Wanakumbi.
Vikwazo vya mara moja kwa Malema na kutangazwa kwake kama mhalifu wa kimataifa! Elon Musk.
Majibu ya Julius Sello Malema.
Nadhani umepoteza kabisa ubongo wako wa kushoto: shujaa wa kawaida aliyeharibiwa na mnufaika wa moja kwa moja wa weupe wa ubaguzi wa rangi. Najua watu weusi...
Kumbe USAID mwaka jana September ilifungua uchunguzi dhidi ya kampuni ya Elon ya Starlink kuhusu kuruhusu jeshi la Urusi kutumia Starlink katika vita vyake vya uvamizi Ukraine!
Mojawapo ya vikwazo ambavyo Serikali ya Marekani iliweka kwa Urusi baada ya uvamizi ni pamoja na Starlink kutoruhusiwa...
Mjasiriamali bilionea Elon Musk ameibua mvutano mpya na kiongozi wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), Julius Malema, akipendekeza kwamba Malema atangazwe kuwa mhalifu wa kimataifa.
Mvutano huu umetokana na video ya Malema akidai kuwa chama cha Democratic Alliance (DA) kinawaunga mkono...
Kufuatia Bilionea Elon Musk mwenye uraia wa Afrika Kusini na Marekani kutaka Kamanda mkuu wa chama cha EFF Bw. Julius Malema atajwe kama mhalifu wa kimataifa, chama chake cha EFF kimetoa kauli kali kama inavyosomeka hapa chini
Hapa chini ni Tafsiri ya Kiswahili ya taarifa hiyo (siyo rasmi)...
Elon Musk ametaka kufungwa kwa Radio Free Europe/Radio Liberty (RFE/RL) na Voice of America (VOA), vyombo viwili vya habari vinavyofadhiliwa na serikali ya Marekani, akidai kuwa havina umuhimu tena.
Musk alitoa kauli hizi akijibu chapisho la Richard Grenell, Mjumbe Maalum wa Marekani, ambaye...
Vita vya maneno vimeibuka katika mtandao wa X kati ya tajiri mbwatukaji Elon Musk na mwanasiasa mbwatukaji toka Afrika Kusini Julius Malema kisa kauli zilizo tafsiri kuwa za kibaguzi toka kwa mwanasiasa huyu kwenda kwa jamii ya wazungu wa Afrika Kusini.
Tajiri Elon hapa kachafukwa anataka...
Huyu tajiri Elon na tajiri mwenzake Trump waliovamia siasa na kuziendesha vile watakavyo wao sioni kama watakuwa na mwisho bora.
Kwa siasa za China Trump asingefika hata hapa alipofika tena huyu chawa wake Elon muda huu nina uhahika angekuwa Jack Ma wakimarekani.
Nakumbuka Jack Ma naye alianza...
Siku ya Jana kupitia mtandao wake WA kijamii, maarufu Kama X , Bilionea Elon Musk ameandika kua Anampenda Raisi Donald Trump Kama vile mwanaume anavyoweza kumpenda MWANAUME mwenzake.
Aisee,
imekaaje hii wakuu au mi ndo sijaelewa🤔
Jamaa kaanza kuajiri wahuni wa mitaani kwenye kazi ya kupekua taarifa nyeti za serikali na walipa kodi wa AMERICA! 🤣
Miongoni mwa wahuni alioajiri Musk kwenye kitengo chake cha kudhibiti utendaji swafi wa serikali, aka DOGE, ni 'hacker' mmoja mwenye umri wa miaka 19, kwa jina Edward Coristine...
Wabunge wa Democratic wanasema AID iliwekwa na Bunge kwa hiyo Elon Musk hana mamlaka ya kuiondoa AID.
Kama Trump anataka kuifuta AID alete muswada Congress atuombe ruhusa.
Lakini AID haiwezi kufutwa na Elon Musk bilionea ambaye hakachaguliwa na mtu yeyote.
Hili ni shirika linawasidia watu...
Bilionea namba moja duniani Elon Musk yuko mbioni kuwateua vijana sita wadogo kiumri na legelege wenye sura za kitoto Baby Face kumsaidia kuifumua kuifungua na kuianzisha upya shirika la misaada la marekani America foreign Aid Agency.
Billionea huyu wa Tesla aliteuliwa kuwa mkuu wa Department...
Trump kuna sehemu anakosea.
Unajua Trump Marekani ameingia kwa nguvu ya watu, na sio wale 'King makers' na hio inafanya asipate ushauri wa watu ambao wanajua miondoko ya dunia humo USA miaka nenda na narudi. Hio inafanya jamaa afanye makosa mengi sana na kuscore 'own goals' nyingi
1)Issue ya...
Elon Musk asema yeye na Donald Trump wamekubaliana kufunga USAID – shirika linalosaidia maendeleo ya kimataifa.
Katika ujumbe wa sauti kwenye X, alisema: "Tunafunga shirika hilo," akiongeza kuwa alikuwa na "uungwaji mkono kamili kutoka kwa rais."
Alisema kuwa shirika hilo "haliwezi...
Mmiliki wa kampuni ya teknolojia, Elon Musk ametangaza kuwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufa kwakuwa ni shirika la kihalifu.
Musk, ambaye aliteuliwa na Rais wa Marekani, Donald Trump kuongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE), ametoa kauli hiyo baada ya...
Wakuu,
Msako wa Elon Musk na bwana Donald kwenye mifumo ya bajeti na fedha huko Marekani unaendelea kushika kasi.
Hivi karibuni Elon Musk amepewa mamlaka na Donald Trump chini ya Wizara mpya ya Ufanisi Wa Serikali kusimamia na kudhibiti mifumo ya ugawanyaji fedha ya serikali.
Hivyo, ni kwamba...
Elon Musk ameanza kutekeleza mpango wa kuliua Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID). Amesema anaamini USAID ni "shirika la kihalifu" ambalo linapaswa "kufa."
Kupitia mtandao wa X Musk alisema “USAID ni shirika la uhalifu. Ni wakati wa kufa”
Hii ni baada ya taarifa iliyosema...
"Niliachana na Elon Musk baada ya yeye kuyumba sana kiuchumi lakini Kwa Sasa ninajutia kitendo changu cha kumuacha na sasa nataka kurudiana naye, sio kwa sababu ya Pesa zake nyingi Wala siyo kwa sababu amefanikiwa sana bali ninataka kurudiana nae kwa sababu ya Upendo wangu mkubwa kwake.
Kwa...
Najua wengi hawawezi amini mimi ni kijana wa kitanzania niliyesoma na Elon musk na huwezi amini alikuwa mweupe sana darasani.
Kwa wale wabishi nitapublish picha ishirini nikiwa nae darasani pale South Afrika.
Sema sasa hivi hakamati simu zangu ila sijutii najua anaogopa nitamshitaki maana...
Asante, Donald J. Trump!
Rais Trump ametimiza ahadi ya kampeni kwa wafuasi wa chama cha Libertarian katika siku yake ya pili ya kurejea ofisini kwa kumsamehe muundaji na mmiliki wa tovuti ya biashara ya kielektroniki "Silk Road" inayojulikana kwa ulanguzi wa dawa za kulevya. Ross Ulbricht...
Acheni kulalamika, mwamba ametoa shavu bila masharti magumu!Hakuna cha unamjua fulani, tuma kazi yako!
https://x.com/elonmusk/status/1879531470886465545
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.