Awaita waliotengeneza hizo ndege ni wajinga na wametumia gharama kubwa kutengeneza ndege zilizo complex ni upigaji tu
Anasema kwa sasa future ni kwenye drones huku akionyesha swarm drones za China zikifanya maneuver angani...
Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu jinsi baadhi ya watu mashuhuri walivyogeuza mtazamo wao dhidi ya chama cha Democratic nchini Marekani. Wakati Robert Kennedy Jr. na Donald Trump hawajulikani wazi kilichowasukuma, hali za Elon Musk na Tulsi Gabbard ni rahisi...
Kuna baadhi ya matajiri duniani mfano George Soros na Bill Gates huwa wanatuhumiwa sana kuwa puppet masters wakiwaendesha wanasiasa kama vikaragosi vyao na kuwafanya watimize zinazodaiwa kuwa na ajenda zao ovu kama depopulation, mass control, ushoga n.k
Sasa inakuaje Elon Musk tajiri namba...
Soma hapa: "Elon Musk wants to change the way we fly. The billionaire tech mogul is pushing forward with SpaceX’s plans to launch “Earth to Earth” space travel, offering intercontinental flights that take off like a rocket and land just minutes later across the globe.
Musk says his dream of...
Rais mteule wa US Donald Trump amemteua Elon Musk kuongoza Idara mpya ya Ufanisi wa Serikali (Doge) kwaajili ya utawala wake ujao.
Alitangaza kwamba Vivek Ramaswamy, mwekezaji wa kibayoteki, atafanya kazi na mwanzilishi wa Tesla kwenye mradi wa "kuondoa" urasimu Serikalini
US President-elect...
Je tunajifunza nini hapa ktk serikali zetu kuajili matajiri ?
Ikumbukwe matajiri wa nchi zetu wengi huwa ni indirect involves in political funding japo kuna means of blackmailing n.k na kuna mafungu wanatoa, mana kwa nchi kama zetu raia wa sisemu akiona Mo anasupport CHADEMA kesho humkuti...
Wataalamu wa uchunguzi wa kitaalamu wa Uganda wametoa ripoti ya kina kuhusu asili na athari za uchafu wa anga ulioanguka katika maeneo ya magharibi mwa Uganda mnamo Mei 2023.
Uchafu huo, ulitokana na kurushwa kwa setilaiti ya SpaceX yenye makao yake nchini Marekani, iliyotawanyika katika wilaya...
Pamoja na kulenga biashara zake, pia suala la mwanae lilimuumiza sana na anaamini mitazamo ya kiliberali ya democratic ilichangia kwenye hilo!
https://www.washingtonpost.com/business/2024/07/26/musk-transgender-vivian-grimes/
This is actually why Elon went against the democrats. He believes...
Elon Musk aliingia Marekani kwa visa ya wanafunzi kwa ajali ya Masomo ya chuo kikuu, alipoingia tu chuo akaachana na masomo akaanza kufanya biashara zake mtaani bila kibali cha ukazi au cha kufanya kazi Marekani. Kwa sababu serikali ya Marekani ilikuwa haifuatilii sana wahamiaji haramu miaka ya...
Elon Musk anaendelea kuboresha kanuni za mawasiliano ya mitandaoni kwa hatua nyingine ya juu kabisa.
Sasa Elon anasema kama umaweeka bandiko ama post na imechagua hilo bandiko liende kwa umma ama public basi hata wale ulio wablock wanatakiwa kuona maana ni public unless uchague kuweka private...
Amani ya Bwana iwe nanyi.
Tilionea Elon Musk alikusudia kutuletea intaneti ya bei rahisi ya setilaiti. Nimemfuatilia huyu Bwana licha ya wema wake ni kama mafia sana na anaingilia hadi mambo ya nchi husika kwa maslahi yake.
1: Rais wa Venezuela aliyeshinda amemtuhumu jamaa kutumia zaidi ya...
Tajiri mwenye ahadi nyingi Elon Musk wakati wa uzinduzi wa Tesla Robotaxi alionyesha pia humanoids robots zake zinazoitwa Optimus.
Kutoka na presentation yake aliahidi kwamba Optimus inaweza kufanya chochote unachotaka. Akazidisha akasema “Optimus ni biggest product ever katika human kind” na...
Bwana Elon Musk amezindua Magari yake mapya ya Cybercap na Robovan/Robobus.
Haya magari yana muonekano wa ajabu ajabu na wa kutisha lakini sio muda tutaanza kuyaona barabarani yakikatiza.
Kumbuka gari lake la Cyber Truck leo linapigana vita huko Ukraine na Urusi inasema yanapiga kazi nzuri...
Kwenye Tesla event ya tar 10 mwezi October California iliyopewa jina la “We Robot”, Elon Musk, CEO wa Tesla, amezindua magari ya kukodi yanayojiendesha yenyewe, Cybercab na Robovan.
Cybercab ni gari dogo yenye gull-wing door isiokuja na steering wheel wala pedal za breki wala mafuta...
https://x.com/dogeofficialceo/status/1843382048767258909?t=snaDQf8FVMrm5Dx2zKuZzw&s=19
Elon anacheka lakini ni ukweli. Ikiwa Trump atashindwa, Elon ataishia kushtakiwa na kupigania maisha yake. Hiyo ndiyo gharama ya kujaribu uhuru wa kujieleza. Bodi za makampuni yake zinaweza kumwondoa kwa kuwa...
Elon Musk ni tajiri namba one duniani na utajiri wake ndio kwanza unaanza kustawi. Sasa juzi ameonekana akimsapoti Trump kwenye kampeni zake huku akiruka na kushangilia hadi nguo zikamvuka na kuwa kivutio kikubwa kwenye kampeni hizo.
Najiuliza hivi Mo Dewji angefanya hivyo kwa CHADEMA wakati wa...
Tajiri namba moja duniani Elon Musk hajaishia hapo kwenye kumiliki utajiri wa $269.8 billion amethibitisha kuwa anataka kuongeza zaidi na kuweka rekodi ya kuwa binadamu wa kwanza ambaye ni TRILIONEA duniani. Elon Musk mwenye umri wa miaka 53, amethibitisha kuwa mpango wake ni kutumia fedha hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.