Yugoslavia ilivunjika na kutoa Mataifa kutokana na makabila, naona Ethiopia ikienda mlengo huo.
Ethiopia ina makabila makuu manne.
Oromo ndiyo kubwa kama 35 asilimia wanafuata Amhara asilimia 30, Tigray asilimia 6 na wasomali asilimia 6.
Hawa wengi wanaishi kwenye majimbo yao ambayo yana Rais...