Mtu tajiri zaidi juu ya uso wa Dunia kwa paper assets mzaliwa wa Africa mwenye uraia wa Marekani ametangaza kuwa tayari kuinunua kampuni ya twitter kwa gharama ya $54 kwa kila hisa.
Ikumbukwe mpaka sasa Elon ambae yuko active sana kwenye mtandao wa twitter anamiliki 9.2% ya hisa za twitter...
Elon Musk ametoa ofa ya kuinunua kampuni ya Twitter kwa dola 54.20 kwa kila hisa. Hii ni ongezeko la asilimia 38 tangu tarehe 1st April Twitter alipotangaza amenunua asilimia 9.
Elon mwanzoni mwa wiki hii alikataa maombi ya kujiunga na bodi ya Twitter. Wataalamu alitafsiri kukataa kwa ilo ombi...
USA: ELON MUSK ANUNUA 9.2% YA HISA ZA TWITTER
Hatua hii inamnafanya Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla kuwa mbia mkubwa wa kampuni, karibu mara nne ya ukubwa wa hisa za mwanzilishi Jack Dorsey ambazo ni 2.25%, kulingana na ripoti ya forbes
Ununuzi huu unakuja wiki kadhaa baada ya kuishutumu Twitter...
Baada ya Trump kuzundua mtandao wake wa kijamii mwezi uliopita, Tajiri Elon Musk anafikiria kuzindua mtandao wake mpya ambao utawapa watu uhuru kamili wa kutoa maoni.
Ikumbukwe kwamba hata Trump analaumu kwamba mitandao iliyopo inaminya uhuru wa watu kujieleza, inapangia watu waandike nini...
Kijana Jack Sweeney aliyekuwa akitrack private jet ya tajiri namba moja Duniani Elon Musk amepatiwa ofa ya kazi kwa kampuni moja inayojishughulisha na masuala ya aeronautics
kampuni hiyo imeamua kumpatia kijana Sweeney ajira kutokana na uelewa wake wa masuala ya flight data
hata hivyo mpaka...
Mzuka wanajamvi!
Naandika huu uzi nikiwa na jazba na hasira Sana.
Familia ya Elon Musk ni wazungu Africa kusini iliwakaribisha. Elon Musk akazaliwa Africa kusini kulelewa katika bara letu. Elimu ya awali msosi hewa yote kuvuta ni ya bara letu. Amekuwa kupitia ardhi ya bara letu.
Iweje leo...
Elon Musk alimfuata DM dogo wa miaka 19 twitter ambaye ametengeneza bot yenye jina la ElonJet na bots nyingine zinazofuatilia location za matajiri.
Alimuuliza hizo bot zinamwingizia kiasi gani, dogo akasema kama $20 tu kwa mwezi, Elon Musk akampa offer ya 5000$ ili afute account ya bot...
Roketi iliyorushwa na kampuni ya uvumbuzi wa anga za juu ya bilionea Elon Musk inakaribia kugonga ndani ya mwezi na kulipuka.
Chombo kinachosaidia roketi kulipuka kwa Falcon 9 kilikwenda katika anga za juu mwaka 2015, lakini baada ya kukamilisha safari yake, hakikuwa na mafuta ya kutosha ya...
Elon Musk ametoa ushauri kwa tajiri mwezake Jeff Bezos afanye kazi kwa bidii kama anataka kutengeneza pesa katika biashara ya vyombo vya angani.
“Bezos anatakiwa kupoteza muda zaidi katika kampuni yake ya Space ya Blue Origin na kutumia muda kidogo kushinda katika bafu la maji ya moto. Bezos...
Mmiliki wa kampuni ya Tesla, Elon Musk amesema kulazimisha watu kupata chanjo si sahihi
Yeye amepata chanjo lakini haitakiwi kuwapotezea wengine kazi zao
Suala la kulazimisha chanjo ameliita 'un-American' yaani sio Umarekani
===
Musk: "I am against forcing people to get vaccinated"
The...
Bilionea Elon Musk amewataka wanaoshughulika na Mradi wa Chakula Duniani (WFP) kuonesha namna dola Bilioni 6 itakavyoondoa tatizo la njaa duniani.
Mkurugenzi wa WFP, David Beasley aliomba fedha hiyo kutoka kwa matajiri hao akisema itatosha kuondoa tatizo la njaa duniani.
Musk ana utajiri wa...
Mzuka wanajamvi!
Elon Musk ni tajiri namba moja sasa hivi duniani baada ya kumpita Jeff Beezos wa Amazon na utajiri wake ni wa kutisha ambao ni zaidi ya utajiri wa Bill Gates (4) na Warren Buffet (9) ukiunganishwa pamoja. Bill Gates ni number 4 na Buffet ni number 9 kwa utajiri duniani.
Elon...
Utajili wa Dangote ni mkubwa Sana kwa Afrika. Kwa uwekezaji wake wa kiwanda kimoja tu Cha cement alifanikiwa Sana kuukuza uchumi na kupúnguza Bei ya cement na kuikuza sekta ya ujenzi Tanzania.
Ila Kuna ili jini la sasaivi tajili lisiloshikika duniani Mtengenezaji wa gari la umeme Tesla na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.