Mhandisi wa Tesla wa kiwanda cha Giga Texas cha kampuni karibu na Austin aripotiwa kuvamiwa na Roboti na kujeruhiwa.
Mashuhuda wawili walishuhudia kwa hofu wakati mwenzao aliposhambuliwa na mashine iliyoundwa kushika na kuhamisha vipande vipya vya gari vilivyotengenezwa kwa alumini.
Roboti...
Elon Musk anaendelea na tafiti zake za kisayansi na masuala mazima ya AI. (Artificial Intelligence) Sasa anajaribu kupandikiza Ubongo kwa Binadamu ambao utaunganishwa na Computer.
Ushauri wangu. Akamate mwana CCM kwa ngazi yoyote ile kuanzia kapuku mimi hadi aliye na wadhifa. Hawa wakamatwe...
Ni habari ambayo imeacha watu vinywa wazi baada ya CEO wa Tesla na Space X Elon Musk kupendekeza kuisaidia wikipedia msaada wa dola bilioni moja kwa masharti kama itaweza kubadili jina kutoka wikipedia kuwa 'Dickipedia', :oops: Elon Musk amesisitiza ametoa kipindi chini ya mwaka mmoja...
Wakati Tanzania tukiwa na mawazo ya KIJINGA kufikiria kukamata wanaotumia VPN kisa huduma ya internet bongo ni mbovu na TZ inazuia baadhi ya mitandao ya kijamii kupatikana nchini bila sababu za msingi.
Wenzetu wanajenga vinu vya nyuklia kwaajili ya nishati ya umeme. Juzi kati serikali ya...
Kampuni ya kusambaza mtandao ya Starlink ya Elon Musk imepewa kibali cha kutoa huduma nchini Zambia.
Kwa sasa wazambia wataanza kupata internet ya kasi zaidi kutoka Starlink.
Kumbuka Starlink inakupa internet ya 1 Terabyte kwa chini ya shilingi laki 1 kwa mwezi kwa kazi kubwa na ukimaliza hiyo...
Kule X ama Twitter Bwana mkubwa Tajiri namba moja Duniani, mmiliki wa makampuni ya Tesla, X, X.al, Boring Company, Space X na makampuni mengine mbali mbali alianzisha utaratibu wa kuwalipa watengeneza maudhui kule kwenye mtandao wake.
Nimekua nikiona wadau mbalimbali wa nchi mbali mbali...
Mmiliki wa X, ambayo awali ilijulikana kama twitter, ametangaza kuwasaidia watumishi waliotendewa vibaya kazini kwa kushiriki kwao mijadala katika mtandao huo.
Elon, amewataka watumiaji wa mtandao wake wamwambie mistreatment kutoka kwa waajiri wao walizozipata baada ya ku-like au kupost kitu...
Elon Musk hana ujuzi wa maswala yote yanayohusiana na mitandao ya kijamii kwasababu amekuwa na tabia za childish tangu awe mkurugenzi wa kampuni ya Twitter.
Kwa kawaida mtu anaponunua kampuni yeyote ile anatakiwa kuboresha huduma zilizokuwa zikitolewa hapo awali na sio kuharibu huduma.
Bwana...
Huyu tajiri ni freemason au freemanga anapenda kula vya bure.
Baada ya kubadilisha jina kutoka twitter mpaka X nia na lengo la imani yake imesha julikakana.
Ndugu zangu duniani kuna mitandao mingi mfano mjusi mark ameanzisha mtandao unaitwa threads ambayo chata yake ni 666. Hii hapa. Pia huyu...
Kujua dunia inakwendaje ni Jambo la Muhimu maana kuna maamuzi juu ambayo yakitolewa ni lazima yaguse maisha ya kila moja wetu.
Maisha yanakua mabaya au mazuri zaidi hilo usiniulize utajaza mwenyewe.
Nay wa Mitengo kakosoa wajinga na kawatukana sana muamke acheni kulala. Kuwa na maisha mazuri...
Habari Wana jf
Mimi ni mtanzania niliye na shauku kubwa ya kuwa mtu mwenye ushawishi mkubwa duniani hasa wa kifedha , Elon Musk ndiye role model wangu. Nikifatilia story za Elon Musk ili nijijenge zaidi
👉Kwenye Kati ya speech yake Elon alisisitiza watu wafute social media, basi nami...
Naona majirani wamesharuhusu Starlink, sasa EastAfrica wapo Rwanda na Kenya. Ni nini shida na serikali yetu kushindwa kuruhusu hili ukiachana na vigezo alivyotoa Waziri visivyo na mashiko?
---
Tajiri Elon musk Leo hii alasiri ameposti kwenye page yake ya Twitter aki confirm kwamba Kenya...
Habari za muda poleni watanganyika wenzangu Mungu atutie nguvu na atuepushe na yule mwovu.
utangulizi
Hivi karibuni Moja ya watu mashuhuri duniani na wenye fedha kutokana na ubunigu wao hasa hasa kwenye nyezo ya teknologia ya habari,
Mtandano wa twitter unao milikiwa na Elon Musk hatimae umapeta...
Wakili wa Elon Alex Spiro ametuma barua kwa Mark Zuckerberg akitishia hatua za kisheria, akidai kuwa Meta iliajiri wafanyakazi wa zamani wa Twitter kuunda App mpya ya Thead.
Hili haishangazi, kwani Moto wa Facebook siku zote imekuwa 'Kwa nini Ubunifu Wakati Unaweza Kuiga'
Tofauti na wabunifu...
Matajiri wawili Duniani, Bwana Elon Musk na Mark Zuckerberg wamekubali kuzichapa kavu kavu kwenye ulingo uliofungwa, caged match siku zijazo mjini Nevada.
Binafsi natabiri Elon Musk kumfumua Mark kwa KO.
---
Mr Musk posted a message on his social media platform Twitter that he was "up for a...
Mzuka wanajamvi!
Jamaa kwa kifupi simpendi. Kwanza ni mbaguzi, kiherehere, ana madharau, nyodo, majigambo na kujiinua.
Anajiona yeye ni mungumtu.
Tangu jana arudishwe tena kuwa tajiri namba moja duniani nimelia sana. Kwa nini freemason wamemrudisha? Nilikuwa naomba azidi kushuka tu zaidi na...
Mmiliki wa mtandao wa Twitter na mkurugenzi wa kampuni ya magari ya umeme ya Tesla Bwana Elon Musk amerejea kwa mara nyingine tena kuwa tajiri namba moja Duniani.
Tukumbuke kwamba Elon amekuwa akipoteza nafasi ya kwanza utajiri Duniani mara kadhaa na kurejea toka November mwaka jana kutokana na...
Kampuni hiyo inayomilikiwa na Bilionea Elon Musk imepata kibali cha Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) kufanya jaribio la kwanza kwa Binadamu baada ya kufanya upandikizaji huo kwa Wanyama.
Kwa mujibu wa taarifa za #Neuralink, Watu watakaopandikizwa kifaa hicho au Wagonjwa wataweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.