ethiopia

  1. JanguKamaJangu

    Ethiopia: Wahitimu 3% pekee ndio wamefaulu kwenda Chuo Kikuu

    Asilimia hiyo ni wastani wa wahitimu ambao wamepata alama nzuri zinazowawezesha kuendelea na masomo ya Chuo Kikuu. Waziri wa Elimu wa Ethiopia, Berhanu Nega amedai matokeo hayo ni ya kushtua, ambapo inaaminika migogoro na vita vya ndani ya Nchi ni moja ya sababu, huku Wanafunzi 12,000 ikidaiwa...
  2. BARD AI

    Ripoti AU: Vita ya Serikali ya Ethiopia na Tigray inaweza kuwa imeua watu 600,000

    Mpatanishi wa Umoja wa Afrika katika mzozo wa Tigray, #OlusegunObasanjo, ameliambia jarida la Financial Times (FT) kuwa idadi hiyo imetokea ndani ya miaka miwili ya mapigano. Mzozo ulianza Novemba 2020, baada ya Waziri Mkuu #AbiyAhmed kuamuru mashambulizi dhidi ya vikosi vya Tigray kwa maelezo...
  3. beth

    Athari zitokanazo na kuzima Mtandao zisipuuzwe. Biashara Nchini Ethiopia zapoteza Dola za Marekani Milioni 145.8

    Ripoti Mpya iliyochapishwa na Shirika la Top10VPN inasema kukosekana Mtandao huko Tigray, Ethiopia Mwaka 2022 kumezigharimu Biashara Nchini humo Dola za Marekani Milioni 145.8 Kuzuia Intaneti pamoja na kuweka vikwazo katika Upatikanaji wake huwaathiri Wananchi Kiuchumi, Kijamii na Kisiasa...
  4. Nyani Ngabu

    1957 High School Debate about Prejudice: Nigeria, Ethiopia, Ghana & South Africa

    I wasn’t sure where to file this under. So I just filed it under the most popular sub-forum of Politics. The JF powers that be can re-file it where it’s more appropriate, if they see fit. But damn! I’m impressed by these kids. Especially the Nigerian boy. He debated with so much aplomb that...
  5. BARD AI

    Ethiopia: Mahakama zaonywa kuwatisha Waandishi wa Habari za Uchunguzi

    Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Vyombo vya Habari vya Ethiopia (EMA) ambayo iko chini ya Serikali imetoa onyo kwa mamlaka nyingine ambazo zimekuwa zikiingilia uhuru wa Waandishi wa Habari wakiwemo wanaofanya Habari za Uchunguzi. Onyo hilo limetokana na malalamiko kutoka Kituo cha Televisheni...
  6. S

    Mazungumzo ya maridhiano duniani kote ni siri. Kuna mtu anafahamu kinachoongelewa kwenye maridhiano ya Eritrea na Ethiopia?

    Wale mnaopiga kelele kulalamikia usiri wa mazungumzo ya maridhiano kati ya Mbowe na Kinana tuambieni. Ni wapi ulishawahi kuona umma ukitaarifiwa kinachozungumzwa kwenye meza ya maridhiano? Taarifa hutolewa mwishoni kile walichoafikiana mezani. Uhuru anaongoza mazungumzo kati ya Eritrea na...
  7. BARD AI

    Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande kuongoza Tume ya Kuchunguza Ukiukaji wa Haki za Binadamu Ethiopia

    Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohamed Chande Othman atakuwa Mwenyekiti wa Tume ya Wataalamu wa Haki za Kibinadamu nchini Ethiopia ambayo itafanya kazi chini ya Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa. Tume hiyo ya Watu 3 imepewa Mamlaka ya kuchunguza madai ya Ukiukaji wa Haki za...
  8. JanguKamaJangu

    Ethiopia: Meta yadaiwa fidia ya Tsh. Trilioni 4.6 kwa kuchochea mapigano

    Kampuni hiyo inayomiliki mtandao wa Facebook wanadaiwa kuwa majukwaa yao yalichangia kuongeza chuki na vurugu wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Abrham Meareg, mtoto wa mwanazuoni aliyeuawa kwa kupigwa risasi baada ya kushambuliwa mtandaoni kutokana na alichokiweka kwenye ukurasa wake wa...
  9. kavulata

    Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

    Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
  10. JanguKamaJangu

    Ethiopia: Wafanyakazi wa kiwanda cha Dangote watekwa

    Waasi ambao inadaiwa wana uhusiano na kikundi cha Oromo Liberation Army wamelaumiwa kwa kuhusika katika tukio hilo la utekaji wa wafanyakazi zaidi ya 10 wa kiwanda cha simenti kinachomilikiwa na Bilionea wa Nigeria, Aliko Dangote. Inadaiwa basi lililokuwa limebeba wafanyakazi hao Wilaya ya...
  11. JanguKamaJangu

    Ethiopia yaanza kuuza umeme kwa Kenya

    Ethiopia imeeleza kuwa inatarajiwa kuingiza Dola Milioni 100 (Tsh. Bilioni 232) kwa mwaka kutokana na biashara hiyo, tamko lililotolewa wiki moja baada ya kusaini mkataba huo wa kuuza umeme kwa muda wa miaka 25 ijayo. Mkataba huo utaifanya Ethiopia kuuza Megawatts 600 kwa Kenya kutoka katika...
  12. Replica

    Kumbe bwawa la Nyerere yalikuwa maono, Kenya yafunga mkataba wa miaka 25 kununua umeme wa bwawani kutoka Ethiopia

    Ethiopia imeanza kuzalisha umeme kutoka kwenye bwawa kubwa zaidi la kuzalisha umeme barani Afrika maarufu kama 'Grand Ethiopian Renaissance Dam (Gerd)' likitarajiwa kuzalisha megawatts 5000 ambayo ni mara mbili ya umeme uliokuwa unazalishwa Ethiopia kabla ya bwawa hilo. Kenya wamewahi kwa...
  13. Lord denning

    Wakati hadi Ethiopia wanafanikiwa kupanda miti bilion 20 kwa miaka 4 sie huku tunaendekeza tu wafugaji kukata miti

    Maisha ni mipango. Na kila aliyefanikiwa leo ujue alipanga na kutekeleza mipango yake vizuri siku nyingi nyuma Leo Ethiopia wametangaza kutimiza malengo yao waliyojiwekea mwaka 2019 kupanda miti billion 20 ifikapo mwaka 2022 Kati ya nchi ambazo sasa zimekuwa na hali nzuri ya hewa iliyoanza...
  14. Pfizer

    Jakaya Kikwete, Mjumbe wa Shirika la Kimataifa linalojihusisha na Masuala ya Lishe, yupo Ethiopia

    Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, Mjumbe wa Bodi ya Nutrition International (Shirika la Kimataifa linalojihusisha na Masuala ya Lishe) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Bw. Joel Spicer pamoja na Wajumbe wengine wa Bodi kutoka Afrika; Mheshimiwa Joyce Banda Rais Mstaafu...
  15. JanguKamaJangu

    Malawi yabaini kaburi walipozikwa watu 25 ya raia wa Ethiopia

    Mamlaka za Malawi zimeeleza miili hiyo inakisiwa kuwa ni wahamiaji haramu kutoka Ethiopia ambao wamezikwa katika Kijiji cha Mzimba kilichopo kilometa 250 kutoka Mji Mkuu wa Lilongwe. Polisi wamesema inaaminika walikuwa wakisafirishwa kuelekea Afrika Kusini kupitia Malawi, waliofariki...
  16. MK254

    Ruto in Ethiopia for Safaricom launch as he begins regional tour

    Ethiopia Thursday morning on his first tour of the region since taking office. President Ruto is also set to travel to Uganda and Tanzania. The agenda for the regional tour includes talks on business and political ties, according to a dispatch from State House. On his arrival in Addis Ababa...
  17. Q

    Mwakilishi pekee kutoka Afrika aliyekataa kupanda basi ni Rais Sahile Work Zewde wa Ethiopia

    The only African representative who refused to be packed in a bus was the President Sahile Work Zewde of Ethiopia 🇪🇹. She was asked to go by the bus. She said "I won't go like this, I need the same level of respect as others. This has many implication. I have my own Embassy's cars for the...
  18. Sildenafil Citrate

    TPLF:Eritrea yaanza mashambulizi makubwa katika eneo la Tigray nchini Ethiopia

    Wanajeshi wa Eritrea wamefanya mashambulizi makubwa katika eneo la Tigray nchini Ethiopia, msemaji wa kundi la waasi la Tigrayan, TPLF, amesema. Mjumbe wa Marekani alisema kuwa Marekani inafahamu kuhusu wanajeshi wa Eritrea kuvuka kuingia Tigray, na akalaani kitendo hicho. Serikali ya Eritrea...
  19. Lady Whistledown

    Ripoti mpya ya UN yaishutumu Serikali ya Ethiopia kwa Ukatili dhidi ya Watu wa Tigray

    Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wanasema wanaamini kuwa Serikali ya #Ethiopia inahusika na uhalifu dhidi ya binadamu unaoendelea katika eneo la #Tigray, Kaskazini Mwa Nchi hiyo Katika Ripoti hiyo, Tume ya Wataalamu wa Haki za Kibinadamu iliangazia kile ilichokiita taarifa za kuaminika za mauaji...
  20. N

    Hili la Aloyce Nyanda kuanzisha mazungumzo ya mgogoro wa Ethiopia na Misri akiwa na balozi wa Ethiopia tu limekaaje kidiplomasia wadau?

    Habarini! Tusameheane kwa michango yetu inayotofautiana katika mada zingine, lakini sina jinsi lazima niendelee kuwepo jf....nalipenda mno hili jukwaa! Kwenye hoja; Ni huyu mngazaji wa star TV, aloyce nyanda, namuona leo akiwa na balozi (kama sikosei) wa Ethiopia katika kipindi chake...
Back
Top Bottom