Elon Akihojiwa na redio , amesema chanzo cha kutengeneza sex robot ni kuokoa Mali, muda na uhai wa wanaume wengi duniani.
Akitolea mfano wa sheria za talaka ambapo wanaume wengi hujikuta wakipoteza Mali nyingi walizotafuta kwa jasho lao bila usaidizi wa wenza wao.
Amesema ataiuza sex robot...
Elon anaonekana anaendeshwa na chuki kali, ubaguzi wa rangi, na hofu dhidi ya makundi fulani.
Ukweli kwake ni yale tu anayoyakubali, na chochote kinacasichokikubali kwake ni uongo.
Hapendi kuulizwa maswali.
Anataka kuwa juu ya kila kitu; aliwahi kumshambulia Sam Altman na baadaye kuanzisha AI...
Hata mimi naungana na bwana Musk, binafsi inaenda miaka 2 sasa nimeshasahau kitu inaitwa redio, runinga kutizama ni mara moja moja sana, tena siyo taarifa ya habari, natazama vipindi vingine kama mpira, wildlife nk.
Mainstream media za bongo zimejipangaje na hii transition inayoenda kutokea?
Kama Taifa letu litazingatia maombi ya vijana wabunifu wa tekinolojia,wakiwa katia umri wa ubongo wa moto na kuchukulia ubunifu wao kama kitu muhimu na kuwashika mkono na kufanya tafiti na kuboresha mawazo yao.
Taifa hili linaweza fika Mbali sana kwa tekinolojia ya ndani...
Elon Musk aendelea kutembeza bakora kwa makampuni ya simu
Baada ya kuleta mageuzi katika ufikiaji wa mtandao wa kimataifa, Starlink ya Elon Musk iko tayari kupeleka muunganisho wa simu mahiri kwenye kiwango kinachofuata. Huduma hiyo kabambe ya setilaiti hivi karibuni itawawezesha watumiaji...
Hili jamaa linakera sana. Utadhani yeye sasa ndio rais mteuliwa siyo Trump tena.
Alizidisha sana kujipendekeza kila sehemu Trump yupo naye yupo.
Katika teuzi za watu yeye kimbelembele.
Sasa wababe wa chama chao Republicans wamempiga stop hadi sasa hivi kasusia kwenda the centre of the...
Elon Musk anataka SpaceX kuongeza majaribio ya kurusha roketi ya Starship kutoka mala 5, 2024 hadi 25 kwa mwaka 2025. Hata hivyo mpango huo wa kuongeza hiyo idadi unahitaji idhini ya FAA.FAA, Federal Aviation Administration ndio yenye mamlaka ya kutoa vibali vya kurusha roketi za kibiashara...
In a world where hunger kills more people each year than malaria, tuberculosis and AIDS combined, Elon Musk's bold proposition in October 2021 sparked an unusual yet critical conversation.
The tech billionaire, known for electrifying industries and aiming for Mars, turned his attention back to...
Ni nchi 4 tu za Afrika zitaongezwa kwenye huduma ya internet ya kisasa zaidi duniani inayotumia satellaite kurusha data moja kwa moja kwa mtumiaji.
Katika mpango wa usambazaji wa huduma hii ya kisasa kabisa zipo DRC na Uganda pekee utoka E.A. ambazo zinaungana na Kenya na Rwanda kupata huduma...
Mfanyabiashara maarufu wa Marekani, Elon Musk amekuwa Mtu wa kwanza katika historia duniani kufikisha thamani ya juu ya utajiri wa dola bilioni 400 za Kimarekani ( zaidi ya Trilioni 970 za Kitanzania) baada ya kuongezeka kwa utajiri wake kutokana na ushindi wa Rais mteule Donald Trump katika...
wana JF hongereni kwa kusimamia ndoto zenu!
Dg zangu.
Wachambuzi wa matajiri wa marekani, wamemtabiri bilionea ELON MUSK aka GAME CHANGER mmiliki wa Tesla,space X Star link na n.K, atakuwa ndiye tajiri wa kwanza kwa bara hilo lenye idadi kubwa ya mabilionea wenye ukwasi wa kutisha...
Inajulikana wazi susi waafrica hatuna tunachojua zaidi ya kupas kwa ungo na ulozi mwingi.
Nchi zetu tumeshindwa kuziendeleza mpaka Mungu anstucheka.
Nahauri tumpe nchi Elon musk au tumpe Africa yote kabisa. Tukse palee tutulie mwanaume akiwa kazini.
Mwana anasisitiza watu wazaliane unlike yule mwenzie wa makompyuta anaeshadadia depopulation.
Heko kwa huyu mwamba, dunia inahitaji watu.
The future of humanity is through birth.
ISS (international space station)
Ni jidubwasha kubwa sana linalobeba maabara ya watafiti wa anga, lakini life expectancy yake ndio hivyo inakaribia kuisha, linatakiwa liondolewe.
Na kikubwa cha kueleweka hapa ISS ilitengenezwa Kwa ushirikiano wa USA, RUSSIA, JAPAN, CANADA na EUROPE. Kwaajili...
Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Dunia Jamani kuna watu wana Hela,kuna watu wana pesa,kuna watu wana Fedha. Watu wana hela mpaka unajiuliza wao wanazipata wapi wakati kuna watanzania wanafanya kazi usiku na mchana kuanzia migodini ,mashambani , mabarabarani,viwandani lakini hawapati pesa hizo...
Ndugu zangu Watanzania,
Mimi kila siku huwa naangalia na kusoma vitu anavyopost na kuandika mitandaoni Tajiri Nambari Moja Duniani Elon Musk kupitia mtandao wake wa Twitter maarufu X.
Ambapo amekuwa akipost na kuandika vitu vya kawaida na vyepesi sana ambavyo huwezi kujifunza kitu chochote...
Tajiri Elon Musk aliyeteuliwa na Rais Trump kuongoza idara mpya ya Ufanisi wa Serikali, ameingia kwa mara ya kwanza kwenye ofisi za bunge la Marekani kwa ajili ya kufanya kikao huku akiwa amembeba mabegani mtoto wake kipenzi anayeitwa X. Elon anamkubali sana huyu mtoto wake.
Inasemekana huyu X...
Habari nilizo zipata muda huu ni kwamba. Simu hizi zitakuwa zinakamata internet moja kwa moja kwenye satellite.
Hii ni habari njema sana wanasayansi ni wakombozi wa hii dunia.
=========
SpaceX and T-Mobile have secured a major victory with approval from the U.S. Federal Communications...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.