fahamu

  1. RAKI BIG

    Washabiki waliovaa barakoa wakifuatilia mechi ya nyumbani ya timu ya Georgia Tech kwenye ligi, maarufu "College League" mwaka 1918

    Washabiki waliovaa barakoa wakifuatilia mechi ya nyumbani ya timu ya Georgia Tech kwenye ligi, maarufu "College League" mwaka 1918. Ni wakati huo kulikuwa na mlipuko wa homa kali ya mafua, inayoitwa Spanish flu' iliyosabisha vifo takribani 642, 000 ndani ya Marekani. Michezo iliendelea kwa...
  2. Da'Vinci

    Fahamu gunduzi kubwa zilizoanza kuvumbuliwa Afrika (Misri) kabla ya Wazungu

    Salute Nakumbuka kipindi nipo secondary kwenye masomo yangu pendwa hasa Biology karibia kila terminology nililiyokua nasoma kwenye definition yake ilikua inaanza na maneno “it’s a Greek word”, swali kubwa nililokua nabaki nalo na mpaka sasa hua najiuliza ni kwamba..Je wagiriki ndio watu wenye...
  3. FRANCIS DA DON

    Fahamu kwa undani nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ , mchezo wa kujaza maji ndoo ilitoboka

    YOYO ni kidude cha kuchezea ambacho kinakuwa na kamba kama ya spring ambacho kinashikwa mkononi na kuchezewa ambapo kinashuka chini na kupanda juu chenyewe. Nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ ni kwamba, ni either uweke lockdown hadi wagonjwa wafike 0 kabisa (practically impossible) au usiweke...
  4. Miss Zomboko

    Fahamu kuhusu dhana ya ndoa

    NINI MAANA YA DHANA YA NDOA? Kwa mujibu wa sheria ya Ndoa ya Tanzania, ikidhibitika kuwa mwanaume na mwanamke wameiishi pamoja kwa miaka miwli au zaidi, katika hadhi ya mume na mke, basi kutakuwepo na dhana ya ndoa. Sheria hii, imedhamiria kukomesha kama si kupunguza ile tabia ya wanaume au...
  5. MIGUGO

    Fahamu Globus sensation "Maumivu ya koo''

    Hii ni hali ya kuhisi maumivu kooni kama kuna kitu kimekwama kooni (lump in a throat). Uchunguzi unaweza kufanya lakini ukagundulika hauna kitu chochote kooni. Kwa kipindi hiki cha gonjwa la Corona watu wengi wanaweza kushikwa na uoga wakihisi hii hali ya Globus sensation.Globus sensation...
  6. Apps-tz

    Fahamu njia rahisi ya kununua mahitaji yako ya kila siku ya nyumbani.

    Katika kipindi hiki cha ugonjwa wa corona, ambapo wengi wetu tupo nyumbani, moja ya changamoto kubwa tunayokutana nayo kununua mahitaji ya kila siku ya nyumbani kama vile vyakula, mboga mboga na vinywaji. Kwa kulijua hili kampuni ya Selcom wametuletea application inayoitwa Dukadirect...
  7. Prof T Johannes Chacha

    Fahamu kuhusu kada ya Biotechnology (bioteknolojia) na majukumu ya wataalamu wa Bioteknolojia

    Thread starterDyf Start dateMonday at 5:51 PM Dyf Senior Member Monday at 5:51 PM Utangulizi Bioteknolojia ni aina ya teknolojia inayotumia elimu ya biolojia kwa manufaa ya binadamu. Ni teknolojia ya uvumbuzi wa mambo mbalimbali kwa manufaa ya binadamu, kwenye upande wa afya, kilimo...
  8. Dyf

    Fahamu kuhusu kada ya biotechnology (bioteknolojia) na majukumu ya wataalamu wa bioteknolojia

    Utangulizi Bioteknolojia ni aina ya teknolojia inayotumia elimu ya biolojia kwa manufaa ya binadamu. Ni teknolojia ya uvumbuzi wa mambo mbalimbali kwa manufaa ya binadamu, kwenye upande wa afya, kilimo, mazingira na viwanda na ilianza kutumika tangu mwaka . 1919 na mwanasayansi mjerumani aitwae...
  9. J

    Fahamu ni kwa namna gani unaweza kuongea na Watoto kuhusu mlipuko wa CoronaVirus

    Ni rahisi kuhisi kuzidiwa na kila kitu unachosikia kuhusu #COVID_19. Inaeleweka pia ikiwa watoto wako wanahisi wasiwasi. Watoto wanaweza kupata shida kuelewa kile wanachokiona mtandaoni au kwenye Runinga - au kusikia kutoka kwa watu wengine - kwa hivyo wanaweza kuwa katika hatari ya kuhisi...
  10. J

    #COVID19 Fahamu namna ya kuiandaa familia yako katika kukabiliana na CoronaVirus

    Virusi vya #Covid_19 vinaendelea kusambaa katika maeneo mbalimbali duniani na vinaweza kufika katika eneo lolote. Fahamu yafuatayo ili kukabiliana na virusi hivyo iwapo vitagundulika katika Jamii yako 1. Fahamu kinachoendelea kuhusu #Corona katika jamii yako. Tafuta vyanzo vinavyotoa taarifa...
  11. E

    Fahamu mambo muhimu ya kufanya katika kila hatua ya Ujauzito

    Hatua ya kwanza: Miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito 1. Panga kuonana na mkunga wako Mara baada ya kujua una ujauzito, mjuliswhe daktari wako ili uweze kupanga kuonana naye. Kwenda na wakati ni jambo la msingi pindi unaonana na daktari, inategemea unaishi wapi na lazima uwe umepanga kuonana na...
  12. Suley2019

    Fahamu hatua zilizochukuliwa na mataifa mbalimbali Duniani katika kukabiliana na janga la Covid-19

    Takribani wiki ya tatu sasa mataifa mbalimbali ulimwenguni yamekuwa yakichukua hatua mbalimbali kukabiliana na usambaaji wa Virusi vya Corona nchini mwao. Virusi hivi vinavyoshambulia mapafu na kusababisha homa kali, mafua, kikohozi pamoja na upumuaji wa shida viliibukia huko China katika Mji...
  13. Author

    Fahamu Machache kuhusu Corona Virus

    Habari, Nimesoma Andiko la Dr.Mikongoti kuhusu Corona Virus na nikajifunza mambo kadhaa ambayo nimedhani ni vyema wote tukajifunza kuhusu Corona Virus; Kirusi cha korona (corona virus) kimechukua jina lake ‘corona’ kutoka lugha ya kilatini kikimaanisha taji (crown) hii ni kutokana na muonekano...
  14. anti-negative energy

    Msaada kwa anae fahamu kujirecord video na kuiwekea wimbo wowote kwenye background

    JAmani wanajamvi nilikua na utata, kama kuna mtu anaweza utundu wa kuweka muziki kwenye video ya kujirecord anielekeze, au hata kama kuna app basi tuambizane.
  15. Zawadi Mkweru

    Fahamu kuhusu Bullying na jinsi wazazi wanavyochangia kutokea kwa unyanyasaji huu unaowaathiri sana watoto wawapo shuleni

    Bullying ni aina ya Unyanyasaji unaoweza kufafanuliwa kama shambulio la kisaikolojia, kimwili au vitisho ambalo hulenga kusababisha woga, mawazo au kumdhuru mwathirika. Bullying inapofanyika mashuleni huwa katika mazingira ambapo mwanafunzi hujikuta katika unyanyasaji wa kimfumo (pamoja na wigo...
  16. Cytochrome p450

    Fahamu kuhusu Virusi vya Corona - China

    CORONA VIRUS ni virusi vinavyotokea kwenye familia iitwayo Coronaviridae, na vimepewa jina hilo kutokana na muonekano wake wa "Crown-like projection" chini ya light microscope. Virusi hivi vinaathiri moja kwa moja mfumo wa upumuaji wa binadamu ambapo huweza kupelekea matatizo kwenye mfumo wa...
  17. Miss Zomboko

    Fahamu kuhusu betri zinazowekwa kwenye moyo ili kuwasaidia wenye matatizo ya moyo kusukuma damu mwilini

    Betri ya moyo ambayo kitabibu huitwa ‘pacemaker’ ni miongoni mwa vifaa ambavyo vimebuniwa ili kumsaidia mtu ambaye moyo wake unashindwa kuzalisha umeme wa kusukuma damu kwenda sehemu mbalimbali za mwili. Taarifa zilizopo zinabainisha kuwa, binadamu wa kwanza kunufaika na tiba hiyo, aliwekewa...
  18. Lexus SUV

    Anayefahamu Elimu Financing ya Amana Bank anipe muongozo tafadhali

    Habari wakuu, Napenda kuulizia kama kuna mtu anayefahamu kuhusu huduma ya kifedha ya mikopo ya ada ya masomo (tuition fees) tajwa hapo juu kwa ajili ya wanachuo wa Shahada. Maana nina shida ya ada kwa mwaka mmoja tu, then nitakuwa nawalipa kidogo in future times Msaada please.
  19. B

    Fahamu magonjwa yasiyojulikana (Rare diseases)

    Wataalamu waTanzania wakiwemo Dr. Karim Premji Manji na wadau wengine katika sekta ya afya Tanzania wanatufahamisha magonjwa 'yasiyojulikana' sana Tanzania na Afrika na changamoto zake. Source: Michuzi TV
  20. Da'Vinci

    Fahamu dawa na mambo yatakayoweza kukupatia mwanamke umtakae..

    Salute Psychological Manipulation, jinsi ya kumpata umpendae kwa kumteka kihisia na kiakili. Kwanza kabisa ili uweze tengeneza computer inakubidi uelewe jinsi mifumo na vifaa vyote vilivyomo ndani ya Computer na jinsi vinavyofanya kazi..Chukulia mwili wa binaadamu ni Computer nzima, ubongo ni...
Back
Top Bottom