni wahindi, waarabu, wakenya, chinese, n.k. sisi tumebaki kujisifu nchi yetu tajiri lakini hatunufaiki na huo utajiri, imahine majirani Kenya ndio wanajulikana zaidi kuuza maparachichi nje kumbe wanayatoa huku kwetu, madini ya Tanzanite dili ndefu...
  16. Dkt. Tulia asisitiza umuhimu wa Vijana kupewa kipaumbele cha elimu na ajira

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa Vijana wengi Duniani wanakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo elimu duni na ukosefu wa ajira, hali inayowasababisha kukosa matumaini, kujiingiza katika uhalifu...
  17. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni yaipongeza Kibaha Mji kwa usimamizi wa miradi ya maendeleo

    Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia Wizara ya Elimu na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeridhika na utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Shimbo iliyopo Kata ya Mkuza,Halmashauri ya Mji Kibaha Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Husna Sekiboko amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  18. Wanafunzi 1,230,780 kufanya mitihani ya kuhitimu elimu ya Msingi leo Septemba 11, 2024

    Wanafunzi 1,230,780 wamesajiliwa na wanatarajiwa kufanya mitihani ya kuhitimu Elimu ya Msingi kuanza leo Septemba 11, 2024, kati yao Wavulana ni Asilimia 46 na Wasichana ni Asilimia 54 Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Dkt. Said Mohamed amesema masomo yatakayotahiniwa ni Sita...
  19. WAZIRI WA ELIMU & OR-TAMISEMI; Tunaomba Elimu iongozwe na viongozi wenye Elimu kubwa kuanzia Mwalimu mkuu hadi mkuu wa shule Ila Afisa Elimu iwe PhD.

    Hili ni pendekezo langu kwenye Dira mpya ya Taifa. Ninashauri viongozi wa idara na taasisi za Elimu nchini wawe na Elimu kubwa. Mfano; unaweza kuta mwalimu anayefundisha ana PhD Ila anaongozwa na mtu mwenye degree au Mwalimu mkuu ana diploma Ila anamuongoza Mwalimu mwenye degree hii haileti...
  20. Ni mfumo wetu wa elimu mbovu au wanafunzi uelewa upo chini? Nchi nyingi duniani vijana waliosoma ICT ndio matajiri ila kwetu wanazunguka na bahasha

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hebu tutoe maoni kwanini vijana wa sayansi especially ICT wanahangaika sana wakati Kwa elimu yao wangekuwa na uwezo wa kubuni apps ambazo zingewakwamua kiuchumi badala yake wanahangaika na bahasha kama wahitimu wa procurement & supply. Mfano wa kijana wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…