fahamu

  1. D

    Mwalimu ajira mpya, fahamu haya yatakusaidia

    Mambo muhimu yatakayokufanya udumu kwenye ajira 1. Kamwe usile miwa ya shule (usitembee na wanafunzi). Miwa ya shule ni mitamu ila nakuasa usijaribu kwa usalama wako. 2. Usihoji kila kitu kwa mkuu wa shule hasa MAPATO na MATUMIZI. Wakuu hawapendi watu wanaohoji. 3. Kopa kwa kiasi. Baada ya...
  2. J

    Fahamu maana, umuhimu wa kodi na taratibu za ulipaji

    Kodi ni malipo yanayotozwa na Serikali kwa wananchi, kampuni, au taasisi zilizopo ndani ya nchi au zilizopo nje ya nchi lakini zimesajiliwa ndani ya nchi. Lengo kubwa la kutoza kodi ni kuitengenezea mapato serikali iliyopo kwa ajili ya kufikia malengo yake katika kutoa huduma za Jamii na maslahi...
  3. J

    Fahamu kuhusu msongo wa mawazo na visababishi vyake

    Ripoti ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam kitengo cha Afya inaeleza kuwa, Msongo wa Mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha. Ripoti inabainisha mgawanyiko wa sababu za Msongo wa Mawazo kuwa ni sababu za...
  4. Mau Mau

    Fahamu Alama ya jicho lenye maana ya siri kubwa likihusishwa na Ushetani

    Dhana ya uwepo wa kitu cha siri imeghubika nembo za kwenye sarafu na kufanywa kuwa ishara au alama inayoonekana. Alama ya 'Jicho' - hili ni jicho ndani ya umbo la pembe tatu - ni moja ya alama inayohusishwa na masuala ya ushetani ambayo pia imeonekana kuwa na uhusiano wa karibu na Iluminati...
  5. Kasomi

    Fahamu hili kutoka nchini Korea kaskazini

    Nchini Korea kaskazini, watu walo zaliwa tarehe 8 mwezi wa 7 na tarehe 17 mwezi wa 12 hawaruhusiwi kusherehekea siku yao ya kuzaliwa kwa sababu viongozi wao Kim jong I na Kim II_sun walikufa.
  6. Kurzweil

    Fahamu kuhusu Ugonjwa wa 'K Syndrome' uliozushwa ili kuwaokoa Waisraeli dhidi ya maafisa katili wa Utawala wa Nazi

    Safe haven: Fatebenefratelli Hospital, Tiber Island, Rome, 2019. Hospitali ya Fatebenefratelli Hospital, iliyopo katika Kisiwa cha Tiber huko Roma, nchini Italia ilikuwa na Wodi maalumu iliyojawa Wagonjwa ambao ilielezwa kuwa wanasumbuliwa na ugonjwa mbaya wa Koch Syndrome ambao ni sawa na...
  7. Braza POPO

    Fahamu mambo ma 3 Kabla ya kuprint mifuko ya kuweka unga

    Katika kuhakikisha kazi yako inakuwa safi na nadhifu kabisa. #watusmartpackaging tunajuza leo mambo muhimu kabla ya kuchapisha mifuko toka kwetu au sehemu nyingine. 1. Artwork /picha Kabla ya kuchapisha mifuko ya kuwekea unga ile ya viroba au ya salfeti ni muhimu kuwa na mchoro au picha ambayo...
  8. I_manyota

    Producer scott storch - the iconic -na story kuhusu ngoma yake aliyotoboa nayo still-dre ft snoop dogg

    Unazikumbuka hizi Learn Back, Make It Rain- Fat Joe, vipi kuhusu the iconic song kutoka westcost Still ya Dr Dre, Just A Lil Bit 50 Cent, Poppin Them Thangs - G unit, Gimme That-Run It za Chris Brown mzee list ni ndefu sanaaaaaaaaa kwa wakati wako google it. Huyo si mwengine basi ni Scott Scotch...
  9. J

    Uchaguzi 2020 Nawatakia Watanzania wote Uchaguzi wenye Baraka na Amani ya Mungu ile ipitayo fahamu zote

    Kwanza namshukuru Mungu kwa kutuvusha salama na hatimaye kuifikia siku hii ya leo tunapoenda kuchagua viongozi wetu. Ninamuomba mwenyezi Mungu awatie nguvu ninyi nyote ili tuweze kukamilisha jukumu hili la kikatiba kwa amani. Tukumbuke kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi na kwamba siasa haijengi...
  10. J

    Utaratibu na Watu wanaoruhusiwa kuwepo wakati wa kuhesabu Kura

    Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi ya Taifa Kifungu cha 72, kifungu kidogo cha kwanza kinaeleza kuwa:- Hakuna mtu yeyote zaidi ya wafuatao anatakiwa kuwepo wakati wa kuhesabu kura , a) Msimamizi wa Kituo cha Uchaguzi b) Msaidizi wa msimamizi wa Kituo c) Wakala wa Mgombea au mbadala wake d)...
  11. J

    Mchakato wa utangazaji wa matokeo ya uchaguzi wa Urais

    Kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi za 2020 Kifungu cha 68 kifungu kidogo cha kwanza; Tume ya Uchaguzi baada ya kupokea matokeo ya awali ya Urais yatayoletwa kwao na wasimamizi wa Uchaguzi, baada ya kuhakiki itatangaza matokeo ya Urais kwa Jimbo husika. Kifungu kidogo cha pili kinaeleza kuwa Tume...
  12. J

    Fahamu haya kabla ya kutuma picha yako ya faragha mtandaoni

    Umeshawahi kukutana na picha za ngono mtandaoni? Bila shaka jibu ni ndiyo. Ipo mitandao (porn sites) iliyojikita mahususi kwa ajili ya kutengeneza na kuonesha picha ama video za ngono. Mara nyingi, picha au video zinazopatikana katika mitandao hiyo huwekwa kwa makubaliano baina ya mitandao hiyo...
  13. J

    Fahamu kuhusu sanduku la kura na karatasi ya kupigia kura

    Kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi kifungu cha 58 kifungu kidogo cha 1, sanduku la kura linatakiwa kutengenezwa kwa namna ambayo inamruhusu mpiga kura kuweza kuweka karatasi ya kura bila kuweza kuitoa Kifungu kidogo cha pili kinasema kuwa kabla mchakato wa kupiga kura haujaanza...
  14. tilmikha

    Fahamu ingredients zilizopo ndani ya toothpaste kupitia color codes

    Wengi wetu tumekua watumiaji wazuri wa dawa za kusaidia kusafisha meno ila ni wachache mno ambao wanajua kilichomo ndani ya dawa hizo. Dawa za msuaki/meno huwa zina alama ya rangi mwishoni na wala hazijawekwa kwa bahati mbaya wala kwasababu ya kuipamba dawa husika. Zifuatazo ni rangi husika...
  15. Fya-fyafya

    Ona hapa aina mbili mpya za wizi wa pikipiki ulioshamiri mijini

    Hapa Nchini kumekuwepo na wimbi kubwa la wizi wa pikipiki hasa pikipiki aina ya Boxer. Tena baada ya uzuka kwa ugonjwa wa Kirona, ndo hali imekuwa mbaya. Watu (bodaboda) wengi wamekuwa wakilizwa mara kwa mara. Kwa nini pikipiki aina za boxer ndo zimekuwa zikishambuliwa sana kuibiwa? Wengi...
  16. A

    Fahamu utajiri wa kudumu uliojificha kwenye zao la Parachichi Mkoani Njombe

    Habari ya majukumu wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Maparachichi ni matunda bustanini na mashambani. Maparachichi yana matumizi mengi yenye faida kubwa kwa wakulima na wadau wengine. Maparachichi ni chakula chenye viini lishe bora kama vitamini {A, B2, C, D, E, K} na...
  17. M

    Uchaguzi 2020 Fahamu kituo cha kupigia kura

    TAMBUA KITUO UTAKACHOPIGIA KURA 28 OKTOBA 2020 Kama tujuavyo mwezi huu wa Oktoba, tarehe 28 kuanzia saa 1:00 mpaka saa 10:00 jioni ni siku muhimu sana kwa Watanzania.Kwani watanzania watachagua viongozi wao wanaowataka ambao ni Rais,Mbunge na Diwani kupitia Uchaguzi Mkuu,ambao utafanyika kila...
  18. Analogia Malenga

    Fahamu kuhusu Uboho ‘Bone Marrow'

    Uboho au ‘Bone Marrow’ ni ute unaopatikana ndani ya mifupa mirefu katika mwili wa binadamu huku kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha chembechembe za damu ambazo zina kazi mbalimbali mwilini. Kuna magonjwa ambayo yanaweza kusababisha uzalishaji wa uboho ambayo ni Kifua Kikuu na ukosefu wa...
  19. M

    Mifano ya uongozi na maendeleo anayoitoa Lissu kutoka Ulaya ni kujitoa fahamu au ni ushamba

    Tokea kampeni zimeanza nimekuwa nikisikiliza sera za mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu tundulisu lakini mara nyingi akitoa hoja zake lazima aseme "NDIVYO ULAYA WANAFANYA" amekuwa akiyasema akitolea mfano wa bima ya afya na utawala wa majimbo, NK: Nimewaza sana ni ushamba, ujinga au...
  20. Rahma Salum

    Fahamu kuhusu njia ya kupunguza uzito kwa kukata utumbo na madhara yake

    Njia hii kitaalamu inaitwa “Gastric bypass”. Ni aina ya upasuaji unaosaidia mwili kupungua kwa kubadilisha namna ambavyo tumbo na utumbo mdogo unashughulikia chakula. Upasuaji huu hulifanya tumbo kuwa dogo na kupelea tumbo kupokea kiasi kidogo cha chakula. Baada ya kukatwa na kupunguzwa kwa...
Back
Top Bottom