Utashanga kwa nini nakwambia haya ila tambua ni kweli na wazi kabisa
Huu ni uzi mfupi tu.
Je unajua nchi zote duniani zinadaiwa?, kama ndio ni nani anaewadai. Nilipokaa nakujiuliza hili swali nilicheka sana na hivyo niliamua kufatilia.
Je unajua kuwa Kuna Familia ambazo zinamiliki Pesa zote...
Bilionea Elon Musk anaendesha makampuni yake 7 Duniani kwa wakati mmoja na makapuni yote yanafanya vizuri Duniani.
Elon Musk ni muanzilishi, mkurugenzi na mmiliki wa makampuni 7, SpaceX, Starlink, X(Twitter), X Artificial intelligence, Boring Company, Tesla na Neuralink. Makampuni yote haya...
Tajiri namba moja duniani Elon Musk ametangaza kampuni yake mojawapo ya Neuralink inayofanya kazi za kuhusianisha ubongo wa binadamu na teknolojia ya computer kuja na kifaa cha kuwawezesha vipofu kuona.
Anasema kwa kuanzia uoni kupitia kifaa hicho utakuwa hafifu lakini utazidi kuboreka na kuwa...
Tajiri namba moja Duniani bwana Elon Musk anatabiriwa kua Trilionea wa kwanza Duniani mwaka 2027 kama utajiri wake utaendelea kukua kwa mwenendo unaokua kwa sasa.
Elon Musk utajiri wake unaongezeka kwa 110% kwa mwaka hivyo kama utakua hivyo ndani ya miaka 3 ijayo Elon atafikia hadhi ya kua...
Marekani, baada ya kuinunua Twitter kaanza kuruhusu kuwe na neutral ground kinyume na democrats wanavyotaka mawazo yao peke yao yasikike, hiki chama huwa kinacheza rafu sana, huanza kwa makesi kibao ya kubambikiwa, wakishindwa wanakuchomoa Kama walivyotaka kumfanyia mtu maarufu mwaka huu. Elon...
Mahakama ya Juu imefungia Akaunti za Benki za Kampuni ya Huduma za Intaneti ya #Starlink inayomilikiwa kwa ubia na Mfanyabiashara Bilionea #ElonMusk ambaye pia ni mmiliki wa Mtandao wa X (zamani Twitter).
Awali, Mahakama ya Juu ya Brazil ilitoa Saa 24 kwa Mtandao wa X (zamani Twitter) kumtaja...
Aliyekuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye aliwahi kusema kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na taasisi za kimataifa, Tanzania inashika nafasi ya sita kwa Bara la Afrika kwa kuwa na gharama za chini za bando “vifurushi” huku ikishika nafasi ya 50 Duniani kwa...
Huyu bwana wazazi wake ni makuburu wa Africa Kusini kwa maana ya kwamba ni wahamiaji kutoka Ulaya, yeye sasa hivi ni mhamiaji wa US kutoka Africa Kusini, alirithi pesa kutoka mgodi wa rubi wa baba yake huko Africa Kusini lakini kucha kutwa kuwasema, kuwabeza na kwananga wahamiaji wanaoingia West.
Imane Khelif (25) mwanabondia kutoka Algeria amefungua kesi ya madai ya uonevu mtandaoni kufuatia sakata la jinsia katika Michezo ya Olimpiki Agosti 9, 2024
Miongoni mwa watu waliotajwa katika kesi hiyo ni Elon Musk na JK Rowling kulingana na Mwanasheria wa Imane Khelif, Nabil Boud
Aidha...
Chama kikubwa cha umoja wa wafanyakazi wa sekta ya uzalishaji magari, ndege na mashine za mashambani wamewafungulia mashitaka Donald Trump na Elon Musk wakilalamika mazungumzo yao ya jana Twitter yalihusisha kauli za kudhalilisha, kutishia na kudhoofisha wafanyakazi wanaogoma kushinikiza...
Mgombea Urais wa Republican, Donald Trump anaendesha Mazungumzo na Mmliki wa Mtandao wa X (Twitter), Elon Musk na hadi kufikia Saa 10 Kasoro usiku wa leo Agosti 13, 2024 watu waliofanikiwa kujoin ni zaidi ya Milioni 1.4.
Hata hivyo Elon Musk amelalamika kupata mashambulizi kadhaa ndani ya...
Mnamo 2018, Elon Musk alizindua Tesla Roadster yake angani.
Hakuandika chochote kama "Made in America" au "Made by Tesla."
Aliandika kwa urahisi, "Made on Earth by humans."
Wakuu mnijuze.
Wamewahi uwepo mabilionea wengi Dunia I. Wakina Bil Gate, Carlos Slim, Warren Buffet, Suleiman maana wa Daudi etc
Ninachoshangaa huyu jamaa wanakuwa na ushawishi karibu katika Kila kitu Duniani.
SMO ya Urusi Ukraine yeye yuko na ndiye anayesikilizwa.
Mashariki ya kazi Yumo...
Surah Al-Qasas (28:76-82):“Hakika Qarun alikuwa miongoni mwa watu wa Musa, lakini alijitenga na wao kwa kiburi. Tulimpa mali nyingi sana, na funguo za hazina zake zilikuwa nzito kubeba na watu wenye nguvu walikuwa wanabeba funguo hizo. Wakati alipojionyesha kwa watu wake, wale walio kuwa...
Jana matokeo ya uchaguzi yalipotoka ilitangazwa kuwa Nicolás Maduro ameshinda tena kiti cha uraisi nchini Venezuela. Akimshinda mpinzani wake Edmundo González ambaye anaungwa mkono na Marekani.
Viongozi wa mataifa ya Magharibi wameonyesha kutofurahishwa na matokeo hayo. Huku vyombo vya habari...
Media ni hatari sana. Zinaweza wachagulia Rais bila nyie kujua.
Huyu jamaa ana nguvu sana baada ya kununua twitter. Inadaiwa kuwa kuna kipindi baada ya kununua twitter alipost tweet yake. Akaudhika sana baada ya kuona tweet ya Rais Biden in engagement kubwa kuliko yake.
Akawaita mainjinia wa...
Hii ndio simu ambayo Elon Musk anatarajia kuizindua mwezi august 2024. Hii simu ukinunua maisha yako yote unapata free internet toka star link. Pia utapata uanachama wa X[tweeter] premium na kuwa verified.
Sisi tuendelee na kujenga matundu ya choo na kubishana kuhusu Simba na Yanga.
Matajiri kumi wa dunia, 9 ni wa MAREKANI mmoja MFARANSA
Products zao zinajulikana. Hapo kuna google, Microsoft, Tesla, space x, Apple nk.
Je, na wao wanachapisha mi dollar. Tuache kushupaza shingo, eti USA wana print dollar.
Wiki imeanza kwa raia wenzetu mbalimbali katika hii nchi kwenye nafasi za kisiasa za chama tawala na wale wa upande kidini kuitaka serikali ifungie mtandao wa Twitter/X
Pia itakumbukwa Starlink kampuni ya mtandao ya Elon Musk imeshindwa kupata kibali cha kufanya kazi Tanzania ikesemwa na Nape...
Elon Musk
Kwa viwango hivyo vipya, thamani ya Elon Musk imepanda hadi dola bilioni 210.7, huku Bernard Arnault akishikilia nafasi ya pili akiwa na dola bilioni 201, na Jeff Bezos yuko katika nafasi ya tatu kwa dola bilioni 197.4.
---
Elon Musk, 52, derives his wealth primarily from his stake in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.