english

  1. YEHODAYA

    Shule zote za serikali za msingi zibadilishwe kuwa English Medium

    Shule zote za serikali za msingi zibadilishwe kuwa English Medium ili kuondoa ubaguzi kwenye shule za msingi za serikali sababu serikali yenyewe inazo shule za English Medium kibao kwa nini wengine wasome English Medium na wengine Swahili medium wakati zote za serikali? Pili sasa hivi tuko...
  2. F

    Rais Magufuli tunaomba uruhusu mabadiliko shule za msingi za serikali ziwe English Medium nyingi katika miji mikubwa

    Ombi kwako Rais wangu. Shule za Serikali za english medium ni chache sana. Najua unajua ukweli kwamba hata viongozi kama mawaziri na wakurugenzi hawapeleki watoto wao kwenye shule za msingi za Kiswahili medium Na sisi raia wa kawaida tunapenda watoto wetu wafundishwe kwa lugha ya dunia...
  3. E

    Car Diagnostic Machine English version

    Habari wakuu, natafuta Car Diagnostic Machine English version. Au kama unawajua wauzaji toka nchi za nje nisaidie contacts zao. Nataka inayo toa taarifa za mfumo wa gari kwa Kiingereza
  4. U

    Kwa Nini Shule Zote za Msingi za Serikali Zisibadilishwe na kuwa English Medium?

    Kichwa cha habari hapo juu chajieleza! Nimefanya utafiti usio rasmi, kwa sasa asilimia kubwa ya wazazi (karibu wote) wanatamani, au wanataka watoto wao wakasome shule za English Medium. Asilimia kubwa (karibu wote) wazazi wenye kipato wamepeleka watoto wao English Medium. Sijajua kama kuna...
  5. Manthom

    Naomba mwenye link ya vitabu vizuri vya English medium

    Mwenye link ya vitabu vya English medium vizuri please naomba link
  6. Msitari wa pambizo

    Ni shule gani ya English Medium ambayo ni nzuri kwa maeneo ya Goba na Viunga vyake?

    Title ya thread inajieleza. Nahitaji shule ya English medium kwa mwanangu inayopayikana mitaa ya Goba na viunga vyake. Tafadhari sana share nami shule ambayo nikimpeleka mwanangu sitojuta
  7. Red Giant

    Hivi ni kwanini hizi shule za English medium wanafunzi hawachapwi viboko?

    Wakuu ni kwanini hizi shule wanazojifunza kwa kutumia kiingereza huwa hamna viboko? Inamaana ukiwa unajifunza kwa kiingereza unaweza kwenda bila viboko? Nidhamu ya wanafunzi wanaosoma hizi shule ikoje?
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Waandishi wa Gazeti la Observer ni kina nani, wanaandika broken English

    Kwa kweli hii ni aibu kubwa kama wasomi tunaabishwa sana. Nani mwandishi na mhariri wa gazeti hili? To meet with stakeholder....stakeholders to reveals reasons....we are recognize national unity. Hii ni lugha gani wakuu. Naona ni lugha inayofanana na Kingereza lakini sio chenyewe
  9. TheDreamer Thebeliever

    Wajumbe tusaidiane mwenye connection ya kazi au internship ya ualimu wa English na Kiswahili

    Habari wadau..!! Mambo yamekuwa magumu maana wife anatafuta nafasi ya internship au kazi ya kufundisha masomo ya lugha kwa DsM. Mwenye connection ya kibabe tuyajenge ,maana mjini hapa kama hauna connection hata kwenye msiba unaweza usile. Nawaombeni wadau tusaidiane kwenye hili jamani,maana...
  10. Nyaru-sare

    Non Grammatical English speakers forum unamwaga vyovyote unavo jisikia kuhusu Lugha ya kiingereza hata kama utachanganya

    Sema chochote unavo jisikia kuhusu usanifu wa lugha ya kiingereza
  11. mugah di matheo

    Simba sc English on Twitter kweli hii ni next level

    Kwanzia Leo taarifa rasmi za simba sc za lugha ya kingereza zitatoka kupitia official page yao ya lugha hiyo itakayo julikana kama "Simba sc English" Utopolo mpooooo? Mambo ya Barbara Gonzalez hayo endeleeni kumsubiri senzo aige Hii ni next level iga ufe
  12. Jamii Opportunities

    Maasai to English Transcribers at Savannas Forever Tanzania (SFTZ)

    Overview Savannas Forever Tanzania (SFTZ) based in Arusha, is a registered Tanzanian research and communication NGO launched in 2006. SFTZ uses research to measure the impacts of development projects and leverages that information to build learning networks that connect rural communities and...
  13. Da'Vinci

    ENGLISH TUTORIAL: Jifunze aina za sentensi na jinsi ya kuziunda kwa lugha ya kingereza

    ENGLISH TUTORIAL Mate, tatizo la kuelewa kuandika na kuongea na lugha ya kingereza ni suala mtumbuka. Wengi wetu hasa tuliopita shule za uswahilini bado lugha yetu haipo sawa. Hivyo basi ningependa kushea nanyi module hii japo kwa uchache. Nitazungumzia zaidi upande wa sentesi. NB. Ili...
  14. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

    Leo, Septemba 9, 2020 - mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Ndg. Tundu A. Lissu anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari. Haya ni baadhi ya aliyoyasema: ====== Waandishi mmekuwa mnogopa kuni-cover, nikizungumza mna switch off. Hofu! > Nazungumza na Vyombo vya Habari vya nje ya nchi kila...
  15. Sabryna

    Natafuta kazi kwenye supermarket, duka la nguo, vipodozi, usafi wa maofisini

    Naitwa Sabrina Nina miaka 22, Naishi Dar, Ukonga. Elimu yangu kidato cha 4 Naongea English na Kiswahili, Natafuta kazi ya duka la nguo, vipodozi, supermarket au usafi wa maofisini.
  16. F

    Wizara ya Elimu izibadilishe shule za msingi za Serikali ziwe English Medium. Soko kubwa sana, Serikali ipate hela ya ada yanayovunwa na watu binafsi

    Habari wadau Naona kuna soko kubwa sana la wazazi wanaopenda watoto wao wasome English Medium. Nawashauri Serikali, kila wilaya nchii hii wawe na shule za msingi za Serikali za English Medium kama Olimpio na Diamond. Wazazi watashukuru sana na sana. Hizo pesa ambazo shule binafsi wanazivuna ni...
  17. H

    Naomba jinsi ya kupata series with English subtittle

    Natumia smartphone naombeni namna ya kudownload series yangu with English subtitle anayejua atoe maelezo yakutosheleza please
  18. E

    Ask me anything about English/Swahili

    Ask me anything about English or Swahili. I am a holder of a Bachelor Degree of Education i Languages & Management fro Mzumbe. Karibuni tujifunze Kiswahili Au English
  19. LIKUD

    COVID-19 na anguko la Shule za English Medium

    Naliona anguko la shule za English Medium Tanzania. Naona wazazi wengi wakiwatoa watoto wao kwenye shule za English Medium na kuwapeleka kwenye shule za kayumba. Sababu? Sababu ni zile zile 1. Uhaba wa fedha: Wazazi wengi wataishiwa fedha na hivyo kushindwa kumudu gharama za kuwasomesha...
  20. RoadLofa

    Wajinga huchanganya english na IQ

    Huwa na shangaa sana napokutana na watu wakimsifia mtu anayeongea kiingereza na kumheshimu kisha kumdharau asiyejua kuongea hiyo lugha. Wanashindwa kuelewa kwamba kiingereza ni lugha tu kama lugha nyingine japo ni international language kama kiswahili tu africa mashariki. Kwa utafiti wangu...
Back
Top Bottom