NINI MAANA YA DHANA YA NDOA?
Kwa mujibu wa sheria ya Ndoa ya Tanzania, ikidhibitika kuwa mwanaume na mwanamke wameiishi pamoja kwa miaka miwli au zaidi, katika hadhi ya mume na mke, basi kutakuwepo na dhana ya ndoa.
Sheria hii, imedhamiria kukomesha kama si kupunguza ile tabia ya wanaume au...