elimu

  1. B

    SoC04 Sekta ya elimu inaitaji marekebisho makumbwa

    1 elimu tulio nayo atuna uhitaji nayo kwa sasa. tuzalishe watoto wenye ujuzi mbali mbali wasome Toka darasa la 5 2 tupuguze muda wa kukaa darasani muda mwingi wa kusoma unafanya elimu isiwe na msaada tena unakuja kuanza kazi unamajukumu mengi umri pay umesha kuacha 3 mtoto anapo fika...
  2. A

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Mipango Ya Kipekee Ya Kuboresha Elimu

    Tanzania inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi katika kuboresha mfumo wake wa elimu ili kuandaa vizazi vijavyo kwa mafanikio na ustawi wa taifa. Hapa, tunaangazia mawazo bunifu yanayoweza kutekelezwa katika kipindi cha miaka 5-25 ijayo, kwa kuzingatia mifano dhahiri ya nchi zilizofanikiwa...
  3. I

    DOKEZO Wizara ya elimu fuatilieni shule binafsi za msingi zinazokiuka maagizo ya Serikali

    Tunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na darasa la 7 kusoma na kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Lakini imekuwa ni kawaida kwa shule za binafsi kukiuka utaratibu wa mapumziko(likizo)pindi shule zinapofungwa kwa kulazimisha wanafunzi kupumzika Kwa wiki moja...
  4. T

    Chalamila: Natamani katiba mpya iseme ukimaliza chuo kikuu huna ajira ulipwe nusu mshahara mkopo wa elimu ya juu usiombwe upewe lazima.

    Amesema mtazamo wake kuhusu katiba ni kuleta nafuu kwenye maisha ya kila siku mf. Wanawake wasio na ajira wapewe mikopo bila riba mtu akifa maiti isidaiwe chochote na kijana akihitimu masomo na serikali haijampa ajira baada ya miaka mitano ianze kumlipa nusu mshahara mpaka atakapo pata ajira.
  5. G

    SoC04 Umuhimu wa elimu kuhusu magonjwa ya zinaa katika jamii

    Mdau wa SoCO4 mwenye namba ya simu 0765853732. Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la waathirika wa magonjwa mbalimbali ya zinaa ikiwemo Virusi vya UKIMWI, Kisonono, kaswende, Chlamydia, na mengine. Hii ni kutokana na kuongezeka kwa ngono zembe, maelezo mabovu ya watoto...
  6. S

    SoC04 Elimu ya kujiamini na kujiajiri

    TANZANIA TUITAKAYO. SEKTA YA ELIMU. Katika sekta ya elimu serikali ya Tanzania ina fanya jitihada katika kuiboresha sekta hii muhimu ya kadri siku zinavyo zidi kwenda mfano; kwa kutoa elimu bure ngazi ya msingi hadi sekondari kuongeza madarasa kwa sehemu zenye uhitaji mjini kwa vijijini,vifaa...
  7. Nyanda Banka

    Nimekubali elimu ya shule haina maana mtaani

    Haya naombeni ushauri wenu, mimi kama mhitimu nawezaje kuanza kuukabili mtaa ili nipate ata kashughuli kangu binafsi. Nimezungusha barua na CV mpaka kwenye vituo vya kulelea yatima lakini ngoma ngumu bado. SO WHAT WE GONNA DO
  8. Frajoo

    SoC04 Mtaala bora wa elimu hujenga taifa imara

    MTAALA BORA WA ELIMU HUJENGA TAIFA IMARA. DIBAJI. Katika taifa letu kuna ongezeko kubwa la vijana wasio na kazi, wengi wakiitupia lawama serikali kwa uchache wa nafasi za ajira rasmi zinazotolewa,hasa tukilinganisha na idadi ya wahitimu wa elimu ya juu na kati kwa kila mwaka.Hio imepelekea...
  9. Last_Born

    SoC04 Elimu Bora: Kuwekeza Katika Kizazi cha Baadaye cha Tanzania

    Elimu ni ufunguo wa maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Kuelekea miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inatakiwa kujikita katika kuboresha mfumo wake wa elimu ili kuandaa vijana kwa ajira za baadaye na kushiriki katika ujenzi wa taifa lenye nguvu na mafanikio. Kuboresha elimu kunahitaji mabadiliko...
  10. R

    SoC04 Dira ya Elimu na ajira kwa wahitimu wa Vyuo Tanzania

    UTANGULIZI Hapa nchini Tanzania kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wasomi hasa wanaohitimu ngazi ya chuo ambapo wanategemea kuajiriwa kutokana na walichokisomea. Ofisi ya Takwimu Tanzania 2020/21 ilionesha kuwa jumla ya watu 675,899 (2.8% ya watu wenye ajira) ni waajiriwa...
  11. S

    SoC04 Mambo ya kuzingatia katika elimu

    Kwa kufikia Tanzania bora zaidi katika elimu ndani ya miaka 5 hadi 25, tunahitaji kuchukua hatua za maana. Tuanze na kuimarisha mfumo wa elimu kwa kuzingatia mambo yafuatayo: Uwekezaji katika Elimu: Serikali na wadau wa elimu wanapaswa kuongeza bajeti ya elimu. Hii itasaidia kuboresha...
  12. J

    SoC04 Mageuzi ya Mfumo wa Elimu Tanzania: Kutoka Kutegemea Ajira Hadi Kujiajiri kwa Vijana

    Ili kuharibu taifa lolote, anza kwa kuharibu mfumo wake wa elimu. Mfumo wa elimu wa Tanzania kwa sasa unawaandaa vijana kuwa wafanyakazi wa serikali au taasisi binafsi, jambo ambalo limepelekea wengi wao kuishi maisha duni huku wakisubiri ajira kutoka serikalini na kwenye taasisi binafsi...
  13. N

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kwa Miaka 5-25 Ijayo - Katika Sekta ya Elimu

    Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inahitaji kuchukua hatua thabiti na bunifu ili kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu. Miongoni mwa sekta muhimu zinazohitaji maboresho makubwa ni elimu . Kwa kuzingatia umuhimu wa sekta hii, ni muhimu kuunda mikakati inayohakikisha...
  14. Meneja Wa Makampuni

    Watanzania hawapendi elimu uzi wa mambo ya scholarships una likes 9 tu

    Nilianzisha uzi wa kupost fursa zote za Scholarships zinazojitokeza katika link hii: https://www.jamiiforums.com/threads/bonus-orodha-ya-full-funded-scholarship-za-kumalizia-mwaka.2170915/ Siajabu mpaka sasa uzi huu una likes 9 tu. Watanzania wapenda elimu rudini mweke likes kwenye huo uzi...
  15. Kwekajr

    SoC04 Ili tuweze kujenga Tanzania mpya katika miaka ijayo inabidi serikal ibadali mtazamo hasa katika suala la elimu licha ya mabadiliko mbalimbali

    Ili tuweze kujenga Tanzania mpya katika miaka ijayo inabidi serikali ibadali mtazamo hasa katika suala la elimu licha ya mabadiliko mbalimbali yanayofanywa ili kubadili mtazamo wa vijana ambao ni nguvu ya taifa ikiwemo kuanzisha somo la ubinadamu, Somo hili lifundishe utu, maadili, uzalendo...
  16. R

    SoC04 Matumizi ya Vyeti vya Elimu ya Juu kupata mikopo

    Kwa wahitimu wa Elimu ya juu mtakubaliana na mimi kuwa changamoto ya ajira imekuwa tatizo kubwa sana, Serikali, taasisi binafsi wamekuwa wakitafuta njia za kuondosha tatizo ili la ajira.Watu wengi wamehitimu masomo ngazi tofauti lakini baada ya kumaliza ajira zimekuwa ngumu.Taasisi za mkopo...
  17. C

    SoC04 Mabadailiko chanya katika Sekta ya Elimu

    Kwa miaka kadhaa sasa kumekua na wimbi kubwa la vijana wasomi mtaani wasio na ajira, jambo hili limekua likiwavunja moyo wanafunzi waliopo mashulen kwa wakati husika na kupelekea wanafunzi wengine kukatisha masomo yao kabla ya muda sahihi wa kumaliza shule na kisingizio kimekua ni “ hawaoni...
  18. Vincenzo Jr

    SoC04 Tujifunze elimu kwa vitendo ili kupata manufaa makubwa ya elimu ya kisasa

    Elimu yetu inahitaji marekebisho makubwa sana tusiendelee kutoa elimu ya kuchora panzi tu tuendelee kutoa elimu kwa vitendo ili tusiendelee kuwa na vijana wengi waliokosa ajira mitaani. Nilikua naamka usiku wa manane kuchora hii panzi kwa ajili ya mtihani, ila mpaka sasa sijaona application ya...
  19. D

    SoC04 Mfumo wa elimu wa Tanzania kuua vipaji vya watoto

    Elimu ya Tanzania imekuwa chanzo moja wapo cha kuua vipaji vya watoto ambavyo walikuwa navyo tangu wakiwa wadogo. Kwa mfano mtoto mwenye ndoto ndoto ya kuwa rubani ana haja gani ya kusoma historia ya vita vya kwanza ya dunia. Hii ndiyo hupelekea watoto kuishia kusoma vitu ambavyo havipo kwenye...
  20. Juma jaibu kuhanga

    SoC04 Elimu ni sawa na kushika kiwembe

    Elimu ni ufunguo wa maisha kama walivyosema wadau wa kale katika harakati za kuboresha na kushawishi upatikanaji wa maarifa na ujizi kwa njia ya shule. wazee wetu walipoambiwa elimu ni bora hawakusita waliuza hadi mashamba ili na sisi wanao tuweze angalau hata kuonja elimu bora iliyo na mfumo...
Back
Top Bottom