Ripoti zinasema kwamba Elon Musk na kampuni yake wako kwenye hatua za mwisho za kutengeneza Mke wa Roboti.
Mke wa Robot atatumia betri ambazo hudumu kwa mujibu wa mzunguko wa hedhi. Betri zitachajiwa kwa siku tatu kamili pekee na kufanya kazi kwa mwezi mmoja.
Kufanya mapenzi na Mke wa Roboti...
Hata wakiuza milioni 20 nitauza mbaka boksa ninunue nikafunge nae ndoa
Maana sio kwa hekaheka za mademu wa udongo thanks elon musk Mungu akuweke
Haina kisonono wala kaswende no kugongwewa, style zote unakula + romantic sound yani full kupizzz ubongo
No stress nipo tayari kuandamana serikali...
Mmiliki wa Mtandao wa Twitter, Elon Musk kupitia ukurasa wake wa Twitter ametoa taarifa kwa watumiaji wa mtandao huo kuwa, watumiaji waliothibitishwa na alama ya Twitter Blue (Twitter Blue Verified subscribers) sasa wanaweza kupakia video za saa 2 (8GB).
According to report Elon Musk and his company are on the final stages of making a Robot Wife. The supply of Robot Wives is expected to roll out in September 2023. They will reach Africa by November 2023.
Robot Wife will use batteries that last in accordance with menstrual circle. Batteries will...
Uhai unasiri kubwa sana ambayo kila mwanadamu anatamani kuupata angalau ufunguo wa siri hii ili kuchungulia hata akiba ya pumzi yake japo jambo hili laweza lisimsaidie chochote.
~~~
###### Ilikuwa ni usiku wa giza totoro sanaa, giza ambalo weusi wake uliyapiga kibao macho yangu na kuyafanya...
Elon Musk amemteua Afisa Mtendaji Mkuu mpya wa Twitter, ikiwa ni zaidi ya miezi sita baada ya kuinunua kampuni hiyo ya mitandao ya kijamii.
Bilionea huyo amesema Linda Yaccarino, mkuu wa zamani wa matangazo kutoka NBCUniversal, atasimamia shughuli za biashara katika tovuti hiyo, ambayo imekuwa...
Ujinga wa Elon Musk ni pale pesa yake inaweza kubadili sayansi ya Mungu. Elon Musk ana mkakati kabambe wa kuhamishia makazi yake kwenye sayari ya Mars na tayari tunaambiwa Huko mji umeshaanza kujengwa
Mungu ametupa Dunia Moja tu kuwa sehemu bora kabisa ya kuishi, tumeichafua na kuinajisi kwa...
Na wote tunashuhudia kwa jinsi internet inavyozidi kuwa sehemu kubwa ya maisha yetu, Dunia ya sasa Internet ni hitaji moja wapo muhimu katika kuondoa ujinga, kurahisisha mawasiliano, kufanya tafiti, kufanya biashara, n.k.
Ni muda sasa umepita ishu ya internet ya Elon Musk kuletwa bongo...
Naona matumaini ya kupata huduma za Starlink za Elon Musk zinaweza zikawa zinakwamishwa kwa makusudi sio na Nape tu bali na wakubwa na inaweza ikawa ni Kwa maslahi binafsi juu ya hizi kampuni za kinyonyaji tulizonanzo.
Angalia video hii uone maswali yanavojibiwa daaah tuna Safar ndefu sana !!!
Billionaire Elon Musk mmiliki wa Twitter deals kibao, kawaondolea Blue tick(Verification bagdes) Baadhi ya wasanii kwenye mtandao wa Twitter akiwemo Wiz kid, Burnaboy, na Davido kwa madai ya kwamba wa natakiwa kuzilipia.
Je unaungana na Elon Musk or nah?
Mmiliki wa Twitter, Elon Musk amesema licha ya kuwa hatumii mtandao huo lakini hakubaliani na mipango inayodaiwa kuwa mbioni kuufungia mtandao huo Nchini Marekani kutokana na sababu za zinazodaiwa kuwa ni za usalama.
Elon Musk amesema "Sikubaliani na wowote unaohusisha kuifungia TikTok japokuwa...
Zaidi ya viongozi na watafiti 1,000 wa teknolojia, akiwemo Elon Musk, wamezitaka maabara za ujasusi za bandia kusitisha maendeleo ya mifumo ya hali ya juu zaidi, na kuonya kwamba zana za AI zinaleta hatari kubwa kwa jamii na ubinadamu.
Barua hiyo ya wazi, iliyotolewa na Taasisi isiyo ya Faida...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bosi mpya wa mtandao huo, #ElonMusk, kuanzia Aprili 15, 2023 huduma hizo zitakuwa maalumu tu kwa watumiaji wa #TwitterBlue ambayo hulipiwa kwa Tsh. 16,380 kwa mwezi.
Watumiaji wasiolipia hawatokutana tena na Mtiririko wa Tweets maalumu zinazopendekezwa kwa...
Kwenye Mtandao wake wa Truth Social, Donald Trump kapost hii habari.
Wakati huoo huko Twitter, Elon Musk katoa neno.
Democrats hawana Tofauti na Msoga Gang kabisa.
Kwa mujibu wa Mhandisi wa Twitter aliyezungumza na BBC kwa sharti la kutotajwa, amesema Mfanyabiashara huyo anayemiliki Kampuni za #SpaceX, #Tesla, Twitter, #Neuralink na #TheBoring hutembea na Walinzi 2 kila anapofika #TwitterHQ.
Mfanyakazi huyo amesema #ElonMusk ameonesha kuwa na hofu juu ya...
Wakati maombi yake ya leseni ya kutoa huduma za intaneti kupitia kampuni yake ya Starlink yakiwa yamewekewa kigingi na masharti ya serikali, Bilionea Mmarekani Elon Musk amepenya kwenye soko la Tanzania ambapo atanunua malighafi ya kutengenezea betri za magari ya umeme.
Taarifa iliyotolewa kwa...
Kitendo cha Waziri Nape Nnauye kusema bado Serikali haijafikia muafaka wa kumruhusu Mwekezaji na Tajiri namba 2 duniani, Elon Musk kuwekeza nchini ili kutoa huduma ya Intaneti yenye kasi kupitia Satelite hadi atakapoweka ofisi zake nchini Tanzania, inaonesha wazi bado tumekumbatia Sera za...
Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania.
Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda Watanzania...
Bwana Elon Musk ambae alikua Tajiri namba 1 Duniani toka August 2021 hadi October 2022 na kisha kua tajiri namba 2 kwa muda wa miezi 4 hivi kutokana na kushuka kwa thamani ya hisa zake, sasa amerejea tena kileleni.
Elon Musk aambaeni muanzilishi na mmiliki wa makampuni kadhaa ikiwemo Tesla...
Bilionea namba 2 Duniani bwana Elon Musk akijibu swali ama maoni ya mtumiaji wa Twitter aliehoji ni lini watu watajua ukweli kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli, Bwana Musk amesema itajulikana hivi karibuni tu.
Kumbuka Bwana Musk alitoa taarifa kwenye mtandao wake wa twitter kwamba hivi karibuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.