elimu

  1. nergomafioso

    Mbona kama mama kanilengesha kwa huyu binti! Ndo tulipofikia huku

    Mimi kama kijana ninaye jitafuta bado ninaishi na mama yangu mzazi pamoja na mdogo wangu ambaye kwa sasa yupo kidato cha nne, dada yangu wa kwanza ameolewa yupo na familia yake yeye kaniacha miaka 6 ndio nikafuatia na mimi nimemuacha mdogo wangu wa mwisho kwa miaka 10. Katika swala la maadili...
  2. Pascal Mayalla

    Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi.

    Wanabodi Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA CPA Paul John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi. Watch https://www.youtube.com/live/BwSqvxL7YVw?si=q1MXVglKZ3cZTPdF Walalaze amekumbusha mwezi September ni mwezi wa kulipa awamu ya tatu ya kodi...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Huwezi kuwa tajiri namba moja duniani bila kusoma shule

    Huu ni ukweli tu ulio wazi. Dunia itabaki kutawaliwa na wasomi mpaka Yesu anarudi. Huwezi kuwa Tajiri namba moja duniani bila kusoma shule. Pia soma: Hili la Diamond kujihakikishia kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani linaashiria nini katika ulimwengu wa giza? Katika dunia ya sasa...
  4. and 300

    Prof Mkumbo anafaa Wizara ya Elimu, Mkenda peleka Uwekezaji

    Kama kweli tunataka mabadiliko katika sekta ya elimu Profesa Kitila Mkumbo apelekwe ELIMU, mwamba kafanya tafiti haswa kwenye ELIMU. Nimechungulia profile yake huko GOOGLE SCHOLAR unaweza kulia namna ambavyo hatumtumii kwenye sekta husika...
  5. Nigrastratatract nerve

    Pre GE2025 Elimu ya Nchimbi na hadhi ya Chama cha Mapinduzi mdahalo wake ulitakiwa kusimamiwa na maprofesaa na wanaofanya mdahalo wawe PhD holders

    Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama vya kabatini wenye maneno ya umbea na ya kutunga hongera Sana Dr Nchimbi kwa kuwagomea hawa...
  6. Issakson makanga

    Kukwama kwa maombi ya mkopo wa elimu ya juu

    Wandugu habarini, Nina kijana alikuwa mnufaika wa mkopo apo S.U.A Akakutana na changamoto baada ya mzazi kufariki akasitisha Masomo Mwaka jana aka apply akapata tena apo S.U.A Sasa changamoto iko kwenye kuomba tena mkopo Aliambiwa alipe 25% ya deni lake la nyuma na ameshalilipa Changamoto...
  7. Jaji Mfawidhi

    Jenista Mhagama ana CV tosha, uongozi ni kipawa si elimu!

    Uongozi ni kipawa na si elimu, Jenista ana kipawa cha ajabu haijawahi kutokea hivyo anatoshea kwenye nafasi hiyo.
  8. Black Legend

    Waziri wa Elimu aingilie kati utendaji mbovu wa taasisi ya elimu TET/ TIE

    Taasisi ya Elimu TET au maarufu TIE, ni chombo cha serikali kilichopewa jukumu la kukuza na kuendeleza Elimu kwa upande wa UKUZAJI MITAALA na UANDAAJI WA MAUDHUI YA MITAALA. Jambo la kusikitisha saana , kumekuwa na madudu mengi saana katika taasisi hii muhimu katika Elimu yetu. Ni jukumu kuu la...
  9. PAZIA 3

    Sare za mahafali elimu ya juu, kofia na gauni jeusi, kurusha juu kofia siku ya mahafali,( tossing graduation hats) asili yake ni nini?

    Habari za Leo wanaJF. Naomba mwenye kujua asili ya utamaduni wa wahitimu elimu ya juu ( degree, masters na PHD)siku ya mahafali kuvaa na kurusha juu kofia zao. Najua watu wengi hawajui, tutumie platform hii kuwajuza. Karibuni sana
  10. B

    Arusha hatuhitaji elimu yeyote kutoka viongozi wa serikali ya CCM

    Mwenyekiti wa CHADEMA aelezea vituko vya chama dola kongwe CCM MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA ARUSHA ATOA MAZITO MKUTANO WA HADHARA https://m.youtube.com/watch?v=e2Ikimr7f60 Hatuwezi kuwaelewa Prof. Palamagamba Kabudi wala William Lukuvi waliotumwa na serikali ya CCM maana serikali ya CCM...
  11. Melubo Letema

    Kama Jina la Filbert Bayi Linawakwaza Liondolewe ~ Bayi

    MEJA Mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambaye pia alikua mwanariadha aliyeng'ara katika medani ya mchezo wa riadha Olympic mwaka 1974 Filbert Bayi pichani juu amesema kuwa Shule yake inakabiliwa na changamoto ya miundombinu ya barabara. Tangu nianzishe Shule hii ya Filbert Bayi...
  12. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Asisitiza Elimu kwa Watoto wa Kike

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa wazazi na walezi kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha mtoto wa kike anaelimishwa ili kuleta matokeo chanya kwa jamii na Taifa...
  13. K

    Elimu ni uti wa Mgongo

    ELIMU NI UTI WA MGONGO Wanaccm tunapojielimisha kwa hiari zetu Mambo mbalimbali ni wazi tunakuza UWEZO WETU KIFIKRA NA KIMITAZAMO. Pia tunaitendea haki Katiba ya CCM 1977 toleo 2020 ambamo tuna AHADI NA WAJIBU kwa kila Mwanaccm kuuondoa UJINGA kila Mmoja wetu kwa kadri anavyojaaliwa na Mola...
  14. Meneja Wa Makampuni

    Dotto yupo sahihi wasomi hatuutumii mtaji wetu wa elimu tulio utafuta kwa miaka mingi kutafuta pesa kama wengine

    Dotto anaongea ukweli wasomi lazima wabadilike tena sana. Zaidi ya vyeti na ajira ni kitu gani kikubwa msomi ana miliki wakuu? VYETI: Msomi akifa watoto hawawezi kurithi vyeti. Akifa tu vyeti vinatupwa jalalani havina kazi tena. AJIRA: Msomi akifa watoto hawawezi kuirithi. Akifa tu ajira...
  15. Bob Manson

    Mifumo ya Elimu inavyo wafanya watoto kupoteza uwezo wa kuuliza na kuhoji

    Habarini wadau na wazazi wote katika jukwaa hili... Ukizungumza na watoto wadogo waliopo madarasa ya awali, utakutana na wengi wao wakiwa na hulka au ushawishi wa kujua mambo mengi ya kisayansi na mazingira. Na wanauliza maswali muhimu, wanauliza " ndoto ni nini, kwanini tunalala usingizi...
  16. The Burning Spear

    Hii kauli Dotto Magari kuhusu Elimu. Anatakiwa achukuliwe hatua za kisheria kwa kupotosha na kutukana umma

    Hi Great Thinkers. Katika Pita pita zangu nimekutana na hii clip. In short siyo nzuri na haina afya yoyote. Yaani kwa huyu jamaa anataka kusema elimu haina msaada wowote licha ya mabilion ya pesa yaanyowekezwa ili watu wasome. Bila elimu hata hilo gari analolinga nalo sidhani kama lingepatikana.
  17. DodomaTZ

    Taasisi zatoa elimu ya utekelezaji wa Sera ya Nishati ya Mwaka 2015 kwenye Tamasha la Kizimkazi

    Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zake leo Agosti 21, 2024 zimeshiriki katika Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival) yanayoendelea kwenye Kijiji cha Kizimkazi, Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Kisiwani Zanzibar. Katika tamasha hilo la Kizimkazi Wizara na taasisi zinatoa elimu ya...
  18. K

    UPDATES: Elimu kwa umma ambayo ni jambo la msingi na endelevu

    TUYAONDOE MAJAMBAZI YA KISIASA KWENYE VYEO YALIKOJIPENYEZA KWA RUSHWA YAKAPATA VYEO ILI TUBAKI NA WATU WAAMINIFU NA WAADILIFU WENYE UCHUNGU WA KUWAINUA MAFUKARA Nilisikika nikiunguruma katika Ulimwengu wa Kiroho huko Ndotoni. Baada ya kuyaona Majambazi ya Kisiasa Baadhi yaliyo jipenyeza kwenye...
  19. Surya

    Elimu ya darasani sio ufunguo wa mafanikio. (Njia ya mafanikio hii hapa)

    Nitajitahidi kutumia maneno machache.. japo mada hii kueleweka vizuri inahitaji maelezo mengi sana. Nianze na haya kwanza, 1. Elimu Ukiwa na miaka kama sita hivi unaanza shule. Kujifunza kusoma, kuandika na mahesabu. Ukisoma chuo utajifunza kazi fulani kufatana na ufaulu wako (IQ) Uwezo wa...
  20. Paul dybala

    Naweza kusoma huku nikiwa natafuta pesa ya kujikimu na kujilipia ada?

    Inawezekana kusoma? yaani naweza kusoma huku nikiwa natafuta pesa ya kujikimu na kujilipia ada? Je, kuna utaratibu wa chuo kumpa mtu muda wa kufanya kazi za kujiingizia kipata na kufanya masomo nyakati za jioni? Zile assignment, group disc huwa inakuwajee? wajuzi naomba wanifahamishe.
Back
Top Bottom