WHAT IS MONKEY POXY DISEASE?# A pandemic disease!!!!& THE ONES WHICH MAKE HEAD LINES IN CNN AND OTHER TELEVISION CHANNELS IN THE WORLD.
Tap the link below for more information from WHO Monkeypox
.
Habari za wakati huu;
Je unajua kuwa biashara zote kubwa zilianza kama wazo? Je, unajua kwama biashara nyingi kubwa zilianza kama briefcase companies? Je, unajua kuwa biashara nyingi kubwa zilianza chini?Leo nataka nizungumze kuhusu Briefcase Companies na umuhimu wa kuwa na Kabiashara kako ka...
Karibu tena jamaniina leo nakuleteya kitu ambacho ulikuwa unatamani ukifanye alafu unashiindwa.. kuna wakati unahitaji sana kutengeneza Android Application lakini haujui kuhusu lugha inayotumika kutengeneza hizo Android Application yaani JAVA au Python na jinsi ya kutengeneza mpaka ikamilike...
Siku ya Leo nitazungumzia juu ya madhara ya marafiki wabaya na kuwa nao katika maisha yako. Kwa kawaida katika maisha Kuna rafiki mzuri na rafiki mbaya ,sifa za rafiki mzuri ni kama kutunza Siri, uaminifu, uwazi, upendo na kutokuwa mnafiki.
Yafuatayo ni madhara ya marafiki wabaya ktk maisha...
Habarini wakuu,
Hongereni kwa mliochaguliwa kujiunga na kidatChcha tano, kikubwa tusiishi na historia, Kama ulipata division one O - level jipange upya ukatafute one nyingine ila hakuna uhusiano kati I ya performance ya O level na advance, unaweza ukakuta aliyepata three O level akawa...
Asalaam aleykum..
Kristu..
Bwana yesu asifiwe
Kutokana na maendeleo ya utandawazi karne hii imekuwa ni kawaida watu kutafuta wenza au marafiki kupitia hasa mitandao ya kijamii,kwa zaman kidogo miaka ya 90 na 2000 mwanzani magazeti yalikuwa yakitumika kutafuta wenza au marafiki lakini kwasasa...
Vidume wenzangu punguzeni huruma kwa wake au wapenzi wenu mnapokuwa kwenye mahaba.
Hawa viumbe wamapenda kupigwa paipu za maana si mnaona wenyewe wanavyo tutukana humu jamvini?
Wakitoka nje wakikutana na vijana wenye hasira na mbususu wanazisasambua haswa tunaishia kutukanwa kwamba hatuna...
Wadau wa JF, Hamjamboni nyote...
Nawaletea orodha ya vituo vya daladala vyenye changamoto ya kuwa na joto kali na hii ni kwa mujibu wa utafiti mdogo uliofanyika.
Ieleweke kuwa joto lililopo vituoni hapo linaweza tokana na location ya eneo husika kijiographia n.k
Tazama orodha:
1. Makumbusho...
1. Usimpigie mtu simu zaidi ya mara mbili mfululizo. Ikiwa hapokea simu yako, chukulia kuwa ana jambo muhimu yuko analifanya.
2. Rudisha pesa ulizokopa hata kabla mtu aliyekukopa hajakukumbusha au kukuomba. Kufanya hivi kunaonyesha ni jinsi gani ulivyo mwaminifu, na kutakufanya uaminike zaidi...
Habari za wakati huu,
Leo nimeona nilete mjadala mdogo ndani ya mjadala mkubwa unaohusu sekta ya Kilimo.
Kabla ya kuingia katika mjadala niweke wazi kwamba mimi sio mkulima wala sio mfanya biashara inayohusu kilimo.Hata hivyo mimi ni mfuatiliaji wa masuala mbalimbali ya kilimo na Biashara na...
Habari za wakati huu wakurugenzi?
Wanahitajika Wauzaji wa Jumla wa bidhaa zifuatazo ambao wanauwezo wa kussuply mzigo wa thamni yoyote kwa bei ya Jumla.Iwapo unao uwezo wa kussuply kiasi hicho cha mzigo tafadhali tuma mawasiliano yako kwa email:masokotz@yahoo.com.Zingatia kwama ni lazima uwe ni...
Kutokana na mabadiliko ya mtindo wa maisha, watu wengi hawapati muda wa kutosha wa kupumzika. Mara nyingi mtu anapozidiwa hupunguza zaidi muda wa kupumzika ili akamilishe majukumu yake. Ikiwa unataka kuboresha utendaji wako wa kazi pamoja na afya yako, fahamu faida 10 za kupumzika.
1. Huongeza...
Alaska ilikua ni sehemu ya Russia lakini iliuzwa kwenda kwa Marekani mwaka 1867 kwa $7.2M sawa na Tzs. Bilioni 16.6 ambayo kwa sasa ingekua sawa na $133M (Tzs. Bilioni 307.7).
Sababu ya kuuzwa ni kutokana na ugomvi uliokuwepo kati ya Russia na Uingereza ambao walikua wanatawala Canada hivyo...
Kitu ambacho watu hawafahamu in kuwa taifa la Ukraine ndilo taifa lenye eneo kubwa lililopakana na Urusi kuliko nchi nyingine zilizojitenga na Russia, pili Ukraine ndilo taifa pekee kati ya watu 6 wawili ni warusi, tatu Ukraine kujiunga na NATO ndio utakua mwanzo wa anguko la Russia hivyo huyu...
AINA KUU 2 ZA MADENI.
Tokomeza madeni.
Kuna aina kuu mbili za madeni.
Aina ya kwanza ni madeni mazuri na aina ya pili ni madeni mabaya.
Soma kwa makini ili kujua unaangukia kwenye aina gani ya madeni.
Madeni mazuri ni yale ambayo marejesho yake hayatokani na chanzo kingine cha mapato bali...
Habari za wakati huu,
Tujo katika karne ya 21 tukiwa tunaelekea kumaliza robo ya kwanza ya karne hii.Wakati karne hii inaanza kwa waliokuwepo tunakumbuka kamsemo maarufu kaliitwa Y2K najua kuna ambao mnakumbuka stori za mwisho wa dunia, kibwetere na kirusi cha Y2K na vinginevyo. Anyway Y2K sasa...
Habari za wakati huu,
Mwaka 2003 nilibahatika kuhudhuria mnada wa mtu aliyeshindwa kulipa DENI. Mnada huu ulifanyika huku familia ikiwa ndani ya nyumba kwa mkopo ambao BABA alichukua kwa ajili ya biashara na akashindwa kulipa. Kwanza tukio lile lilinishangaza sana kwani lilikuwa la...
MACHACHE KUHUSU SIKU YA WAPENDANAO((VALENTINE'S DAY)
Salute mate, hongereni wenye wenza kipindi hiki cha tarehe 14 februari.
Pia hongera kwangu kwa 10,000 Messages since nijisajili cheers 🥂🥂🥂
Back to topic,
Yafuatayo ni machache kuhusu Siku ya wapendanao yaani Valentine's day.
1- hufanyika...
Mwaka 2012 nilibahatika kuhudhuria mafunzo fulani kuhusu biashara na uwekezaji.Mafunzo haya yalifanywa na wataalam ambao walikuwa wanalenga kuhamasisha uwekezaji ili kukuza biashara ndogo na za kati.Lilikuwa somo zuri sana.Katika moja ya mijadala tulizungumzia kuhusu vikoba na kwa hakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.