Kusitishwa kwa utekelezaji wa sera mpya kwa kidato cha tano, je athari zake ni zipi ilihali tayari tulishawapeleka watoto mashuleni?
Je watanzania hasa wazazi na wanafunzi wanajua vigezo vya kujiunga vyuo vikuu na vya kati ni sawa? Nini athari zake kwa vyuo vikuu na kwa vyuo vya kati, nini...
Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na...
Habari
Katika mwili wa binaafamu Huwa Kuna viashiria vingi vinavyotokea kutokana na baadhi ya viungo kucheza....mfano wa viungo kucheza ni kama..
1.Pua kucheza
2.kung'ata ulimi
3.ngozi juu ya jicho kucheza
4.na viungo vinginevyo..
5...
6...
Asante.
Je yote haya yanaashiria nini sana sana...
Habari gani wadau? Kama mnakumbuka, siku za nyuma kidogo kuna mdau alitoa dokezo kuhusu afisa elimu sekondari Kilwa kudhulumu sitahiki za walimu kama vile malipo ya likizo, malipo ya uhamisho na malipo ya UMISETA. Mdau alieleza hoja kadhaa kinagaubaga kuelezea uhalisia wa tuhuma zake kwa Afisa...
Kitendo cha kuvibonyeza, kuvikandamiza vichwa vya watoto wachanga ili kuzuia kichogo, bila kutumia wataalamu wa afya, hii inaweza kusababisha hitilafu ya ubongo Kwa Mtoto. Na Kwanza kitabibu hairuhusiwi kufanya kitendo kama hicho.
Serikali kupitia wizara ya AFYA, toeni elimu ya kutosha, hasa...
Kwa maisha ya dunia ya sasa ukizaa watoto watano au sita kuna ubaya gani??
Sasa kuna jamii bado zinazaa watoto 12 kama wana wa Israel.
Tuambiane ukweli,ardhi zimeshachoka na uwezo wa kukea hao watoto ni changanoto,hii inapelejea uharibifu wa nazingira na jukosekana wataalan wa afya,walimu wa...
Katika kuhakikisha ulinzi na Elimu vinatolewa Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha Wanamaji nchini kimeendelea kuyafikia makundi mbalimbali yawatumiaji wa vyombo vya majini ambapo leo kimetoa elimu ya ukatili wa kijinsia na mbinu za namna bora za kujiokoa pindi inapotokea ajali katika vyombo...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda akielezea mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, namna Serikali ilivyojipanga kutatua changamoto zilizopo katika Vyuo Vikuu vya umma Nchini, ameyasema hayo Morogoro, leo Agosti 4, 2024.
Tume ya Madini, leo Agosti 04, 2024 imeendelea kutoa elimu kwa wadau wa madini katika Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma
Elimu imetolewa katika maeneo ya usimamizi/udhibiti wa Sekta ya Madini na ukusanyaji wa mapato ya Serikali yatokanayo na...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeanza jifunza kuhesabu kwa kiarabu
Nimeona niwe tofauti na Wakristo wenzangu wanaoamini kuwa kiingereza ndiyo lugha sahihi zaidi kwao kuliko lugha nyingine
Kiarabu ni mojawapo ya lugha bora Duniani tena iliyotumika kushushia kitabu kitakatifu
Asubuhi ya leo...
Habari za mchana.
Ninahitaji kujua vyuo vya serikali vinavyotoa diploma ya ELIMU maalum kwa viziwi,. Nimejaribu kupitia mtandaoni nimeona ni Kabanga-Kasulu na Mpwapwa-Dodoma ndio vinavyotoa diploma ya ELIMU maalum ila kwakuwa lengo langu ni kusoma ya viziwi na sijui kama hivyo vyuo vinacourse...
Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?
Au...
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesema sera ya elimu bure inayopigiwa kelele na Serikali ya CCM ni ulaghai mtupu. Haitekelezeki kwa ufanisi kiasi cha kurejesha tena michango lukuki kwa wazazi.
“Wazazi wanachangishwa fedha kwa ajili ya mitihani, vitabu, chakula, walinzi, ukamilishaji wa...
NANYAMBA YA FIKIWA NA ELIMU YA FEDHA
Na Chedaiwe Msuya, WF, Mtwara
Katika mji wa Mtwara, ambao unajulikana kwa shughuli za uvuvi na rasilimali za gesi asilia, serikali iliamua kutoa mafunzo ya elimu ya fedha kwa wananchi, wajasiriamali, na watumishi wa serikali kwa lengo la kuwawezesha...
NAIBU WAZIRI KATIMBA AWATAKA VIONGOZI HALMASHAURI KUSIMAMIA MIRADI YA ELIMU KWA WELEDI
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu), Mhe. Zainab Katimba amezielekeza halmashauri zote nchini zinazotekeleza miradi ya ujenzi wa shule mpya maalum za wasichana za mkoa kuhakikisha wanaongeza...
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) ilitoa fursa kwa wahitimu wa kidato cha nne wa mwaka 2023 kubadilisha machaguo yao ya masomo wanayotarajia kusoma wanapoendelea na elimu ya juu baada ya kuongeza tahasusi 49.
Mabadiliko hayo yatagusa tahasusi 'kombinesheni' za...
Mtaala wa form 5 unasitishwa kwakuwa hakuna fedha za vitabu, holi siyo jambo la ajabu kwakuwa hienda si kipaumbele cha mhusika , Waziri wa Elimu na Kaatibu mkuu. Wamelala nyumba ya seriaklai na gari ya serikali ya milioni 450 ianguruma hapo nje.
Haya, tuendele kunywa mtori, nyama zipo chini.
Habari,
Mimi ni mhandisi ambaye niliajiriwa ajira za waalimu kwa tangazo la mwaka 2020 kwa niaba ya wenzangu wahandisi kutoka shule za ufundi tunapenda kutoa masikitiko yetu juu haki zetu kama watumishi wa umma.
Ikumbukwe serikali ilituajiri tukiwa wahandisi lakini mambo yalibadilika...
Anonymous
Thread
changamoto
elimu
haki
sekondari
shule
shule za sekondari
tanzania
ufundi
wahandisi
wanafunzi
wanufaika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.