ethiopia

  1. beth

    Ujerumani, Ufaransa zawataka raia wake kuondoka Ethiopia

    Mataifa kadhaa yametoa wito kwa Raia wake kuondoka Nchini Ethiopia kutokana na mvutano kati ya Vikosi vya Serikali na vile vya Tigray kuonekana unashika kasi. Ufaransa imewataka Raia wake kuondoka mara moja bila kuchelewa. Ujerumani nayo imetoa wito kwa Wananchi wake kuondoka Ethiopia. Marekani...
  2. beth

    Ethiopia: Waziri Mkuu atangaza kuongoza Vikosi katika mapigano

    Wakati vita ya mwaka mzima kati ya Serikali ya Ethiopia na Vikosi vya TPLF ikikaribia Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Addis Ababa, Waziri Mkuu Abiy Ahmed amesema ataongoza Vikosi vya Usalama. TPLF imeunda Muungano na vikundi vingine vya waasi ikiwemo Jeshi la Ukombozi la Oromo (OLA) kukabiliana na...
  3. Kasomi

    Fahamu machache kuhusu Ethiopia

    IJUE NCHI YA ETHIOPIA Ethiopia ni nchi ya pembe ya afrika, ambayo imepakana na Eritrea na Djibouti kwa upande wa Kaskazini, Somaliland kwa upande wa Kaskazini mashariki, na imepakana na Somalia kwa upande wa mashariki, imepakana na Kenya kwa upande wa kusini, imepakana na sudani kusini kwa...
  4. beth

    UN: Takriban watu 1,000 wanashikiliwa Nchini Ethiopia

    Umoja wa Mataifa (UN) umesema takriban watu 1,000 (wengi kutoka Tigray) wanashikiliwa katika Miji mbalimbali Nchini humo tangu Hali ya Dharura ilipotangazwa Novemba 02, 2021 Maelfu wamefariki dunia na zaidi ya watu milioni mbili wamelazimika kukimbia makazi yao kutokana na mzozo kati ya Mamlaka...
  5. T

    Ghana, Tanzania, Ethiopia and 30 others are on the World Bank's heavily indebted poor countries' list

    The heavily indebted poor countries' list is a joint initiative by the World Bank and the International Monetary Fund. The aim of the initiative is to ensure that no poor country in the world ever faces a debt burden it cannot manage. Out of 36 countries on the list, African countries dominate...
  6. nasrimgambo

    Mgogoro wa Ethiopia unadhihirisha umadhubuti wa mfumo wetu wa mikoa dhidi ya ule mfumo wa majimbo

    Habari wanajamvi, Kama ilivyo kawaida, kufanya tafakuri ya mambo yale mtu anayoyasikia maredioni na magazetini kuhusu yanayoendelea kwenye siasa za nchi mbalimbali. basi nami nimejikuta nikiyatafakari sana yale yanayoendelea huko Ethiopia na vita vyao vya serikali ya kitaifa na wanamgambo wa...
  7. Miss Zomboko

    Kiongozi wa waasi asema wako karibu kuchukua ushindi, Ethiopia

    Kiongozi wa waasi anayepambana na wapiganaji wa serikali, amesema vikosi vyake vipo karibu na mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, na vinatayarisha mashambulizi mengine, akitabiri kwamba mapigano yatamalizika hivi karibuni huku wanadiplomasia wakiendelea na majadiliano ya kujaribu kusitisha...
  8. M

    Hali ya maisha Ethiopia Inasikitisha sana, vibaka wanavamia nyumba za watu kuiba chakula

    Mzuka wanajamvi! Wa Ethiopia wengi walioko nje Diaspora wanapitia wakati mgumu sana kwasababu ya ndugu zao nyumbani wanayopitia. Sasa hivi wengi hawajui kama ndugu zao wako hai au wamekufa. Simu zao hazipatikani wala kwenye mitandao ya jamii hawaonekani. Hali imekuwa ya sintomfaham sasa hivi...
  9. beth

    Hali yazidi kuwa tete Ethiopia, Marekani yawataka raia wake kuondoka

    Jeshi la Nchi hiyo limewataka Wanajeshi wa zamani kujiunga nao wakati linapambana na Waasi. Wito huo unakuja baada ya Vikosi vinavyoongozwa na TPLF kuendeleza nia ya kwenda Mji Mkuu, Addis Ababa Hali inayoendelea Ethiopia imepelekea Marekani kutoa tahadhari kwa Raia wake kuondoka mapema...
  10. Analogia Malenga

    Makundi 9 ya wapiganaji yaungana dhidi serikali ya Ethiopia

    Makundi 9 yanayopiga vita serikali ya Ethiopia, yametangaza kuunda muungano hii leo ili kulazimisha mabadiliko ya kisiasa nchini humo. Hatua hiyo inaongeza shinkizo dhidi ya Waziri mkuu Abiy Ahmed, wakati makundi ya wapiganaji yakiendelea kukaribia mji mkuu wa Addis Ababa. Makundi kadhaa...
  11. beth

    Ethiopia: Facebook yafuta ujumbe wa Waziri Mkuu uliowataka wananchi "kuwazika" TPLF

    Mtandao wa Kijamii wa Facebook umefuta Ujumbe wa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed uliowahimiza Wananchi kujipanga na kuandamana kwa njia isiyovunja Sheria wakiwa na silaha ili kuzuia Waasi wa TPLF Facebook imesema imeondoa Ujumbe huo kwasababu unakiuka Sera yake kuhusu kuchochea ghasia. TPLF...
  12. M

    Ethiopia: Waziri Mkuu Abiy Ahmed atangaza hali ya dharura nchini kote

    Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametangaza Hali ya hatari nchini kote Ethiopia, hii ni baada ya wapiganaji wa Jimbo la Tigray wa TPLF kuteka miji miwili ya Dessie na Kombolcha iliyoko Katika Jimbo jirani la Ahmara. Waasi hao wa Kaskazini mwa Ethiopia ambao wamekuwa wakipigana na vikosi vya...
  13. beth

    Umoja wa Mataifa waomba Ethiopia kuruhusu upelekaji misaada bila pingamizi

    Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres Jumatano ameitaka serikali ya Ethiopia kuruhusu utoaji wa haraka wa misaada ya kibinadamu kwa mamilioni ya watu kaskazini mwa nchi bila pingamizi. Hayo yanajiri wakati maafisa wa Umoja wa mataifa wakiripoti vifo kutokana na njaa. Wakati wa...
  14. beth

    Ethiopia: Waziri Mkuu, Abiy Ahmed aapishwa kwa muhula mwingine wa miaka 5

    Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abiy Ahmed ameapishwa kwa muhula mwingine wa miaka mitano. Miongoni mwa Wakuu wa Nchi waliohudhuria uapisho ni kutoka Nigeria, Senegal na Somalia Serikali ya Abiy ambaye alichaguliwa kuwa Waziri Mkuu kwa mara ya kwanza mwaka 2018 inakabiliwa na changamoto mbalimbali...
  15. jollyman91

    Katibu Mkuu wa UN: Nimeshtushwa na hatua ya Ethiopia kuwatimua maafisa wetu

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema ameshtushwa sana na kitendo cha serikali ya Ethiopia kuwafukuza maafisa wa umoja huo wanaohudumu nchini humo. Kupitia taarifa iliyotolewa leo na msemaji wake mjini New York, Guterres amesema, "nimeshtushwa na habari kwamba serikali ya...
  16. Analogia Malenga

    Shinikizo laongezeka dhidi ya serikali ya Ethiopia kuhusu jimbo la Tigray

    Marekani yasema itaiwekea vikwazo Ethiopia baada ya serikali ya nchi hiyo kuwafukuza maafisa saba wa mashirika ya kutoa misaada ya Umoja wa Mataifa ambao wanadaiwa kujihusisha na maswala ya ndani ya nchi hiyo. Wizara ya mambo ya nje ya Ethiopia imewapa maafisa saba wa Umoja wa Mataifa muda...
  17. beth

    Ethiopia: Waasi wa TPLF watuhumiwa kuharibu maelfu ya vituo vya Afya

    Serikali Nchini humo imesema Waasi wa TPLF wameharibu maelfu ya Vituo vya Afya eneo la Kaskazini mwa Nchi hiyona kupelekea watu zaidi ya Milioni 1.9 katika Mikoa ya Amhara na Afar kukosa huduma. Waziri wa Afya, Lia Tadesse amesema Waasi wameharibu Hospitali 20 na Vituo vya Afya vipatavyo 277...
  18. Miss Zomboko

    Mtanzania mmoja akamatwa kwa kusafirisha wahamiaji 16 wa Ethiopia

    Kamanda wa polisi wa mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei ametangaza kuwa polisi wamemkamata raia mmoja wa Tanzania akihusishwa na usafirishaji wa wahamiaji haramu 16 wa Ethiopia, na kuongeza kuwa mtuhumiwa huyo ni Yohana Adam, mkazi wa Kasumulu katika wilaya ya Kyela mkoani Mbeya. Matei amesema kuwa...
  19. Tz boy 4tino

    Tambua sababu kuu za vita ya Ethiopia

    Wakati Watu wengi wakiamini sababu kuu ya vita Ethiopia ni ukabila, Jambo hilo siyo kweli. Sababu kuu ya vita ya Ethiopia ni maslahi mapana ya mabeberu. Hii ni baada ya kutishika na msimamo wa Ethiopia haswa katika utekelezwaji wa miradi ya maendeleo. Je, ni vipi Ethiopia inatishia maslahi...
  20. beth

    Tigray, Ethiopia: Umoja wa Mataifa waonya hali kuwa mbaya zaidi

    Miezi kumi tangu kuanza kwa vita vya Tigray, Umoja wa Mataifa umeonya hali ya kibinadamu katika mkoa huo wa kaskazini mwa Ethiopia inaelekea kuwa mbaya zaidi, ukilaumu kile ulichokiita mzingiro wa misaada kwa hali hiyo. Mapigano yalizuka Novemba 2020 kati ya vikosi vya serikali ya shirikisho na...
Back
Top Bottom