Salama wadau
Unaambiwa binadamu hukutana lakini milima haikutani na malipo ya ubaya ni hapahapa duniani.
Sasa jamaa baada ya kununua Twitter kwanza kawatimua management yote na baadaye staff wapewa alerts Fagio LA chuma litapitishwa kuondoa baadhi ya wafanyakazi.
Sipati picha bwana Trump...
Kupitia Barua Pepe iliyotumwa Novemba 3, 2022 kwa wafanyakazi 7500 imewaeleza kuwa watajulishwa kuhusu mustakabali wa ajira zao leo Novemba 4, 2022.
Hatua hiyo inakuja siku chake tangu Tajiri wa Dunia Elon Musk kukamilisha ununuzi wa kampuni hiyo kwa Tsh. Trilioni 102 ambapo alitangaza kufanya...
"Chief Twit" mpya wa Twitter Elon Musk anaripotiwa kufikiria kufanya blue tick kuwa kuwa kipengele cha Twitter Blue, wakati huo huo akiongeza mara nne gharama ya huduma ya usajili. Hii inamaanisha kuwatoza watumiaji ada ya kila mwezi ya $20 ili kuweka beji yao ya tiki ya bluu.
Inaelezwa kuwa...
Elon Musk amevunja bodi ya Twitter na kujifanya "mkurugenzi pekee" wa kampuni hiyo.
Wanachama wote wa awali wa bodi hiyo wameondolewa kwenye jukumu hilo, na kumwacha Bw Musk pekee kama mkurugenzi, kulingana na jalada jipya.
Hatua hiyo ilichukuliwa wiki iliyopita kama sehemu ya ununuzi wa Bw...
Naona Elon amedhamiria kupafanya twitter uwe uwanja fair, sio kama zamani uongozi wa watu wenye woke agenda ukiona mtu flani yupo kinyume na agenda yao wanamfungia
Anaandika Trump
Pongezi ziende kwa Elon Musk kwa maamuzi ya kuinunua Twiter, Watu wengi wanasema mabadiliko yalihitajika kwa...
Twitter Inc. sasa inamilikiwa na Elon Musk, huku vyombo vingi vya habari vikiripoti kwamba mauzo ambayo yalikuwa yakitarajiwa kwa muda mrefu yalikuwa yamefungwa rasmi.
Gazeti la Wall Street Journal, Washington Post na mengine yaliripoti, kulingana na vyanzo ambavyo havijatajwa, kwamba watendaji...
Elon Musk amechukua hatua za kisheria kumwita mwanzilishi mwenza wa Twitter, Jack Dorsey kufika Mahakamani akiwa kama mtetezi wake kuhusu kusitisha malipo ya zaidi ya Tsh. Trilioni 102 ili kuinunua Twitter.
Mawakili wa Musk walimpigia simu bosi wa zamani wa Twitter Jack Dorsey ambaye anatajwa...
Bilionea namba moja duniani, Elon Musk amekana uhusiano wowote na Nicole Shanahan, ambaye ni mke wa mwanzilishi wa Google, Sergey Brin.
Kauli ya mmiliki huyo wa kampuni ya magari ya uneme ya Tesla, imekuja baada ya ripoti katika Jarida la Wall Street kieleza kwamba urafiki wa Musk na Brin...
Tajiri namba 1 duniani mwenye mbwembwe amejichomoa kwenye deal la kuinunua Twitter kwa malipo ya $44 bilion.
Wakili wake anasema Twitter wameshindwa kumthibitishia madai yao ya kuwa idadi ya fake accounts ziko chini ya 5%.
Lakini kulikuwa na kipengele kuwa asipomaliza deal itabidi awalipe $1...
Binti wa tajiri Elon Musk aliyebadili jinsia yake amewasilisha ombi la kubadilisha jina lake kulingana na utambulisho wa jinsia yake mpya na kwasababu anasema "Siishi au nisingependa kuwa na uhusiano na baba yangu mzazi kwa njia yoyote ile, kwa umbo au muundo."
Ombi la kubadilisha majina yake...
Wakati watu wengine wakipata utajiri wanawaza kuspend as much as they can au asipospend Basi atawekeza zaidi kukuza utajiri wao lakin Elon musk yupo kivingine huyu jamaa Ana vision ya hali ya juu Sana badala ya kuongeza product ambazo zitawanyonya wanyonge ili yeye abaki juu kama wanavyofanya...
Kulingana na Ripoti kutoka @FortuneMag imeeleza kuwa billionea namba moja duniani Elon Musk anakabiliwa na kesi ya Dola Bilioni 258 kwa madai ya kuwa sehemu ya mpango wa piramidi ya cryptocurrency ya LEGO, Ambapo yeye pamoja na kampuni zake za Space X na Tesla, wanashtakiwa na Keith Johnson...
Elon Musk ametuma barua ya malalamiko kwa Mkuu wa maswala ya kisheria wa Twitter akisema anaamini Twitter inakiuka merger agreement kwa kutotoa ushirikiano kuhusu idadi ya fake na spam akaunti kama alivyoomba.
Wakati wa makubaliano, Twitter alidai spam na fake akaunti zipo chini ya asilimia...
Mtandao wa kijamii wa twitter ulisema account fake/spam au bots ni chini ya 5% ya watumiaji wa mtandao huo. Suala ambalo Elon Musk ameonekana kukataa akisema kuwa bots ni zaidi ya 5% ambapo ametaja ni 20%.
Mkurugenzi wa Twitter ameshindwa kuthibitisha kuwa bots zilizoko twitter ni chini ya 5%...
Shares of Twitter Inc.  plunged 17.9% in premarket trading Friday, after Elon Musk tweeted that the deal to buy the social media company was "temporarily on hold." Musk, the chief executive of electric vehicle maker Tesla Inc. , said the hold on the deal is "pending details supporting...
Bilionea Musk amesema kitendo cha mtandao wa Twitter kumfungia maisha aliekua rais wa Marekani Bw. Trump kwenye mtandao huo ilikua ni makosa makubwa na ameahidi akikamilisha mchakato wa kuinunua Twitter anamfungilia Trump.
Bw. Musk yeye anajiita muumini mkubwa wa uhuru wa kujieleza usio na...
Baada ya figisu figisu za muda mfupi kumzuia mkurugenzi mkuu wa kampuni ya space X na mtu tajiri zaidi duniani kwa paper assets bwana Elon Musk hatimaye amefanikiwa kuununua mtandao wa twitter
Mpaka sasa makundi ya haki za binadamu hayaelewi twitter chini ya mmiliki huyo mpya kama itaweza...
SAN FRANCISCO, April 25, 2022 /PRNewswire/ -- Twitter, Inc. (NYSE: TWTR) today announced that it has entered into a definitive agreement to be acquired by an entity wholly owned by Elon Musk, for $54.20 per share in cash in a transaction valued at approximately $44 billion. Upon completion of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.