fahamu

  1. Siri imefichuka, fahamu kwanini Simba inashinda kimataifa

    Kabla ya yote mnaonaje mechi inayofata Simba aende Sudan kucheza na Al Hilal alafu hawa jamaa wabaki hapa kucheza na Agosto? Ngoja nikujuze, kimataifa mbinu zinatawala siyo manguvu na kukamia, wanacheza mpira wa nafasi, kuachiana nafasi ufundi unatawala. Simba ni zaidi ya hatari endapo...
  2. Katibiwe ila fahamu kuwa tiba mbadala wote ni matapeli

    Inasaidia sana kwenye saikolojia lakini fahamu watu wote wa tiba mbadala ni matapeli! Babu wa Loliondo, Sheikh Yahaya, Dr. Mwaka, Dr Ndodi, Sanitarium kliniki zote, wamasai, matabibu wote wanaojitangaza redioni, watu wa maombezi n.k n.k. Tiba mbadala wote ni matapeli, dawa zao hazifanyi kazi...
  3. Fahamu tiba halisi ya punyeto/kujichua.

    JE,unajua kuwa tiba pekee ya kuacha punyeto ni ulaji wa vitungu saumu na maji. Matokeo yake ni pamoja na kuratibu ubong hasa homoni ya testeron iliyo kiwango cha juu has wanaongalia picha za x na kujichua pia maji hufanya njia ya mkojo isiwe kavu.
  4. Fahamu sababu zinazopelekea uamke ukiwa na uchovu

    1. Mazingira unayolala Wataalamu wanashauri mazingira ya mahali unapolala yawe ya Utulivu. Pia wanasisitiza kuepuka vinywaji vyenye Kafeini (Caffeine) kabla ya kulala. 2. Ratiba ya kulala kubadilika mara kwa mara Ikiwa huna muda rasmi wa kulala siku zote, mwili wako unaweza kushindwa kuhimili...
  5. Fahamu hatua za kukuza "brand" katika biashara yako

    "Branding" katika biashara ni matumizi ya jina (name), maneno (terms), alama (symbols) na mitindo (designs) kwenye kutambulisha bidhaa au huduma sokoni. "Branded Product/Service" ni bidhaa au huduma ambayo hutumia muunganiko wa jina, alama na mtindo maalum na hutambulika sokoni kwa sifa hizo...
  6. Aziz Ki atumie muda mwingi kujifunza kwa Chama

    Mwamba alihusika katika magoli yote manne ya jana. Huyo mchezaji wenu atambue hapa Tanzania kuna mwamba mmoja tu. Kwa hiyo achukue muda mwingi ajifunze vitu kwa Mwamba wa Lusaka.
  7. Dini isiwe kikwazo cha mtu kukosa kazi. Kumbuka Mungu haangalii dini ya mtu

    Kuna Mungu kabla ya Dini. Tusibaguane. Moja ya changamoto ambayo ukiiangalia kama haina mashiko makubwa lakini ni moja ya vitu ambavyo watu wanakumbana navyo katika nyanja mbali mbali katika maisha ya kila siku. Hasahasa pale linapokuja suala la ajira iwe binafsi au serikalini. Najua kwenye...
  8. Vidonda Vya Kisukari: Fahamu Chanzo, Athari, Tiba na Kinga

    Madhara Ya Ugonjwa wa Kisukari na Namna Ya Kuepuka Vidonda kwa wagonjwa wa kisukari ni changamoto kubwa sana inayosababisha ulemavu unaotokana eidha kuwa kukatwa miguu au mikono. Haya yote yanaweza kudhibitika kama tahadhari itachukuliwa katika muda muafaka. Kabla ya kufahamu ufanye nini na...
  9. Kenya: Fahamu kuhusu Mawakili watakaoitetea Tume ya Uchaguzi

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeteua Kampuni 26 za Mawakili zitakazoiwakilisha Tume hiyo na Mwenyekiti wake Wafula Chebukati. Kila Kampuni ya Wanasheria na Mawakili, italipwa takriban Tsh. Milioni 388,967,498/- Zaidi ya Tsh. Bilioni 10.1 zitatumika kulipa Wanasheria na Mawakili...
  10. Fahamu kwanini ukiwa na tatizo ndugu yako Polisi hawezi kukusaidia bila wewe kutoa pesa

    Hello! Ikiwa uko selo ya polisi Tanzania, au ndugu yako yuko lupango ukimfuata rafiki yako au ndugu yako polisi akusaidie kumtoa jamaa yako lazima atakuzungusha na mwisho wa siku atakurudisha kwa mwenye jalada (a.k.a mwenye dili lake) Ni kama wameapa hakuna kuingiliana madili. Ukiwa na tatizo...
  11. FAHAMU: Katiba inamzuia Rais wa Kenya kufanya haya baada ya Uchaguzi Mkuu

    Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya, baada tu ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, 2022 Rais alipoteza; Mamlaka ya kuteua Majaji wa Mahakama Kuu, kuteua Afisa yeyote wa Umma, kuteua au kumfukuza kazi Katibu wa Baraza la Mawaziri, Katibu Mkuu na Maafisa wengine wa Serikali. Kwasasa hawezi kutumia Mamlaka ya...
  12. Anae fahamu hizi simu za Kyocera BASIO 3 anipe mwanga kidogo kuzihusu nisije pigwa za kichwa PLEASE

    Nimezikuta mjini unguja zinauzwa 90k mpaka 100k nimeingia google nimekuta GSM arena hawajazifanyia review na ni simu ya 2017-2018 na kwenye baadhi ya apps zimeandikwa kichina nimaogopa nisije yakanyaga nikavuka zangu maji nikaondoka lakini hivi karibuni nitaenda tena huko Zanzibar sasa nahitaji...
  13. N

    Fahamu umuhimu wa SENSA Tanzania

    Hizi ni baadhi ya faida ya sensa kuisaidia Serikali kupata taarifa za msingi zitakazo saidia mchakato wa utekelezaji wa dira ya maendeleo ya mwaka 2025 Kuisaidia Serikali kujua ongezeko la idadi ya watu kwa mgawanyo wa viashiria vyengine ambavyo ni muhimu kwa Usimamizi wa mazingira Kigawio...
  14. SoC02 Fahamu ushoga na usagaji ulivyo na unavyozidi kuenea nchini, sababu na athari zake katika jamii

    Leo tunakutana tena kuzungumzia jambo ambalo si geni kwenye maskio ya walio wengi japo halifahamik sana chanzo,sababu na athari zake kwa jamii. Tuondoe dhana ya kusema kuongelea dhambi ni kufanya dhambi na haifai na kujiweka nyuma katika kufatilia mambo kama haya ndio chanzo kingine cha huu...
  15. Fahamu kuhusu kirusi mbaya zaidi wa kompyuta(ransomware)

    Ransomware ni programu (Kirusi) iliyoundwa kumnyima mtumiaji au shirika ufikiaji wa faili kwenye kompyuta yake. Kwa kuloki faili hizi kwa njia amabyo huwezi fungua na kisha kudai malipo ili uweze kufungua faili zako, wavamizi (Hackers) wa mtandao huweka mashirika katika hali ambayo kulipa fidia...
  16. Fahamu kwa kina kuhusu suala la nyongeza ya mshahara

    Mwalimu Ester Shayo Moshi 22.07.2022 Nimepita katika mitandaoni nimeona maoni mbalimbali ya watumishi wa umma mbalimbali kuhusu ongezeko la mishahara yao katika mwaka wa fedha wa 2022/ 2023, baada ya Serikali kutangaza kuwa mishahara itaongezeka kwa 23.3% Nimegundua kuwa baadhi ya wananchi...
  17. T

    Mshahara wa mhandisi II (civil daraja la pili) wizara ya ujenzi na uchukuzi ni shillingi ngapi kwa anae fahamu

    Kwa anaefahamu mshahara wa mhandisi II civil wizara ya ujenzi na uchukuzi anisaidie hapa. Nashukuru
  18. Fahamu Mauaji ya Kisiasa ya Watu Maarufu

    Mauaji ya kisiasa ya watu maarufu katika historia Katika historia, dunia imeshuhudia mauaji mengi ya kisiasa, ambayo yana sababu na nia tofauti. Baadhi yamesababisha vita vya umwagaji damu na uharibifu mkubwa na mengine yamebadilisha mkondo wa historia. Kwa ufupi haya ni baadhi ya mauaji ya...
  19. Msaada: Naomba ufafanuzi kuhusu haki za mtoa taarifa ya uhalifu

    Habari za leo wana JF wenzangu. Hivi raia akitoa taarifa za uhalifu kwa siri katika maeneo yake kwa mamlaka inayohusika na kupokea taarifa hizo, akakuta taarifa ile imesambazwa na mpokea taarifa kuwa fulani yupo hivi na vile ndiye aliyetoa taarifa hizi kuwa wewe fulani ni mhalifu. Je, mtoa...
  20. Fahamu Kuhusu Biashara ya Carbon Credit

    Je una fahamu kuhusu biashara ya Carbon Credit? Leo nataka nizungumze kidogo kuhusu biashara ya carbon Credit. Biashara ya Carbon Credit inahusu uuzaji na ununuaji wa emmision rights.Yaani uuzaji na ununuaji wa haki za kuchafua mazingira kwa kutoa hewa ya UKAA.(CO2).Kwa kawaida tunatoa hewa hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…