Video hii hapo chini inaonyesha namna mtoto mweusi mwenye miaka 14 kwa jina George Stinney alivyo nyongwa.
Mtoto huyu alinyongwa mnamo mwaka 1944 huko South Carolina akituhumiwa kuwaua watoto wawili wasichana wa kizungu, Betty June Binnicker (11) na Marry Emma...
Kumekuwepo na vijembe na lugha za kejeli zinazotolewa na baadhi ya viongozi kutuhumu awamu zilizopita hasa awamu ya tano kana kwamba wao waliiba na hakuna maendeleo waliyoyafanya.
Orodha ni ndefu mimi nayakumbuka haya.
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja...
Katika maisha yetu ya leo, kwa namna moja au nyingine tunatumia Artificial Intelligence- intellijensia ya kutengenezwa(Sijapata Kiswahili Fasaha, wana jamvi waweza saidia) kupitia vifaa vya kieletroniki kama simu, computer, luninga n.k.
Artificial Intelligence (AI) ni nini?
Mwaka 1956, mwana...
Coma ni ile hatua ya mwisho ya kupepea uhai wa mgonjwa aliye kufa awali (Collecting life from early dead)!
Hizi ni harakati za kitabibu za kuendeleza uhai uliotwaliwa kwa kutumia mitambo maalum ya kupumulia ( oxygen ventilator's)
Ifahamike mgonjwa anapofariki awali, baadhi ya viungo kama...
Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu?
======
37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na...
Habari nimeona ni share na nyinyi hii,
Katika ushindani wa soko la simu kampuni nyingi za simu zimejikuta zikitoa simu zenye kushabihiana sifa. Kwa leo tuliangalizie kwa ndani simu aina ya Infnix Hot 10 Play na Samsung Galaxy A02s.na mwisho wa makali hii nadhani tutakuwa tumepata kufahamu ipi...
Mataifa mengi ya Ulaya yameanza kuwashauri Raia wake kuvaa barakoa mbili ili kuongeza umadhubuti wa kukulinda dhidi ya maambukizi ya #CoronaVirus
Je, ni Wakati gani wa kuvaa barakoa mbili
Unapotembelea duka, duka la dawa, daktari au hospitali yoyote
Katika mkusanyiko kwenye bustani pamoja na...
Kiufupi kabisa kama umetengeneza youtube channel baada ya 2015 na bado haujaanza kuingiza hela kafanye kitu kingine tu coz hela ya YouTube channel ni ngumu mno kwa sasa. Hii imesababishwa na kukazwa kwa terms zao.
Wale mnaodhan kina millard wanaingiza hela ndefu kupitia youtube ads nadhan...
Habari wajumbe natumaini nii wazima wa afya.
Nikienda kwenye mada moja kwa moja nilikuwa napenda kuuliza kuhusu mkoa wa Njombe maana mimi sijawahi kufika wala kupawaa ila kwa siku ya leo nimepokea simu na swali nikaitikia sema nikashindwa toa jibu.
MASWALI YENYEWE NI:
1. Kweli Njombe ina ardhi...
FAHAMU NAMNA YA KUZIMA MOTO WA SHOTI YA UMEME
Habari wadau,
Happy end of the month (January woyoooo),na happy new year kwa familia yooooote ya Home of Great Thinkers (HGT).
Baada ya salaam twende kwenye maada yetu,
FAHAMU NAMNA YA KUZIMA MOTO WA SHOTI YA UMEME
Kama tunavyojua kuwa nishati ya...
Ujauzito ni mtihani mgumu maana anayoyapitia mwanamke ni mazito. Anashindwa wakati mwingine kula, kulala, kutembea yani kwa ujumla kuishi maisha yake ya kawaida kabla ya ujauzito wake ni changamoto na mtihani mkubwa.
Kikubwa sasa huwa atalalaje,hasa anapokuwa kileleni mwa ujauzito wake.Namna ya...
Ni kawaida sana kusikia mama akisifiwa kwa kuzaa photocopy ya mume wake, bila kujua kwamba ile process ya ‘photocopying’ haikufanyika tumboni kwa mama, bali ilianza kwenye ‘Gonads /(Korodani)’ za baba mtu na kwenda kukamilika tumboni kwa mama.
Kidijitali taarifa za kielektroniki zinatunzwa na...
Lengo hili linahusu kuongeza kipato cha watu waishio kwenye umaskini na kuhakikisha wanapata huduma za msingi na kumlinda kila mtu kuepukana na majanga.
Hivyo basi, Serikali za Mitaa zina jukumu la kuhakikisha kwamba, ifikapo 2030:-
· Zinatokomeza umasikini uliokithiri kwa watu wote...
Magari ya umeme ndiyo magari yanayotazamiwa kutumika zaidi siku za usoni. Serikali nyingi barani Ulaya zinaahidi kusaidia utengenezaji wa magari yenye kiwango cha chini cha uzalishaji wa hewa sumu, huku makampuni ya Mazda na Maserati yakiwa tayari yametengeneza au kuweka mipango ya kutengeneza...
Kusitisha ajira maana yake ni kumalizika kwa mahusiano ya kikazi baina ya mwajiri na mwajiriwa au mfanyakazi, kusitisha ajira kihalali, kuachisha kazi isivyo halali, kusitisha kazi kwa makubaliano, mwajiri kusitisha kazi, kuachishwa kazi, kuacha kazi, kustaafu, kuritaya, mwenendo mbaya wa kazi...
Mgawanyo wa madaraka ni mgawanyo wa majukumu ya serikali katika matawi tofauti ili kuzuia tawi moja kutekeleza majukumu ya msingi ya lingine.
Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania imeeleza Mafundisho (Doctrine) ya mgawanyo wa madaraka kwa kugawanya mihimili mitatu kwenye mamlaka na...
Kampuni ya Kitabibu ya Moderna imetangaza nia yake ya kuomba kibali cha kuthibitishwa kwa chanjo yake ya COVID-19 kwa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Marekani.
Moderna sasa inaungana na kampuni nyingine mbili za kitabibu zinazosubiri kuthibitishwa kwa chanjo zao na Mamlaka ya Chakula na Dawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.