Habari ndugu zangu JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Eneo la Ekari moja linauzwa. Mmiliki ni dada yangu kaomba nimtangazie
Mahali: Kibaha Visiga, 500m kutoka barabara kuu ya Morogoro
Bei: Tsh 18,000,000 (Mazungumzo yanakaribishwa)
Mawasiliano: 0784 41 41 43 (Mwenye eneo, hakuna dalali)...
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imekabidhi eneo la ujezi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kwa Mkandarasi ambaye ni CRJE (East Africa) Ltd na Mshauri Elekezi Aru Built Environment Consulting Company Ltd (ABECC) katika eneo la Lakilaki...
Kuna daktari mmoja alikuwa anakaribia kununua nyumba Msasani. Wakati anaendelea na zoezi hilo, ghafla 'taasisi mojawapo ya taasisi zinazopiga kelele', wakaanza makelele yao. Yule dk akaghairi kuinunua ile nyumba.
Changamoto kubwa iliyopo kwenye majiji makubwa yanayokua kwa kasi ni ugumu wa...
Sina maneno mengi wakuu , Nawasalimu katika yeye atupae pumzi ya kila siku, na naenda kwenye mada
Ndugu zangu ,kwa mjibu wa clip inayozunguka mitandaon toka Ikulu ya Zanzibar ni kwamba watanganyika tumepigwa na kitu kizito sana, na kwa kua inasemekana hii ardhi walipewa, lakini sasa wamejisahau...
Kwa Hali ya maisha ilivyo ngumu bado TANESCO mkoa wa Mbeya, wanazima umeme kila siku wilaya ya Chunya bila kujali kuna watanzania wala bila kujali ni Jimbo lilliloko mikononi mwa CCM.
Katika hali ya kushangaza wananchi wameamua kumjulisha Maharage Chande, kuwa ana mbinu Za kuing’oa CCM...
Tunakoelekea tume fila mahali sasa watumishi wa Umma Wanafanya watakalo na hafanyiwi chochote,
Je TAMISEMI mama ANJELA KAIRUKI Unafahamu maeneo ya Taasisi Za Umma Mfano maeneo ya shule Za msingi Za serikali yanauzwa?
Kama Bado Afisaelimu mtajwa hapo juu yupo ofisini hadi leo kuna kila sababu...
Wananchi wa Kunduchi Mbuyuni wanatakiwa kuondoka kupisha mradi wa Serikali wa mwendokasi (DART -PHASE 4).
Mradi huu umezua sitofahamu kati ya wananchi na waliteuliwa ku simamia mradi husika. Mradi ulitakiwa kuanza 2020 na eneo husika lilishatengwa (kiambatanisho namba 1). Tatizo linakuja ni...
Pale ambapo mtu kavamia na kupanda mti katika eneo la nyumba (uwanja wangu) kwakuwa nasafiri sana. Hata baada ya kumwambia ang'owe akakubali atatoa au kuruhusu hata mimi nitowe lakini baada ya miezi5 hajatowa. Je, mimi niking'oa nitakuwa na kesi?
Akiwa waziri alipambana kulinda rasilimali za umma.
Akazuia wizi wa pesa za umma na barabara zikajengwa.
Alipokuwa rais ni kwa miaka mitano tu aliweza kufanya makubwa . Ili kuenzi makubwa aliyofanya hasa kudhibiti wizi wa mali za umma. Basi ijengwe sanamu mjini chato kulinda heshima na...
Mimi ni mmoja wa diaspora, nimeishi na kufanya kazi maeneo mengi tu nje ya nchi katika mataifa mbalimbali.
Nilianza kutembea nje ya nchi kupitia safari za maskauti ambazo zilitupeleka huko nje kuona maajabu ya ulimwengu.
Baadae nikaingia vyuoni na kisha kuanza kufanya kazi hukohuko nikizunguka...
Mchungaji Joseph at Gwajima wewe ni mbunge wa jimbo la Kawe. Upo bize kweli na siasa za Sukuma Gang ukisahau zile za jimbo lako.
Taarifa iliyopo ni kwamba eneo la mecco kunduchi "mashimoni" linataka kuvamiwa. Watoto wa mjini wanalitolea macho wakidai kupisha mwendo kasi.
Wananchi hawa...
Mwandishi wa ABC News amewanakili maafisa wawili wa Pentagon wakisema kuiokoa droni yao iliyomwagiwa mafuta na hatimae kuanguka huko bahari nyeusi itakuwa shida kwani Urusi tayari imeshafika na meli zao kuitafuta droni hiyo.
Mwanzoni mnadhimu mkuu wa majeshi ya Marekani generali Mark Milley...
Habari ya wakati huu wananchi wa JamiiForums, mimi ni mtanzania ninayeishi Canada naomba kufahamu kwasasa ni maeneo gani kwa mkoa wa Dar es salaam geografia yake ni tambarare na hayana watu wengi nataka kununua sqm 4000 - sqm 8000 nije kujenga apartments.
Nitashukuru kwa michango yenu.
Note...
Hii kada ni ya wanyonge na wananyongwa kweli. Mke wangu ametumiwa meseji na mratibu wao kuwa yeye (mwalimu mkuu) pamoja na walimu wake wafike bila kukosa eneo la usa-river jumapili saa 1:00 asubuhi bila kukosa ili Rais atakapokuwa anapita basi awapungie mkono.
Cha kushangaza hakuna nauli wala...
Jamani nahitaji eneo la gereji ambalo linapangishwa Dar es Salaam,
Sifa za eneo.
1. Liwe na fence na gate.
2. Likiwa na Ofisi itapendeza zaidi(Sipendelei sana iwe garage Bubu).
3. Sihitaji eneo kubwa sana, sina magari ya kuweka kwenye hilo eneo.(Ikiwa eneo ni kubwa basi mwenye nalo awe...
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) Mussa Mbura amesema hakuna ajali ya ndege leo kwenye Ziwa Victoria Jijini Mwanza bali kilichofanyika ni mazoezi ya utayari.
Mussa Mbura amesema yafuatayo "Haya ni mazoezi ya kujiweka tayari ambayo tumeendelea kuyafanya, kama Mamlaka za Viwanja...
Weka pembeni mambo ya movies, haya mambo ya mauza uza yapo kitambo, yapo hata katika biblia na kuran na tumeonywa tusiyachukulie poa.
Sio stori ni vitu real hivi, upo zako kwenye safari mara paap! kuna kitoto ama mzee yupo katikati ya barabara, tena yupo katikati sehemu ambayo akilini kmwako...
Na WyEST,
BUTIAMA - MARA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda amekitaka Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kilichopo Butiama mkoani Mara kujikita kutoa mafunzo kwenye eneo la kilimo kwa upana wake ambao ndio msingi halisi wa...
Waswahili wanapenda sana kukomalia mambo ma hata pale ushahidi ukiwa hafifu au wakiletewa ushahidi tofauti na wanachotaka kuamini, wanakuwa wagumu kukubali.
Nimeona clip inayosambaa ya basi la Simba likirudi kinyume katika mtaa mmoja mwembamba. Kwanza sielewi kinachoshangaza nini kwa gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.