ethiopia

  1. beth

    Ethiopia yafunga Ubalozi wake Nchini Algeria

    Serikali ya Ethiopia imefunga Ubalozi wake uliopo Algiers Nchini Algeria, ikiwa ni hatua ya kupunguza gharama za majukumu yake ya Sera za Kigeni Ubalozi wa Ethiopia Nchini humo umesema uamuzi uliochukuliwa unaweza kubadilika siku za usoni ikiwa hali ya Uchumi ambayo pia imeathiriwa na janga la...
  2. beth

    Tigray yaituhumu AU kwa upendeleo katika mzozo wa Ethiopia

    Vikosi vya waasi kutoka mkoa uliokumbwa na vita kaskazini mwa Ethiopia wa Tigray, vimeushutumu Umoja wa Afrika kwa upendeleo, siku chache baada ya Jumuiya hiyo kumteua rais wa zamani wa Nigeria, Olusegun Obasanjo, kuwa mpatanishi katika mzozo huo. Msemaji katika chama cha ukombozi wa watu wa...
  3. Opportunity Cost

    Egypt imeigeukia kubembeleza Congo DRC Baada ya Ethiopia Kudinda kuhusu Bwawa la Umeme

    Habari zenu. Baada ya mwanaume Ethiopia kupuuza vitisho na mikwara ya mbu nje ya net iliyokuwa ikitolewa na Egypt kwa Ethiopia Kuhusu kujaza maji kwenye Bwawa la Umeme,jamaa sasa wameamua kuiangukia Congo DRC. Egypt sasa inapanga kutumia mabilioni ya dola kuwalipa wakongo Ili ijenge channel ya...
  4. beth

    Serikali ya Ethiopia yalaumiwa kwa hali mbaya ya Tigray

    Wakati Ethiopia ikiwalaumu Waasi kwa hali inayoendelea Tigray, Waasi hao wamesema vizuizi vilivyowekwa na Serikali ndiyo sababu ya hali mbaya ya eneo hilo wakisisitiza Jamii za Kimataifa kukwama kuchukulia hatua dhidi ya Waziri Mkuu kumeongeza tatizo Wamesema Mfumo wa Huduma za Afya umeharibiwa...
  5. kmbwembwe

    Wale wenye sera ya Majimbo waangalie Ethiopia

    Kuna chama nchini kimekua kikitumiwa kugawa Watanzania kijiografia na kitabaka. Nasema kinatumiwa kwa sababu umoja wa watanzania umekua kikwazo kikubwa kwa wale wenye nia ya kuligawa taifa kwa mizozo ili wamiliki kirasi uchumi wake. Nchi kama Ethiopia imehangaika miaka mingi kujenga uzalendo wa...
  6. Environmental Security

    Somo kutoka Ethiopia: taifa vitani mbioni kugawanyika, kisa kiongozi kukataa ushauri

    Watsup comrades, Taifa la Ethiopia mbioni kugawanyika kama hali iliyopo isipodhibitiwa kwa hekima na busara sio miguvu tena. Vita ni kati ya majeshi ya serikali ya shirikisho ya Ethiopia chini ya waziri mkuu Abiy Ahmed na vikosi vya chama cha TPLF - Tigray People Liberation Front, katika jimbo...
  7. Mr. MTUI

    Kwanini vita vya Ethiopia dhidi ya TPLF vimekuwa mwiba mchungu

    Hivi karibuni Waziri Mkuu wa Ethiopia amewaomba wananchi waungane na wale wenye uwezo wajiunge na majeshi ya Ethiopia ili kupambana na waasi wa TPLF. Hii imetokea baada ya kuonekana kuzidiwa kwa jeshi la Ethiopia kwenye mapambano dhidi ya wahasimu wao wa TPLF. Vita hii mwanzoni ilionekaba...
  8. idoyo

    Jinsi China "ilivyoangukia pua" mbele ya Marekani huko Ethiopia

    .
  9. beth

    Waziri Mkuu wa Ethiopia ahakikishiwa kubaki madarakani baada ya Chama chake kushinda Uchaguzi

    Prosperity Party imeshinda Uchaguzi kwa kupata viti 410 kati ya 436, hatua ambayo inamhakikishia Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abiy Ahmed miaka mingine mitano madarakani Uchaguzi huo haukufanyika Jimbo la Tigray ambapo maelfu ya watu wanakabiliwa na uhaba wa Chakula. Raia wengine hawakupiga kura...
  10. Tony254

    Ethiopia will not close Kenyan Embassy

    NAIROBI, Kenya July 6 – Ethiopia is set to close more than 30 embassies across the world, but Kenya will not be affected. Sources told Capital FM on Tuesday that it is true more than 30 embassies will be closed. ”It is true, but the Ethiopian embassy in Kenya will not be closed,” a source...
  11. beth

    Ethiopia: Waasi wa Tigray wakubali kusitisha mapigano kwa masharti

    Chama cha ukombozi wa Tigray TPLF kimeitaka serikali kuu ya Ethiopia iwaondoe wanajeshi kutoka kwenye jimbo la Amhara pamoja na wanajeshi wa nchi jirani ya Eritrea ikiwa ni masharti kabla ya wao kushiriki kwenye mazungumzo yoyote na serikali kuu kuhusu kusitisha mapigano. Chama cha (TPLF)...
  12. M

    Maelfu ya mateka ya majeshi ya Ethiopia yalitekwa na Tigray Defense forces yafikishwa mji mkuu wa Tigray

    Inakuwaje WanaJF! Tigray defense forces ni nouma. Serikali ya Ethiopia inaminya uhuru wa habari kuficha kinachoendelea Tigray lakini mkong'oto wanaoupokea huko ni wa Hatari. Hii imetokea jana. Hao ni washenajeshi wa Ethiopia walioshikwa mateka wakiwa paraded Mekelle mji mkuu wa Tigray...
  13. beth

    Ethiopia: Serikali yatoa wito kwa waasi wa Tigray kukubali kumalizika mapigano

    Serikali ya Ethiopia imewataka waasi wa Tigray kuunga mkono usitishaji mapigano huku ikielezwa Mashirika ya Misaada yanapata changamoto kuwafikia maelfu ya watu wanaokabiliwa na njaa. Mamlaka zimesema ili mapigano kusitishwa kikamilifu pande zote mbili zinahitajika hivyo upande wa Tigray...
  14. Analogia Malenga

    Waziri mkuu wa Ethiopia athibitisha kuondoka kwa wanajeshi wake, Mekelle

    Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amekiri kwamba wanajeshi wa serikali yake wameondoka katika mji mkuu wa jimbo la Tigray, Mekelle baada ya miezi kadhaa ya mapigano. Kiongozi huyo amesema hatua hiyo ni kutokana na kuwa wameondoka na kuwa mji huo haukuwa tena kiini mizozo. Afisa mwingine wa...
  15. Analogia Malenga

    Waasi wa Tigray wapuuza usitishaji wa vita wa Ethiopia

    Viongozi TPLF katika jimbo la Tigray wamepuuza tangazo la kusitisha vita lililotolewa na serikali kuu mjini Addis Ababa jana, na wameapa kuendeleza mapambano hadi pale watakawafurusha kikamilifu wanajeshi wa Ethiopia. Wanajeshi wa Ethiopia wakipiga doria katika mji wa Mekele (07.03.2021)...
  16. L

    Mtazamo wa vijana wa Afrika kuhusu China waendelea kuboreka

    Elias Gebreselassie alilelewa Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, na kama wenzake, amekuwa na fikra kuwa kwamba majengo marefu, maduka makubwa na barabara kuu zinaweza kuwa maonyesho tu katika sinema za Hollywood. Lakini katika kipindi cha muongo mmoja uliopita Gebreselassie amejionea kwa hakika...
  17. Kafrican

    Baada ya Kuingia Ethiopia, Angola waisihi SAFARICOM Ikawekeze huko.

    Yani bila hata kufanyiwa open international tender angalau Safaricom ijifanye inashindana na kampuni nyingine za kimataifa, serekali ya Angola imeketi chini na kuamua hakuna mwengine ambae ako na product kama M-PESA kwahivyo afadhali watumie diplomasia kuialika Safaricom ikaanzisha huduma hio...
  18. Sam Gidori

    Ethiopia inafanya Uchaguzi Mkuu leo licha ya maandalizi duni

    Ethiopia inafanya Uchaguzi Mkuu hii leo baada ya kuahirishwa mara mbili kutokana na mlipuko wa virusi vya corona na kutoa nafasi ya kukamilisha maandalizi. Huu ni uchaguzi wa kwanza unaompa changamoto Waziri Mkuu na mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, Abiy Ahmed aliyeingia madarakani mwaka 2018...
  19. MK254

    Uhuru in Ethiopia to witness award of telecom licence to Safaricom

    Kenya's President Uhuru Kenyatta has arrived in the Ethiopian capital Addis Ababa for an official visit on Tuesday that will include, among other bilateral issues, the formal award of a telecom operating licence to a consortium led by Safaricom. The official award of the licence will also...
  20. beth

    Marekani yaweka vizuizi dhidi ya Ethiopia na Eritrea

    Marekani imetangaza vizuizi vya Visa dhidi ya Maafisa wa Ethiopia na Eritrea wanaoshukiwa kwa vita katika Mkoa wa Tigray, ikisema waliohusika hawakuchukua hatua stahiki kumaliza uhasama. Maelfu waliuawa na wengine kulazimika kukimbia makazi yao tangu Novemba baada ya Waziri Mkuu, Abiy Ahmed...
Back
Top Bottom