Sisemi mengi maana tumeshsema sana na kwa miaka mingi.
Viongozi wa nchi za kiafrika wengi ni wabinafsi, wabadhirifu, hawana uzalendo na hawajali shida za wananchi wao, bali wanafikiria zaidi matumbo yao na familia zao kwa kujilimbikizia mali kanakwamba wataishi milele huku wananchi wakiteseka...
Hapa akiulizwa na mtangazaji kuhusu gari za EV za BYD
Alionekana ni mtu mwenye furaha sana iliyo pitiliza
Hali ya sasa ilivyo sasa
In 2024, BYD surpassed Tesla to become the world's largest manufacturer of electric vehicles, with BYD selling more new energy vehicles (including battery...
Baada ya anguko kubwa la mauzo na hisa za magari ya kampuni ya Tesla inayomilikiwa kwa hisa nyingi na kuongozwa Elon Musk, Rais wa Marekani Trump ameingia mzigoni akitumia ofisi ya Ikulu ya US, White House kuifanya matangazo ya kibiashara na kushawishi watu kununua magari ya Tesla huku...
Rais wa Marekani Donald Trump alifanya mkutano na Baraza lake la Mawaziri na kusema kwamba usemi wa mwisho juu ya sera ya wafanyakazi utatolewa na wakuu wa mashirika ya shirikisho, sio mkuu wa DOGE Elon Musk.
Vyombo vya habari vya Reuters, Politico na CNN vimeripoti ripoti hii, wakinukuu vyanzo...
Mzuka wanajamvi!
Freemasons tafadhalini muondoeni Elon Musk kwenye hiyo nafasi na hata kumi bora hasiwepo.
Yani mmetuletea mtu wa ajabu sana. Yani bora nyakati zile mlituwekea kina Bill Gates na Warren buffet.
Bill Gates alikuwa mtu poa sana hata Africa alikuwa anakuja na kula ubwabwa...
Elon Musk ameendelea na mvutano wake dhidi ya serikali ya Afrika ya Kusini kwa kusema kuwa kampuni yake ya Starlink haijaruhusiwa kufanya kazi nchini humo kwa sababu yeye sio mtu mweusi
https://x.com/elonmusk/status/1897954924337467555?t=qQO2IGVFCzGBWI1Vh-_Ofw&s=19
Katika miezi ya hivi karibuni, kumekuwa na mjadala mkali kuhusu ushirikiano kati ya Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla, Elon Musk, na Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump. Ushirikiano huu umeibua maswali mengi, hasa kutokana na athari zake kwenye mauzo ya magari ya umeme ya Tesla katika masoko...
Wakuu,
Hii kitaalamu inaitwaje? Inakuwaje mnufaika mkubwa zaidi wa USAID duniani anataka shirika hilo lifungwe?
Mtu kama huyu ambaye amepokea Billions of money kutoka serikalini anapata wapi nguvu ya kukatisha misaada?
===================================
Gazeti la The Washington Post siku...
Elon Musk amekuwa mbogo baada ya baadhi ya taasisi kukataa kutii amri yake ya wafanyakazi wote wa umma Marekani wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya wiki iliyoisha!
Taasisi zilizokaidi amri yake ni pamoja Pentagon, FBI na State Department(Ofisi ya mambo ya nje) ambao...
Grimes mwanamke aliyezaa na Elon Musk watoto watatu ameamua kuposti X/Twitter akilalamika Elon baba watoto wake hapokei simu au kujibu meseji zake kuhusu mahitaji ya mtoto wao anayehitaji matibabu na kwamba kadri anavyochelewa kutibiwa atapata madhara ya kudumu.
Anasema kama Elon hataki kuongea...
Mtandao umemfananishwa Elon Musk na Nick Cannon baada ya kufichuka kuwa amepata mtoto na mwanaharakati wa mrengo wa kulia mwenye umri wa miaka 27, na kufanya idadi ya watoto wake kufikia 13 kutoka kwa wanawake wanne tofauti.
Nick Cannon na Elon Musk ni majina mawili ambayo wengi hawakutarajia...
Errol Musk, baba wa Elon Musk amefichua siri kwamba yeye ni mtu wa totozi. Mzee Musk ameenda mbali zaidi na kusema yeye amekula kuku na mayai yake na wala hakuna ubaya kula mayai kwa maana kwamba ametembea na kuzaa na binti yake wa kambo.
Mzee Musk alimuoa Heide, mkewe mwingine ambae walioana...
Nahisi sikuhizi wadau wa haya mambo hawaingii kwenye zile sites zao, wananyooka moja kwa moja twitter
MADHARA YAKE
Porn inamaliza pesa, ni sembe ya kidijitali, mtu yupo radhi ale maandazi usiku ili anunue kifurushi cha elfu mbili
Porn inachochea kujichua
ukiwa mraibu wa kujichua kwa muda...
Huko Marekani kuna wanawake wameanza kulalamika kwamba ingekuwa ni mwanamke anafanya kama anavyofanya Elon Musk kwenda na watoto wake kazini Ikulu ya Marekani watu wangepiga kelele sana!
Haya madai yana mashiko?
Maaumuzi mengi tena yenye Unyeti anatoa Elon Musk huku Rais Trump akionekana Kukubaliana nayo hata kama Wachambuzi Nguli wa Siasa za Dunia wanasema ni Hatari kwa Ustawi wa Marekani. Kuna Clip naiona sasa Elon Mask yuko Ikulu na Mwanae na anafanya Vituko vya kila aina huku Mwanae nae akiifanya...
Kweli kuwa Bilionea siyo mwisho wa matatizo. Angalia mahusiano mabaya ya Elon Musk dhidi ya wanafamilia wake:-
1. Wake wa Zamani
Elon Musk amewahi kuoa mara mbili kwa wanawake wawili tofauti:
Justine Musk (2000–2008): Justine alikuwa mke wa kwanza wa Musk, na walizaa watoto watano pamoja...
Elon Musk pamoja na wawekezaji wengine wametoa ofa ya kununua OpenAi kwa dola bilioni 97 na ushee.
OpenAi ilianzishwa mwaka 2015 kama nonprofit na Sam Altman, Elon Musk na wengine. Lakini Elon Musk alijiondoa baadae na kuwa adui wa Altman.
Altman ndio CEO wa OpenAi kwa sasa.
============
CEO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.