facebook

  1. Need assistance: SUSPENDED FACEBOOK ACCOUNT

    Anyone here who can help me unsuspend my facebook account? Please inbox for arrangements
  2. Umewahi kujiuliza ni familia ngapi zinakula na kunywa kwa kipato kinachopatika Facebook, instagram,whatsapp?

    To be honest Kwa sisi wafanya -biashara tunabidi kumshukuru Sana Mungu na kumuombea maisha marefu mmiliki wa hii mitandao ,Facebook, Instagram na WhatsApp. Familia zetu zinakula na kunywa kupitia hii mitandao Tunauza bidhaa za mamilion , tunanunua bidhaa n.k God bless you makizigibagi.
  3. B

    Dj Facebook na kidensa mc nani mkali ???

    Habari zenu ndg zangu, hebu tupoteze mawazo kidogo hapa, Nataka kujua nyie wenzangu na mie dj Facebook na kidensa mc Nan mkali, 😁
  4. Kwa wazazi , mtoto wako mfungulie Account Facebook ,instagram , twitter akizaliwa tu.

    Mtoto wako akizaliwa mfungulie account za kijamii na uanze kuzikuza taratibu. Hii itamsaidia akikuwa Kwa sasa hivi soko la ajira na fursa zote limeshikiliwa na teknolojia . Ili kulinda privacy za mtoto usiweke au kupost picha yake bila sababu. Mfano mtoto wa diamond anaingiza pesa nyingi tu...
  5. INAUZWA Facebook page inauzwa(12k followers)

    KUNA PAGE HAPA SINA KAZI NAYO NIPENI HELA MPIGE PESA ZA ZUCK Kama unataka ukurasa ambao una watu wengi tayari basi huu hapa nipe hela umalize kwa kuweka video 2 pekee na ukidhi masharti Haina kipengele chochote sababu mimi nina kurasa zingine hivyo kuliko kubaki na kurasa nyingi hii nimeona...
  6. Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kutumia Social Media kama Instagram, X, na Facebook

    Katika dunia ya sasa, social media imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, na kwa wale wanaojua kuitumia vizuri, ni chanzo kizuri cha kipato. Hapa nitakuelezea njia rahisi na za uhakika za kupata pesa online kupitia majukwaa kama Instagram, X (zamani Twitter), na Facebook. 1. Kuanzisha...
  7. D

    Naomba mnisaidie link ya kudownload majina Facebook

    WAkuu habari zenu. Naimba msaada wa link ya kunisaidia kudownload facebook contact nimehangaika sana nimeshindwa kama kuna mtu ana link naimba msaada wakuu
  8. N

    Habibu Anga: Yericko Nyerere ameniibia makala zangu Facebook huyu dogo ni mweupe na hana Elimu yoyote kama kama ilivyo kwa Mbowe

    Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu. Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio...
  9. Tulia Ackson wewe ni kiongozi mkubwa sana wa Dunia punguza kuposti picha zako Facebook

    Jamani mimi sijui ni mshamba au ninamaarifa kidogo, huwa napata sana shida kuona kiongozi mkubwa kama Tulia Acksoni, Spika wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, na spika wa Dunia, mtu anae ongoza maspika wote wa Dunia hii. Najiuliza anapata wapi muda wa kujipost FaceBook. Wewe kama mwasheria...
  10. Natafuta mfadhili/mwajiri/partner tutakaeweza kuanzisha channel ya youtube/podcast sehemu yoyote tanzania

    Mimi ni kijana umri 26 Napatikana katika moja ya wilaya mkoani Dodoma, Natafuta mtu mwenye interest ya kuanzisha channel ya YouTube in any niche niko na uelewa na Algorithm ya YouTube inavyoenda nimekosa vifaa kutokana na hali ya maisha ninakotokea, Kama unamtaji na ulitamani siku moja kufahamu...
  11. Australia: Serikali kupiga marufuku watoto chini ya 18 kuwa na Insta, X, Facebook na Tiktok?

    Serikali ya Australia imeonyesha njia baada ya kupiga marufuku mtoto chini ya miaka 16 kuwa na akaunti ya. mitandao ya kijamii ili kulinda maadili. Nimezungumza na maelfu ya wazazi, babu na nyanya, shangazi na wajomba. Wao, kama mimi, wana wasiwasi kuhusu usalama wa watoto wetu mtandaoni...
  12. M

    Mzee Juma katueleza kisa alivyotapeliwa na wanawake huko Facebook

    Hapa hua tunakutana kwenye tangawizi na kahawa Mzee juma kafika na kanzu yake swafi na baraghashia yake kama kawaida, Mzee juma siku hizi ana simu ya kupangusa vidole hivo anakua busy kwenye simu , sio kama zamani alipokua anatumia kitochi, Hussein anamuuliza kiutani mzee J naona unaperuzi...
  13. Namna ya kurudisha account ya FaceBook iliyodukuliwa

    Ikiwa akaunti yako ya Facebook imedukuliwa, unapaswa kuchukua hatua haraka ili kujaribu kuirejesha. Hapa kuna hatua za kufuata: 1. Badilisha nenosiri mara moja: - Ikiwa bado unaweza kuingia kwenye akaunti yako, nenda kwenye Mipangilio(settings) -> Usalama na Kuingia-> **Badilisha Nenosiri...
  14. Ukitaka kujua Watanzania wajinga nenda Facebook kaangalie wanavyokomenti kwenye habari muhimu na habari za udaku

    Baada ya kusoma comments za Watanzania juu ya habari ya uhusika wa Makonda kwenye jaribio la kumuua Lissu ninasema kuwa Watanzania hawastahili kuonewa huruma. Lissu tangu miaka ya 90 anapigania haki na ustawi wa Watanzania lakini Watanzania ni kama walifurahia jaribio la mauaji yake. Unaweza...
  15. Je Facebook imekuwa ceased kwa ajili ya maandamano?

    Katika hali ambayo siyo ya kawaida leo nilijaribu kupost mada fulani katika mtandao wa Facebook lakini inaonekana wameu- cease message haziendi. Anyway hata hivyo lengo la maandamano limesomeka vizuri ingawa wanaoandamana ni askari polisi na hawataki yeyote kuandamana isipokuwa wao tu.
  16. Msaada nashindwa kufuta account ya Facebook

    morning lovely 😍 naombeni mnisaidie nataka kufuta account ya Facebook nilijiunga kipindi bado mdogo sasa inanikwaza nataka kufuta nimeacha kutumia na miaka sasa lakini notification zinakuja hii kitu inanikwaza just help me please πŸ™ 😒
  17. Video ndefu facebook

    Habari zenu wataalamu. Naomba uzoefu jinsi ya kutuma video ndefu facebook za hata 1 hour, 30 minutes au zaidi. Maana nimetumia fb lite app ikapeleka 30s nikatumia fb web ikapeleka 1 minute. Ila pia quality inapotea Sana. Wataalamu mtupe maujuzi. Shukrani
  18. Tanzania: Meta kuanza kuwalipa wazalisha maudhui wa Instagram na Facebook

    Agosti 6, 2024 Meta imesema kuanzia mwezi huu (Agosti 2024) itapanua zana za uchumaji wa mapato za watayarishi nchini Tanzania kwenye Facebook na Instagram. Hatua hii ni matokeo ya moja kwa moja ya michango taasisi ya JamiiForums na wadau wengine ambao ni watetezi wa Haki za Kidigitali na...
  19. JE, UNAHITAJI KUZUIA VIDEOS ZA FACEBOOK KUJIPLAY AUTO? FANYA HIVI KUZUIA ZINAKULA MB ZAKOπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

    JE, UNAHITAJI KUZUIA VIDEOS ZA FACEBOOK KUJIPLAY AUTO? FANYA HIVI KUZUIA ZINAKULA MB ZAKOπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ katika facebook unapo ingia uwa kuna videos ambazo uwa zinatabia ya kuplay moja kwa moja kwa mfano matangazo ya video atakama hauhitaji kutazama yataanza kuplay moja kwa moja. Video post...
  20. W

    Facebook Yafuta Akaunti 63,000 Nigeria Zinazojihusisha na Utapeli wa Kingono

    Kampuni ya Meta imefuta akaunti 2,500 zilizokuwa zinaendeshwa na kikundi cha watu 20 ambao walikuwa wakifanya utapeli kwa wanaume na watoto chini ya miaka 18 nchini Marekani kwa kuwatishia kuvujisha picha zao za utupu. Pia, imefuta akaunti za matapeli wa mtandaoni wanaojiita "Yahoo Boys" na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…