Mambo ya mkataba yameanza utekelezaji haraka sana, huku mipango ikianza kufanyika Ili ndugu zetu DP world waanze kufanya kazi mara moja.
Sijui mambo ya Mikataba, lakini DP world katika mkataba wao watachukua pia Eneo la Chuo Cha Polisi Kurasini Kinachosimamiwa na kamishna Msaidizi Mambo Sasa...
Kuna video naitafuta nitaileta niliitizama inaonyesha jinsi Warusi walivyofyekwa wakikimbia eneo la Urozhaine, aise cluster bombs ni hatari, mnauawa kama senene. Hii picha hapa inaonyesha jamaa wakitoroka huku wakiuawa.
SCREENSHOT FROM CNN
The Ukrainian troops have likely used...
Warusi wanaendelea kupelekewa moto na kukimbia maeneo yanayokombolewa.
Hanna Maliar, Deputy Defence Minister of Ukraine, has reported that Ukrainian defenders have liberated the village of Urozhaine in Donetsk Oblast.
Source: Maliar on Telegram
Quote: "Urozhaine has been liberated. Our...
Ktk pitapita zangu viunga vya YouTube nakutana na kisa hiki.
Ikumbukwe South Africa walikuwa na kambi ya wapigania Uhuru eneo la Mazimbu Morogoro.
Aliyewahi kuwa Rais wa South Africa Thabo Mbeki 1999 Hadi 2008 alikuwa na Mtoto mmoja tu wa pekee aitwaye Kwanda Mbeki. Alimzaa na Mwanafunzi wa...
Kuwakamata na kuwashtaki wakosoaji wa mkataba mbovu wa DPW na Tanzania ni picha inayodhihirisha lengo la serikali yetu tukufu inayojitukuza kuliko uwepo wa Mungu.
Wakili Mwabukusi, Nyangali, Slaa ni public figures ambao serikali inahofia kuwanyamazisha kama ilivyojaribu kwa Tundu Lissu hapo...
Kwa mwendo kasi, zege hailali...ni kulipua mpaka wakomboe maeneo ya taifa lao..
Russian troops have been forced to retreat as Ukraine has retaken a key village in Donetsk, according to reports.
Moscow’s forces have abandoned their positions in Urozhaine, which is a strategically-significant...
Eneo Lina nyumba mbili ya mbele ina fremu 5 na vyumba 6 vya wapangaji. Na nyumba ya nyuma ni yakuishi ina vyumba 2 sebure, dinning na valanda.
N.B Unaweza ivunja na kujenga shell, hotel, dispensary n.k, au vyovyote utakavyo Eneo ni kubwa Zaidi ya sq meters 430+.
Mahali: Airport Dar es salaam...
Habari ndugu kuna Eneo linauzwa Manzese Argentina. Eneo linatazamana na barabara kuu ya Morogoro road jirani kabisa na kituo cha Mwendokasi cha Argentina
Eneo linafaa ujenzi wa hotel, shell au kuweka kitega uchumi chochote
Bei 400ml maongezi yapo
kwa maelezo zaidi What's up number
+255628891673...
Habari wanajf,
Kwa wale wenyeji wa Morogoro mjini tu, mwezi ujao natarajia kufiko Morogoro ila sehemu ninayoenda ni Kihonda Mkundi na Makunganya. Naomba msaada nikifika MOROGO mjini na Basi nitaenda uelekeo gani?
Naomba kuwasilisha.
Wadau,
Nahitaji sehemu/kiwanja kilichotizamana na barabara kwaajili ya kuweka kontainer la biashara.
Iwe Bagamoyo road kuanzia Tegeta mpaka Mapinga Bagamoyo. Iwe na mkusanyiko wa watu na huduma ya maji na umeme viwe karibu.
Habari wakuu,natafuta frem kwaajili ya kuweka biashara ya juisi ya matunda ,na location ikiwa nzuri kwa uuzaji wa juisi ya matunda itakuwa vizuri zaidi. pm kwa mawasiliano zaidi
Kwa wale wenye kutaka kuishi humo au kuweka Sheli ya mafuta au biashara kubwa yyte hii sehemu inafaa. Kuna nyumba mbili zimeungana na PANAUZWA kwa pamoja .Eneo lipo karibu kbsa na main road .Ukubwa ni square meter 1400 .Call 0759600684
Wakuu Kuna boma linauzwa Mbweni Millioni 40 . Mtu ataendeleza tu hilo boma
Mita 15.3 kwa mita 23
N.B chenye thamani ni kiwanja sio boma .Call 0759600684
Ninaamini viongozi wengi mnapita humu Jamii Forums, naamini hata mbunge wa eneo hili la Mbozi anasoma humu. Nimepita barabara hii wiki iliyopita na kufanya utafiti na nikagundua kwamba barabara hii iko busy muda wote, ila haijatendewa haki, na sijasikia mbunge wa eneo hili akiizungumzia...
Mfanyabiashara mkubwa nchini Rostam Aziz amezungumza na waandishi wa habari Juni 26, 2023 ambapo ameeleza mambo mbalimbali ikiwemo sakata la bandari ya Dar na kuhusika kwake kwenye uwekezaji huo mkubwa.
---
Juzi katika mdahalo pale hoteli ya Serena nilisema kuwa sihusiki na hili jambo (mkataba...
Huku Putin akijambishwa na kakundi kake ka Wagner ambako kalimzingua hadi ikabidi kabembelezwe, Ukraine wanaendeleza kicha cha kurejesha ardhi yao, hili eneo lilikaliwa tangu 2014, liko mikononi mwa Ukraine sasa.
Ukraine has liberated an area that had been occupied since 2014 as the country...
Supapawa aendela kushindwa kuzuia mawimbi na mapigo ya wanajeshi wa Ukraine, aachia eneo la Piatykhatky.....
Ukraine has captured the village of Piatykhatky on the western edge of the Zaporizhzhia front, according to a Russia-appointed official and sources, the first village recaptured by...
Ni mambo mpwito mpwito kwa kwenda mbele....
Ukraine claims to have retaken another southeastern village from Russian forces as its counteroffensive gains momentum.
Soldiers held up the Ukrainian flag in Storozheve in the Donetsk region in unverified video footage posted online and the defence...
Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara.
Jambo hili limenisikitisha sana...
Sisi wakereketwa Mwananchi anauliza kabla ya maombi yenu kumuomba Rais upanuzi wa eneo la Jangwani kwa ajili ya kujenga Kiwanja cha kisasa hajayafikiria mtupe mrejesho wa lile eneo alilowapa RC enzi zile Bwana Paul Christian Makonda kule Kigamboni iliishia wapi?
Kwa maendeleo ya mpira.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.