ethiopia

  1. Analogia Malenga

    Mzozo wa Tigray Ethiopia: Waziri mkuu aamuru mashambulio dhidi ya mji wa Mekele

    Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amesema ameanzisha "awamu ya mwisho" ya operesheni ya kijeshi katika jimbo la Tigray kwanza kushambulia mji mkuu wa jimbo hilo, Mekelle. Amesema wanajeshi watajaribu wasiwajeruhi raia na wito kwa watu katika mji huo kusalia majumbani mwao. Hatua hilo inajiri...
  2. Analogia Malenga

    Waziri Mkuu wa Ethiopia ataka Jumuiya ya Kimataifa isiingilie mzozo wa Tigray

    Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ameiambia jumuiya ya kimataifa isiingilie mzozo wa jimbo la Tigray, katika kipindi hiki ambacho muda wa mwisho wa masaa 72 aliowapa waasi katika jimbo hilo wajisalimishe ukifikia ukingoni. Katika taarifa yake kiongozi huyo amesema Ethiopia kama taifa huru lina...
  3. Barbarosa

    Wa Tigray Ethiopia wana kila haki ya kujitenga, ni kama Catalonia, White People wa South Africa

    Watu wa Tigray Ethiopia ni 6 % ya Waethiopia wote zaidi ya milioni 80, Lakini ndiyo wanaoIOngoza Ethiopia kwenye kila sekta, Uchumi wote wa Ethiopia uko chini ya Watu wa Jamii ya Tigray , hii economic miracle ya Ethiopia tunayooishuhudia ni sababu ya Tigray people Kiongozi Meles Zenawi...
  4. Webabu

    Ushindi wa Ethiopia jimbo la Tigray uko wazi

    Yawezekana madai ya jimbo la Tigray nchini Ethiopia chini ya chama kikongwe cha uasi cha TPLF yakawa na mantiki katika kile wanachokitetea, hata hivyo hawana nguvu ya kupigana na serikali kuu ya Ethiopia chini ya waziri wake mkuu Abiy Ahmed. Tigray ni jimbo la kaskazini magharibi ya Ethiopia...
  5. kmbwembwe

    Kama huelewi ubaya wa Majimbo ya Lissu, angalia kinachoendelea Ethiopia

    Kwa wale wa CHADEMA iliyokataliwa na Watanzania nawashauri wafuatilie kinachoendelea Ethiopia. Sera za majimbo alizokua anazipigia chapuo Lissu ndio hizo huko Ethiopia zimesababisha serikali ya Taifa Addis Ababa kuingia vitani na Serikali ya jimbo lake la Tigray. Jimbo lina Rais lina Bunge lina...
  6. saadeque

    Ethiopia dispatches Deputy Prime Minister to brief President Kenyatta over Tigray law enforcement

    Ethiopia's Deputy Prime Minister Demeke Mekonnen/SBC/File NAIROBI, Kenya Nov 16 – Ethiopia’s Deputy Prime Minister Demeke Mekonnen was due in Kenya on Monday to brief President Uhuru Kenyatta on the law enforcement operation in the northern Tigray region. Diplomatic sources told Capital FM...
  7. Red Giant

    Ethiopia inaenda kuvunjika kama Yugoslavia

    Yugoslavia ilivunjika na kutoa Mataifa kutokana na makabila, naona Ethiopia ikienda mlengo huo. Ethiopia ina makabila makuu manne. Oromo ndiyo kubwa kama 35 asilimia wanafuata Amhara asilimia 30, Tigray asilimia 6 na wasomali asilimia 6. Hawa wengi wanaishi kwenye majimbo yao ambayo yana Rais...
  8. Miss Zomboko

    Watu 34 wameripotiwa kupoteza maisha kufuatia shambulizi la silaha lililotekelezwa kwenye basi la abiria nchini Ethiopia

    Shirika la kujitegemea la utetezi wa haki za kibinadamu nchini Ethiopia, lilitoa maelezo kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter na kuarifu kutekelezwa kwa shambulizi la silaha kwenye basi la abiria mkoani Benishangul-Gumuz na kusababisha vifo vya watu 34. Maelezo hayo pia yalibainisha taarifa za...
  9. Miss Zomboko

    Yoweri Museveni atasimamia mazungumzo ya kuleta amani Ethiopia kuanzia leo

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni atasimamia mazungumzo ya kuleta amani nchini Ethiopia kati ya serikali na maafisa wa eneo la Tigray. Kulingana shirika la habari la AFP, maafisa wa serikali ya Ethiopia wasiotaka kutajwa wamesema kwamba mazungumzo hayo yamepangwa kuanza Jumatatu, kaskazini mwa...
  10. Miss Zomboko

    Sudan yafunga mpaka wake na Ethiopia kutokana na mapigano yanayoendelea Tigray

    Sudan imeamua kufunga mpaka wake na Ethiopia baada ya mvutano kati ya serikali ya shirikisho na utawala wa mkoa wa Tigray. Kulingana na shirika rasmi la habari la Sudan, Fethurrahman al-Emin, gavana wa jimbo la Kesele kwenye mpaka wa Eritrea na Ethiopia, amesema kwamba baada ya mapigano huko...
  11. Sam Gidori

    Ethiopia yatangaza hali ya hatari katika jimbo la Kaskazini la Tigaray

    Serikali ya Ethiopia imetangaza hali ya hatari katika jimbo la Kaskazini la Tigaray baada ya Waziri Mkuu wa taifa hilo, Abiy Ahmed kulaumu Serikali ya majimbo inayoongozwa na upinzani kushambulia vikosi vya Jeshi vya serikali. Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu inasema kuwa matukio ya vurugu...
  12. Tz boy 4tino

    “Bwawa la Ethiopia litalipuliwa”Donald Trump

    Donald Trump awaonya Ethiopia bwawa la nchi hiyo litalipuliwa na Misri, akizungumza na Waziri Mkuu wa Sudan , Trump amekaririwa akisema Misri italipuwa bwawa hilo kutokana na Ethiopia kukataa ushauri wake pindi alipokuwa msuluhishaji wa mgogoro huo
  13. Tony254

    Kenya vs Ethiopia, Kenya vs Tanzania

    Kenya vs Ethiopia Kenya vs Tanzania Ethiopia sio mchezo, lakini TZ tunakanyaga kama kawaida.
  14. S

    Jiulize; Ethiopia wana Dreamliner zaidi ya 20, SGR, barabara nzuri, flyover nyingi, lakini bado watu wake wanafia kwenye malori wakizamia Bondeni!

    Ni afadhali CCM wameamua kukaa kimya kuhusu kujisifia kwamba wameleta maendeleo nchini sijui wamenunua Dreamliner mbili, wamejenga flyover Tazara na nyingine Ubngo kwa hiyo wameleta maendeleo Tanzania, na hiyo iwe sababu ya kuwachagua tena. Maendeleo kwa ajili ya nani? Bibi yangu kule kwetu...
  15. MK254

    Ethiopia yajiandaa kutupia chombo angani kwa mara ya pili - huyu ndiye jirani

    Hadi hapo ni mataifa machache Afrika yaliyofaulu kutupia satellite, Kenya kama kawaida ikiwemo, Ethiopia wanajiandaa kutupia chombo cha pili, huyu jirani anayejitahidi sana sio mzembe mzembe..... ----------------------------------- Ethiopia is in the final stages of launching its second...
  16. Tony254

    Ethiopia sasa ni nchi ya pili Afrika kwa ku-export maua. Kenya bado ni ya kwanza

    Watanzania fulani humu hupenda kusema kuwa Tanzania inaexport maua kwa wingi kushinda Kenya. Ukweli usiopingika ni kuwa Kenya ni ya kwanza Afrika kwa wingi wa kuexport maua. Kumbe hata nchi kame kama Ethiopia pia inaexport maua kwa wingi kushinda walazy wa kusini? Wabongo tusiwahi bishana tena...
  17. Analogia Malenga

    Ethiopia kutoa bure maelfu ya mikate kwa wakazi wa Addis Ababa

    Mamlaka katika Mji Mkuu wa Addis Ababa,Ethiopia unapanga kutoa bure maelfu ya mikate kwa wakazi kama sehemu ya sherehe za kuadhimisha mwaka mpya wa Ethiopia 2013. Ruzuku hiyo ya siku moja itakayotolewa Jumatatu ya tarehe saba Septemba, itakuwa mwanzo wa siku tano za sherehe za kuadhimisha mwezi...
  18. IAfrika

    Vita vya GDP Afrika Mashariki ni Kati ya Kenya, Ethiopia na Tanzania tangu 1980. Nafasi ya kwanza inaeza nyakuliwa na nchi hizi tatu

    Mabadiliko haya ya kiuchumi yakitazamwa na mabadiliko ya kihistoria na uongozi yanaweza kutuonyesha ni kitu gani kinaweza kusababisha uchumi kuimarika au kusambaratika.
  19. Infantry Soldier

    1981 Israel Raid on the Reactor: Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa la umeme huko Ethiopia?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa kubwa la kuzalishia umeme...
  20. kavulata

    Tanzania iwe upande gani Kama Ethiopia na Misri zinapigania maji ya mto Nile?

    Ethiopia Ni chanzo kikuu Cha maji ya mto Nile, pamoja na Uganda na Tanzania kwa kiasi fulani. Misri na Sudan Ni nchi ambazo zinategemea maji ya mto Nile kwa kunywa, matumizi ya nyumbani, kilimo, ufugaji na viwanda. Vita kamili inanukia Kati ya Ethiopia na Misri kupigana kwaajili ya matuzi ya...
Back
Top Bottom