fahamu

  1. C

    Hii iliandikwa jamaa akiwa kwenye kifafa cha Shaytwan, alipokuwa karogwa, au wakati kapoteza fahamu, au ni nini jamani? Hebu tuwasaidie ndugu zetu

    Matusi hayatakiwi. Naomba ukielewa toa mtazamo wako kwa hoja kama jamaa huyuJihad, alivyoelewa na kubaki anashangaa!. NIkweli wafuasi wa huyu, bwana walikuwa hawahoji mambo katika mambo haya, kwa kuwa hawakuwa na ufahamu? waliogopa kuuawa, waliona yanawarahisishia maisha, walijua agenda za...
  2. Jeef George

    Fahamu kanunui 12 za utafutaji pesa na miradi zaidi 140

    Habarini wana Jamii forum wenzangu! Natumaini hamajambo ,karibuni tujifunze kwa maendeleo yetu na taifa letu. Naleta kwako andiko hili kwa ufupi na kwa kina kujenga uelewa kwa maendeleo endelevu. Ndimi mwandishi wako Mgasa JF (mkurugenzi wa maandiko JF) Fahamu kanuni za matumizi ya pesa kwa...
  3. Sam Gidori

    Fahamu: Maeneo 10 usiyoruhusiwa kutembelea duniani

    1. Mapango ya Lascaux, Ufaransa Mapango ya Lascaux nchini Ufaransa yanajulikana kama duniani kwa kuwa na moja ya michoro ya kale zaidi, yakiwa na michoro ya zaidi ya miaka 17,300 iliyopita. Michoro hiyo inaonesha mwanadamu akifuga wanyama kama ng’ombe. Lakini mapango hayo yamefungwa tangu mwaka...
  4. N

    SoC01 Fahamu mambo yanayofanya Wajasiriamali/Wafanyabiashara wadogo wadogo washindwe kufikia malengo

    Karibuni tena wapendwa kujifunza tena kupitia JAMIIFORUMS. Na leo tutapata wakati mzuri wa kujifunza juu ya mambo ambayo baadhi ya wajasiriamali/wafanyabiashara wanayakosea na hivo kushindwa kufikia malengo yao. Mjasiriamali ni nani? Ni mtu yeyote yule anayujishughulisha na kazi mbalimbali kwa...
  5. Shadow7

    Je, una tatizo la ugumba? Fahamu sababu tano na tiba yake kwa wanaume

    Wanaume wengi hunyamaza wakati wanapoanza kuathiriwa na tatizo la kushindwa kutekeleza wajibu wao katika ndoa ikiwemo tatizo la kushindwa kushiriki tendo la ndoa. Hivyobasi mara nyingi hulazimika kujiondolea lawama hiyo na badala yake kusema kwamba kizazi cha wake zao ndicho chenye tatizo...
  6. Sam Gidori

    Fahamu: Nchi Zinazoitwa kwa Majina Tofauti na Yanayofahamika kwenye Ramani ya Dunia

    Zipo sababu nyingi za nchi kufahamika kwa jina lililopo, baadhi ya sababu hizo ikiwa ni pamoja na lugha ya asili ya wazungumzaji, wageni au wafanyabiashara waliofika katika eneo hilo, jina la mtu maarufu au eneo maarufu katika nchi hiyo nk. Hakuna sababu moja iliyosababisha kila nchi kupata jina...
  7. B

    SoC01 Fahamu fursa ya kutumia bussiness whatsapp kufanya biashara

    nawasalimu wote katika jukwaa hili la JamiiForum Nitazungumzia bussiness whatsapp kama nyanja muhimu ya kujiingizia kipato Mtandao wa whatsapp umekuwa ukipata umaarufu kila kukicha kwasababu unakua kwa kasi kila siku Kutoka kwenye status za kuandika mpaka status za picha na video. Kutoka...
  8. Ben Zen Tarot

    Fahamu aina 14 za hasira walizonazo wanawake

    1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu! 2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere! 3. Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu kimya kimya. Mawasiliano kibubu-bubu. Shavu limejaa kama Kobra! 4. Mwingine akishikwa na hasira...
  9. A

    Fahamu siri kubwa na faida ya DIGITAL MARKETING katika biashara yako

    MASOKO YA KIDIGITAL I(digital marketing) ni nini? MASOKO KWA NJIA YA KIDIGITALI ni matumizi ya mtandao yaliyoanza kuibuka kuanzia miaka ya 90 mpaka 2000 yaliyokuwa na lengo la kuendeleza shughuli za kunadi masoko kwa uuzaji bidhaa mitandaoni/ na services (shughuli) kwa kutumia vifaa vya...
  10. beth

    Taliban yatawanyisha maandamano ya Wanawake kudai haki

    Maafisa wa Taliban wamevunja maandamano ya Wanawake kadhaa huko Kabul. Imeelezwa Wanawake hao walikuwa wanadai Haki ya kufanya kazi na kujumuishwa kwenye Serikali. Kundi hilo limesema mabomu ya machozi yalifumika kuwasambaratisha wakati wakijaribu kutembea kwenda Ikulu ya Rais. Huu ni...
  11. Keco Group ltd

    KWA WANAO FAHAMU SOFTWARE YA VIDEO EDIT & GRAPHICS KU INSTALL KWENYE UBUNTU

    Habari wanandugu wenzangu naomba kwa mtu anae fahamu software ya Video Editing na Graphics kwenye Ubuntu tuwasiliane nitamlipa.
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Fahamu kidogo kuhusu Sadio Kanuote, tukutane nusu fainali CAFCL

    Huyu Sadio alikuwa Man of the Match CHAN2020 huko Comeroon. Sadio akawa Man of the Match kwa mara ya pili CHAF2020 Kisha akaipeleka Mali fainali ya CHAN2020 ikicheza na mabingwa Morroco ambapo Mali ilitolewa kwa 2-0, Februari 2021. Huko Morroco katika games zote alizocheza alikuwa anaongoza...
  13. Renald Gasper

    Kabla hujaacha kazi au masomo, fahamu hili

    • Maana hasa ya 'Ujasiriamali' kama kujiajiri. Watu wengi hukimbilia kujiajiri bila kuwa na ufahamu sahihi na halisi juu ya jambo hilo, kama hapo nyuma kwenye masomo yalio kwisha kupita nilisema, "pesa sio inayomfanya mtu kuwa tajiri, bali ni taarifa/elimu sahihi aliyonayo" vivyo hivyo kuwa...
  14. Ben Zen Tarot

    Fahamu mambo 11 ambayo huyajui kuhusu samaki

    1) Samaki hupata huzuni/msongo wa mawazo (depression) kama apatavyo binadamu 2) Kuna Samaki wanaishi zaidi ya miaka 70 ila yupo aliyeishi miaka 112 anaitwa Bigmouth buffalo 3) Kibaolojia kuna makundi (species) 30,000 ya samaki yanayotambulika 4) Kihistoria Samaki ameanza kuwepo duniani miaka...
  15. Renald Gasper

    Fahamu Laptop zinazofaa kwa Designers na Content Creators kabla hujanunua

    Kabla hujafanya uwamuzi wa kununua laptop yako mpya kwa ajili ya matumizi yako ya Graphic designing, Architecture, au Content Creation yafahamu haya. NI MUHIMU! • Category hii ya watu wa aina hiyo, wanahitaji PC (Laptop) yenye uwezo wa kustahimili program zao zenye uwezo mkubwa, kama CAD, Adobe...
  16. lodirofaa

    Usiyoyajua kuhusu mji wa Songea

    Mji wa songea upo mkoani Ruvuma ndiyo manispaa pekee iliyopo katika mkoa wa Ruvuma Huu mji bhana ukiwa meajiriwa unakufaa kuishi na hutopata tabu Ila ukiwa mtafutaji wa kilasiku songea ni ngumu Kma unalipwa mshahara mfano 300000 Songea usipojenga wewe mzembe sahani ya wali inaanzia 500 na...
  17. Frank Akile

    SoC01 Fahamu umuhimu wa kuwa na ujuzi wa kidijitali

    FAHAMU UMUHIMU WA KUWA NA UJUZI WA KIDIJITALI. Hatimaye tumeingia katika dunia yenye machaguo mawili pekee ambayo ni 'Nenda dijitali au rudi nyumbani'. Machaguo haya yana maana ya kwamba, dunia ya sasa inaendeshwa kama sio kujiendesha yenyewe katika mifumo ya kikompyuta na au kiintaneti. Dunia...
  18. Mtafiti77

    Fahamu panopticonism na jinsi inavyoweza kusigina haki za raia

    Kwa mujibu wa kamusi ya mtandaoni ya Cambridge, “panopticon” ni gereza ambalo vyumba vyake vimejipanga kimzunguko kiasi cha wakazi wake kuweza kuonekana kutokea katikati. Kwa kawaida katikati ya jengo hili kunakuwa na jengo mithili ya mnara kama ule wanaoutumia waongoza ndege. Ndani ya jengo...
  19. Mtafiti77

    Fahamu PANOPTICONISM na jinsi inavyoweza kusigina haki na uhuru wa raia

    Kwa mujibu wa kamusi ya mtandaoni ya Cambridge, “panopticon” ni gereza ambalo vyumba vyake vimejipanga kimzunguko kiasi cha wakazi wake kuweza kuonekana kutokea katikati. Kwa kawaida katikati ya jengo hili kunakuwa na jengo mithili ya mnara kama ule wanaoutumia waongoza ndege. Ndani ya jengo...
Back
Top Bottom