Hello, am a English Lerner (both wirting and speaking),
I need a teacher who will guide me and talking to me through the phone at least one hour per day, then I pay in according to how will make the contract.
Correct me and help me please, am in Dar es Salaam, but am very busy and I have no...
Habari zenu wana jamvi,nimekuja kwenu kwa wale wapenzi wa series za kikorea na zile za English nahitaji movie ONLY SERIES nina external ya ukubwa wa 1TB = 931GB nahitaji ijazwe Series,najua tabu na shda ya ku download movie hasa series hiivyo basi nimekuja kwenu na ombi ambalo limeambatana na...
The title mentioned above, here, we will discuss and argue an issue confronting our society about who are the main source of HIV/AIDS spreads between men and women, for my side, women are the source because of the following reasons.
1. Women do not care about condoms, during sex, otherwise, a...
Ukiangalia matokeo ya darasa la saba 2019 kwa mfano shule za english medium ndizo zimeongoza kwa ufaulu kwenye somo la kiswahili kuliko shule zinazotumia lugha ya kiswahili kwenye masomo yote
Hii inamaananisha nini?
====
Pia raia wa China Congcong Wang aliongoza somo la Kiswahili ambalo...
Kwa majina anaitwa Ombeni Elinihaki White, mhitimu kutoka Chuo Kikuu cha Dar- es-Salaam (BAED). Anaomba ukiwa kama ndugu jamaa na rafiki popote ulipo ukiona nafasi ya kufundisha kati ya somo la English and Literature umkumbuke. Ni Mwalimu anayejiamini na mwenye bidii katika ufundishaji.
Special...
Kuna maana gani viongozi wa Serikali, bunge na vyama vya siasa kusomesha watoto wao English medium schools halafu wanaacha watoto wa wengine wasome Swahili medium? Huu ni unafiki mkubwa.
Badilisheni shule zote za Serikali ziwe English medium.
Wanafiki wakubwa nyie msio na haya
Hizi ndizo...
Shule ya jiji la Mbeya iliyoko Mwanjelwa imetawaliwa na rushwa sana kipindi hiki ambacho watoto wanajindaa na kufanya usaili.
Yaani mwalimu anakuambia kabisa ili mwanao apate nafasi nipe laki tano (500,000) bila hata kupepesa macho anasema hayo.
Na anakwambia tuko wengi pale so tunahitaji pesa...
Naitwa Kapena. Nipo Dar es Salaam.
Ni mwanafunzi wa Masters ambaye week ijayo natakiwa ku-submit Masters Thesis/Dissertation yangu for examination purposes. Hivyo, natafuta mtu anifanyie English proofreading ya document yangu. Nimejaribu kutumia Grammarly naona haitoshi. Nahitaji human...
Habari Wana JF! Poleni kwa shughuli za kila siku za ujenzi wa taifa letu pendwa. Leo npo jukwaa hili nipate mawazo/maoni/ushauri wenu.
Kwa sasa ninafanya kazi za sales kwenye kampuni moja ndogo hapa jijini Dar es Salaam. Ajira hii naitumikia kuanzia asubuhi saa 1 na hadi kufikia mchana saa 6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.