fahamu

  1. Masokotz

    Fahamu kuhusu Tax Overpayment-Kulipa kodi zaidi

    Kulipa kodi ni sehemu ya uzalendo na ni wajibu wa kila mwananchi. Kodi unayolipa ndio ambayo hupatia watu huduma na mahitaji mengine ya jamii na miundo mbinu.Usipolipa kodi unakua unajiibia wewe na kuiibia jamii na taifa lako.Hata hivyo kuna wakati hutokea ama kwa kujua au kwa kutokujua mtu...
  2. Masokotz

    Karibuni tujadli kuhusu zabuni

    Habari za weekend; Kwa wali wanaosalia najua mmewahi kumuomba Mungu awapatie Mkate wenu wa Kila siku. Leo nataka tuzungumzie kuhusu TENDER au kwa Kiswahili TENDA.Tenda huwa zinakuja kwa lugha tofauti kama vile INVITATION TO TENDER,EXPRESSION OF INTERESTS,REQUEST FOR PROPOSAL,REQUEST FOR...
  3. Miss Zomboko

    Fahamu sababu zinazopeleka Watu kujiua au kujaribu kujitoa uhai

    Matatizo ya Afya ya Akili: Watu wengi hufanya maamuzi ya kujaribu kujiua baada ya kupatwa na Msongo wa Mawazo au Sonona. Msongo wa mawazo unaweza kuleta maumivu makali ya kihisia Kupitia Matukio mabaya: Mtu ambaye amepitia matukio mabaya ikiwemo Ukatili Utotoni, Ubakaji, Unyanyasaji wa kimwili...
  4. M

    Fahamu kwa nini Ndugai hatakaukiwa na tabasamu njia nzima kwenda Bank

    Why Job Ndugai will still smile all the way to the bank thecitizen.co.tz Jan 7, 2022 12:00 PM Even though the Speaker of Tanzania's National Assembly, Job Ndugai, has unceremoniously resigned from his post, he will still enjoy most of the pecuniary and other benefits he was accustomed to while...
  5. Kasomi

    25/12/2021 Christmas day: Fahamu Historia ya Christmas

    Krismasi (pia Noeli) ni sikukuu ambayo Wakristo wengi husheherekea kuzaliwa kwake Yesu Kristo zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Kuna majina mawili yaliyo kawaida kwa Kiswahili kwa ajili ya sikukuu hii: 1- Krismasi inatokana na neno la Kiingereza lenye maana ya "Christ`s Mass" yaani misa au ibada...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Fahamu kwanini ukizikamata pesa za kutosha tu matatizo yanakujia.

    Habari! Hii mada nimeileta kutokana na uzi aliouandika bwana mmoja hapa jf akilalamika jinsi simu za ndugu na marafiki zinavyomiminika kuomba msaada pindi tu anapopata fedha. Kuna watu mpaka kanisani wanashuhudia jinsi Mungu alivyowavusha walipopata tatizo, wakisema kuwa tatizo lilipokuja...
  7. Deja vu27

    Fahamu kuhusu kitabu cha "The set up" katika mbinu za kufanikiwa na kunasa mwanamke yeyote

    Mtumzi wa kitabu hiki ni Paul Bilzerian ni kitabu ambacho ametoa mbinu za kuwa maarufu, kufanikiwa na kunasa warembo. Kama ni mpenzi wa kusoma vitabu tafuta hiki bado cha moto tufunge mwaka na The Set Up, published 2021.
  8. Joseverest

    Fahamu magonjwa ya akili madogo madogo ambayo sio rahisi kujitambua

    Magonjwa ya Akili ni Nini na husababishwa na Nini? • Magonjwa ya akili ni matatizo ya ubongo ambayo humfanya mtu kuwa na hisia, fikira na matendo tofauti na yale yanayotarajiwa na jamii na kushindwa kukabiliana na changamoto za maisha. Magonjwa ya akili yanaweza kusababishwa na sababu za...
  9. Heinz Consulting

    Unahitaji Kuchangia Taasisi ? FAHAMU HAKI ZAKO/TARATIBU WEWE KAMA MCHANGIAJI (Philanthropist/Donor)

    Katika masuala ya Harambee (fundraising), Tanzania bado hatujaweza kuwa na chombo maalum ambacho kinapaswa kutoa utaratibu pia muongozo katika suala zima la Harambee. Kutokuwa na chombo hiki kwa Tanzania haimaanishi kwamba, Harambee inapaswa kufanywa pasina kufuata taratibu, la hasha. Kuna...
  10. Frumence M Kyauke

    Fahamu dawa ya PrEP na inatumika vipi kuepuka maambukizi ya VVU

    PrEP ni nini? Pre-exposure prophylaxis au PrEP ni matumizi ya dawa za kupunguza makali ya VVU na watu wasio na VVU ili kuzuia upatikanaji wa maambukizi ya VVU. Tangu Septemba 2015, WHO imependekeza kwamba watu walio katika hatari kubwa ya kuambukizwa VVU, wanaojulikana kama watu walio katika...
  11. Travis Walker

    Saikolojia ya mwanamke - Fahamu kuhusu mtoto wa kike

    Saikolojia ya Mwanamke Maelezo haya yanatoa mafunzo kuhusu tabia na akili ya mwanamke wakati anapoingia katika mapenzi na mwanaume. Na hasa mwanamke anapokuwa mrembo, fahamu atakujaribu bila hata ya yeye mwenyewe kujifahamu. Ukiweza kufaulu kwenye majaribu hayo, she feels like wow na anaanza...
  12. Sam Gidori

    Fahamu Vivinjari (Browsers) maarufu zaidi duniani

    - Kivinjari (Browser) ni programu ya Kompyuta au Simu ambayo hufanya kazi ya kupangilia, kuleta na kuonesha maudhui kutoka kwenye tovuti. Unapobonyeza kiungo (link), unatumia kivinjari kutembelea tovuti hiyo. - Takwimu kutoka tovuti ya Global Stats Counter zinaonesha kuwa kivinjari cha Chrome...
  13. BAKIIF Islamic

    Mwanamke aliyeadhibiwa adhabu kali ya moto kwa ajili ya kumtesa Paka

    Paka ni jamii ya wanyama wadogo, na mara nyingi hujulikana kama paka wa kufugwa ili kumtofautisha na wanyama wa mwituni. Paka anaweza kufugwa kama paka wa nyumbani, paka wa shambani au paka wa porini (Kimburu) ambaye yupo huru na huepuka kuwasiliana na binadamu. Paka wa nyumbani huthaminiwa na...
  14. Kasomi

    Fahamu machache kuhusu Ethiopia

    IJUE NCHI YA ETHIOPIA Ethiopia ni nchi ya pembe ya afrika, ambayo imepakana na Eritrea na Djibouti kwa upande wa Kaskazini, Somaliland kwa upande wa Kaskazini mashariki, na imepakana na Somalia kwa upande wa mashariki, imepakana na Kenya kwa upande wa kusini, imepakana na sudani kusini kwa...
  15. Kasomi

    Fahamu kuhusu Kitabu Cha Malleus Maleficarum Maarufu kama Nyundo ya Wachawi

    FAHAMU KUHUSU KITABU CHA MALLEUS MALEFICARUM MAARUFU KAMA NYUNDO YA WACHAWI Hiki ni kitabu ambacho kiliandikwa na Heinrich Kramer na kuchapishwa kwa mara ya kwanza katika mji wa Speyer nchini Ujerumani mnamo mwaka 1486. Kitabu hicho kimebeba ujumbe kuhusu wachawi ambapo ndani yake kuna...
  16. Ben Zen Tarot

    Fahamu kuhusu Bitcoin. Je, unaweza kutajirika kwa usiku mmoja?

    Bitcoin ni fedha ya kidigitali ambayo huondoa uhitaji wa waamuzi na wasimamizi wa fedha kama benki na serikali na badala yake kutumia mtandao wa kompyuta zenye uwezo wa kuthibisha manunuzi moja kwa moja kati ya watumiaji. Kwa kawaida fedha husimamiwa na Benki kuu pamoja na serikali lakini...
  17. Frumence M Kyauke

    Je, unafahamu uume unaweza kunasa ukeni pindi unapojamiiana?

    Sio mara moja wala mara mbili kushuhudia picha mtandaoni zikienea mtu na mpenzi wake kuwa wamegandana mwanaume anajaribu kuchomoa dushelele na haitoki Watu wengi huhusianisha na uchawi na matego kuwa huenda mume wa Huyu jamaa amemtega mke wake anapochepuka tu aumbuke Yote yanawezekana ila...
  18. emma115

    Fahamu Herufi “Y-U-H” kwenye Laptop

    Wakuu habari za muda huu. poleni na pia hongereni kwa majukumu ya kila siku Kama ulivyoweza kusoma kicha hapo juu, leo nitaenda kukujuza maujanja ambayo inawezekana ulikuwa hujui kuhusu laptop. Maujanja haya yatakusaidia sana pale unapotaka kununua laptop hasa hapa nchini Tanzania. Ukweli ni...
  19. Miss Zomboko

    Fahamu madhara ya kiafya wakati unapotumia sukari nyingi kwenye vyakula

    Sote tunajua sukari ni tamu na ni miongoni mwa bidhaa zinazotumika kwa wingi kila siku katika nyumba zetu. Lakini licha ya umuhimu wake, sukari ni hatari kwa ustawi wa afya wakati inapotumiwa kwa wingi kupita kiasi. Kwa kawaida kiwango cha sukari tunachotakiwa kutumia katika vinywaji vyetu...
  20. robinson crusoe

    Rais Samia, pamoja na sifa unazomwangia Jumaa Aweso, huyu siyo mwaminifu

    Waziri Aweso kila siku yuko kwenye kamera na waandishi na yaonekana rais anaamini ni mtendaji mzuri. Kwa tabia za Waziri huyu na watendaji wa wizara hii, tatizo la maji halitakwisha nchi hii. Ifikie hatua miradi yote inayotangazwa, kama haifanyi inavyotakiwa, wahusika wote wafukuzwe kazi. Aweso...
Back
Top Bottom