english

  1. P

    Anahitajika mwalimu wa English language., Shule IPO wilaya ya chemba mkoa wa dodoma (Kijijini sana) ila umeme na maji vipo. ..Pia shule ni ya serikali

    Anahitajika mwalimu wa English language, shule ni ya serikali IPO mkoa wa dodoma wilaya ya chemba (Kijijini sana ila umeme na maji vipo) Ambaye yupo siriazii anicheki...posho IPO sio sawa na kukaa buree 0695252896
  2. Z

    Wazazi kuweni makini wakati mnachagua English Medium Schools za kusoma watoto wenu

    Watanzania tuwe makini, kama unaamua kupeleka mtoto shule ya english medium, basi ni bora iwe international schools lakini hizi za uswahilini ni upuuzi mtupu, english yao utasikia "teacher is telled to teach us masematikis tumolo" sasa huwa nashaangaa na mzazi anavimba kichwa kuwa anasomesha...
  3. U

    Watoto wetu wanaosoma English medium wanafanya vizuri kitaaluma, wanapata lishe bora na maisha bora na wanaandaliwa vizuri tofauti na wenzao

    Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Hata sisi wazazi wao tulifeli siyo kwa kukosa akili bali tulikosa wanayopata Watoto wetu. Dominika njema
  4. Why English speakers termed as educated and they deserve some privilege?

    Ukiwa kwenye jamiii ya kiafrika Then , ukawa unajua kuongea na kuandika English nzuri sana , automatically unaonekana wewe ni msomi na unaakili sana kuliko wengine , mbali zaidi unaweza ukatengwa . Asee huu ni upumbavu wa hali ya juu sana In reality , Neo colonialism Bado inatutesa sana...
  5. English Medium ziko Ovarated sana. Hakuna elimu pale zaidi ya utapeli. Shida ni tumekuwa Brainwashed sana

    Nasomesha Englisha Medoum ila ukweli ni kwamba sijawaji zikubali hizi shule, Shule zimejaa janja janja nyingi sana kuliko kutoa elimu ni full hadaa na wanajua fika kucheza na akili za wazazi wajinga Sijawaji amini kwamba kuna elimu bora kwenye shule za English medoum, kuna elimu ya kawaida sana...
  6. A

    DOKEZO Mwalimu Farida Washokera wa SAUT-MWANZA Atoe incomplete kwenye matokeo ya (BASIC ENGLISH) kwa Wanafunzi wa Course ya mass Communication

    Na sio Kuwazungusha kwani Wanafunzi Hawa wamekuwa wakilalamika kutoshughulikiwa changamoto Yao ya kutokujaziwa matokeo Yao toka mwaka wa masomo 2023/2024 Semister ya kwanza. Aidha Wanafunzi Hawa wamefatilia kwa viongozi mbalimbali wa chuo akiwemo HOD ya Journalism and Mass Communication lakini...
  7. Ni kweli watoto wa English Medium wana IQ kubwa kuliko wetu kayumba?

    Kazi ya elimu sio kumuingizia mtu vitu kichwani, kazi ya elimu ni kumsaidia mtoto kuugundua na kuufanyia kazi uwezo alionao. Shule zetu za Kayumba hazimpi mtoto nafasi ya kuuonyesha na kuuvumbua uwezo alio nao bali mazingira yanamfanya awe mjinga zaidi hata kama anatapa A. Mazingira ya Shule...
  8. Mwanangu anaipenda sana computer na na ujuzi wake nauona. Nisaidien ana ufaulu wa four ya 26 f ya maths , English na biology pass

    Ujuzi wake nauona kamaliza forum 4 window anajua kuitengeneza computer anajua eti nisaidie wakuu kati ya computer science na information technology au kozi yoyote ya computer,, Mimi baba yake kazi yngu ni fundi cm na computer yaan accessories yoyote ya umeme na fix LAKINI nataka mwanangu awe...
  9. Joseph Mrindoko wa wachokonozi azichana vibaya shule za English Medium

    Amezichana vibaya shule za English Mediums na kuwaita " mbumbumbu "Watanzania wanao jistress kusomesha watoto wao kwenye shule hizo. Ameongea point nyingi sana nenda kamsikilize mwenyewe You Tube. Moja kati ya nukuu yake anasema " Waafrika tunataka kuwa kama wazungu. Wazungu hawataki kuwa...
  10. Thread ya Kujifunza Kiingereza pole pole [Thread for Learning English bit by bit]

    Thread ya Kujifunza Kiingereza pole pole [Thread for Learning English bit by bit[
  11. G

    Chat gpt imenitimizia ndoto ya kuandika kitabu changu, sina haja ya kumlipa proof reader kusahisha makosa ya grammer / broken english

    Nilikuwa na ndoto ya muda mrefu sana ya kuandika kitabu changu cha taaluma niliyosomea, kuna somo nipo nondo vibaya mno !! Hofu yangu kubwa ilikuwa ni english kwenye mambo ya grammer, articles, prepositions, nk. Chat GPT imenipa confidence kubwa sana, nachofanya naandika kurasa moja au mbili...
  12. K

    Movie zenye English subtitle

    Wadau, mie mwenzenu ni mpenzi sana wa movie lkn nikienda ku-burn nakuta movie zote zimetafsiriwa kiswahili Sasa mimi maskio yangu ni mazito sisikii vizur kwahiyo yule mkalimani huwa simsikii. Sasa lengo la huu uzi naomba km kuna mdau ana movie ambazo hazijatafsiriwa lkn zina subtitle ya...
  13. Mwalimu wa English & Kiswahili natafuta kazi

    Hello everyone I have a Bachelor degree of Art with Education specialized in English and Kiswahili from University of Dar es Salaam Nipo Dar es Salaam natafuta kazi ninao uwezo wa kufundisha na uzoefu madarasa ya sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita. Kwa mawasiliano 0710358330...
  14. English inazingua na kuchosha

    Jamaa aliyeonekana anakuja kuokoa jahazi, upepo ukamshinda naye akazama mazima
  15. D

    Hivi ni lazima nikienda South Africa nijue lugha zao nyingine apart from English?

    Habari za muda, ndugu zangu. Nina swali napenda kuuliza: Huenda kuna Watanzania ambao walishawahi kufika Afrika Kusini, au huenda kuna wengine wanaishi huko chini ya Madiba. Napenda kuuliza: Hivi, ukienda Afrika Kusini, ni lazima ujue moja ya lugha kama Zulu, Xhosa, Sesotho, au Afrikaans, au...
  16. Kamati ya Kudumu ya Bunge yazipiga pini Halmashauri kujipangia Ada ya Shule za English Medium zinazomilikiwa na Serikali

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imezitaka Halmashauri zote nchini kutotumia Shule za "English Medium" za Serikali kama vyanzo vya mapato. Mwenyekiti wa kamati hiyo ya kudumu ya bunge inayoshughulikia Elimu, Utamaduni na Michezo Bi. Husna Sekiboko ametoa kauli hiyo leo...
  17. G

    Lugha ni kitu kinachowanyima watanzania confidence ya kwenda majuu na wengi wanaofika wanapata ugumu kimawasiliano, kimbilio pekee huwa ni wakenya.

    Lugha ndio kikwazo kikuu chenye kuleta hofu kwa watanzania kutoka nje ya nchi, hata waliosomea english medium inabidi wakajipige msasa kwa kina ras simba kabla ya kuondoka ni kwasababu lugha haijakaa sawa licha ya kuitumia mashuleni tangu chekechea mpaka wanahitimu vyuo, LUGHA ! LUGHA ! LUGHA ...
  18. HAKUNA SABABU ZA MSINGI ZA WATOTO KUSOMA ENGLISH MEDIUM

    Samahani kwa kusema hili, ukweli uliowazi ni hakuna sababu za msingi za watoto kusoma hizi shule za English medium. Naongea kwa sababu hili suala nalifahamu kwa asilimia kubwa. Tena kwa wazazi wanao dunduliza na kujibana samahani kwa kuwaita wapumbavu ambao ujinga, mihemko na maisha ya kuigana...
  19. Mwamba Pavel Durov, Wanazi Wa Telegram Tuko Nyuma Yako, Ila Ukienda Na Hii English Mahakamani, Lazima Wafaransa Wakufunge.

    https://www.jamiiforums.com/threads/ceo-wa-mtandao-wa-telegram-pavel-durov-akamatwa-katika-uwanja-wa-ndege-nchini-ufaransa.2249872/
  20. Z

    Mwalimu wa day care na madarasa ya awali English medium anahtajika.

    K
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…